idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
Sasa kama mtu mmoja anapiga kura kwa kadri awezavyo kuna umhimu gani wa kuita tuzo za watu, si Waite tu tuzo za jamaa na marafiki.Nilipiga mara 1000000000000000000! Kwani kuna mtu aliyekatazwa asipige kura awezavyo?
Shauri zenu, sie tulipiga kura usiku na mchana nyie mna kazi ya kumwaga mapovu tu huku jukwaani.