Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Napita Siku moja hapo kukusalimia.........
karibu sana,siku mbili kabla ya kuja nijulishe plz,ili nifanye utaratb wa kuvunja ratba zote ka ntakuwa nazo ili tu nsipiteze fursa ya kuonana kamanda mwanajf
 
hahahaaaa,sitakuja kumla mkuu,bond yetu nadhan itakuwa strong sana tukiwa marafiki kulikoni tukilalana,ukizungukia songea nistue tupige vyombo hunt club mzee,msamala ntawasalimia sana
Pamoja mkuu. wajeda nawaelewa sana kwa upigaji wa maji.
 
mkuu,Mimi naomba nitoe ushuhuda kusapot hoja yako,nipo songea ndiko nakofanyia kaz (41 kj-ruhuwiko),nina rafiki yangu wa kike yy ni mwalim shule ya msingi iramba huko mkoani singida,ni rafiki yangu sana na tumeshibana sana,huwezi amini kampani na misaada tunavyosaidiana mmoja wetu akikwama huyu binti husimama na mm kuliko rafiki yangu wa kiume mwenye hadhi ya mkuu wa mkoa au waziri,nilipata matatzo kdgo kazin halaf nyumbani kukawa na shida iliyohtaj uwekezaj wa nataka sana kuisolve,aliingia bank akakopa 6M akanitumia yote,ishatokea shida flan pia kwao,yy akiwa na hali mbaya kifedha kipind hcho,nikamwambia tulia,nilizama bank na kuomba ruhusa job,nikifunga safar had kwa wazaz wake bariadi huko na nikaisimamia ile shida had tukaimaliza,tulizungushwa sana mahakamani na nyumba ya wazaz wake tukaiokoa kupigwa mnada,tunashibana sana na huyu rafk yng madam D****e
Sawa na hongera sana kwa Madame Dorice.
 
Mkuu hapo kilichobaki ni kupeana mapenzi tuuu

Aah ni kweli mkuu ila kumpata ataekua na moyo wa kuseidia kama wako ndo shida

Ukimpata unaweza kuta kila sku vzinga vya chips kuku
 
mlianzia lini urafiki wenu
nawish kuwa na rafik wa shida na raha kama huo
mwaka 2002 tukiwa shule ya msingi huko huko bariadi,baba yake ndo alikuwa mwalim mkuu pale,tulikuwa tukikutana shuleni na kanisani (SDA-church),tulipotezana walivyohamishwa mwaka 2005 namm nikabaki palepale kijijini,nlienda sec bila mawasiliano naye,tukaja kupata mawasiliano mm nikiwa advnc yy akiwa Chuo cha ualim huko ndala tabora,nlienda Chuo kikuu nikasoma semester moja tu nikapiga chini baada ya kupata mchongo sehem nyingine,nikaenda depo tukapitezana,tulizd kupotezana zaid nlivyoenda jamhuri ya afrika ya kati mwaka flani,had narud skuwa na mawasiliano naye, alikuja kunipata kwny mitandao ya kijamii nikiwa nchini Cuba course na kuanzia hapo tukawa zaidi ya marafiki au ndugu,akipata tatzo anajua kabisa msaada namba moja ni mm co ndugu zake,hata mm pia ni hivyohvyo,kuna mambo mengi tushaongea,tushasaidiana,tuko waz kw kila moja,ni msiri wangu na mm ni msiri wake,tunapendana sana halaf hatuoni aibu kueleza tatzo lako kwa mwenzio,tuko free kwa kiasi ambacho siwez elezea
 
mkuu,Mimi naomba nitoe ushuhuda kusapot hoja yako,nipo songea ndiko nakofanyia kaz (41 kj-ruhuwiko),nina rafiki yangu wa kike yy ni mwalim shule ya msingi iramba huko mkoani singida,ni rafiki yangu sana na tumeshibana sana,huwezi amini kampani na misaada tunavyosaidiana mmoja wetu akikwama huyu binti husimama na mm kuliko rafiki yangu wa kiume mwenye hadhi ya mkuu wa mkoa au waziri,nilipata matatzo kdgo kazin halaf nyumbani kukawa na shida iliyohtaj uwekezaj wa nataka sana kuisolve,aliingia bank akakopa 6M akanitumia yote,ishatokea shida flan pia kwao,yy akiwa na hali mbaya kifedha kipind hcho,nikamwambia tulia,nilizama bank na kuomba ruhusa job,nikifunga safar had kwa wazaz wake bariadi huko na nikaisimamia ile shida had tukaimaliza,tulizungushwa sana mahakamani na nyumba ya wazaz wake tukaiokoa kupigwa mnada,tunashibana sana na huyu rafk yng madam D****e
Nimependa hii...hongera sana.
Hii inafaa kama wote mnaajukumu ya kifamilia, mko ktk ndoa au so wa mmoja na mheshimu mipaka yenu.
 
Back
Top Bottom