EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,402
- 21,097
tunapenda urafiki nao lakini haifikiki hata wiki 2 toka tuaanze nao urafiki wanaanza kutulembulia usipowachangamkia wanasema una upungufu wa nguvu za kiume
Kwakweli haya mahabamkuu,Mimi naomba nitoe ushuhuda kusapot hoja yako,nipo songea ndiko nakofanyia kaz (41 kj-ruhuwiko),nina rafiki yangu wa kike yy ni mwalim shule ya msingi iramba huko mkoani singida,ni rafiki yangu sana na tumeshibana sana,huwezi amini kampani na misaada tunavyosaidiana mmoja wetu akikwama huyu binti husimama na mm kuliko rafiki yangu wa kiume mwenye hadhi ya mkuu wa mkoa au waziri,nilipata matatzo kdgo kazin halaf nyumbani kukawa na shida iliyohtaj uwekezaj wa nataka sana kuisolve,aliingia bank akakopa 6M akanitumia yote,ishatokea shida flan pia kwao,yy akiwa na hali mbaya kifedha kipind hcho,nikamwambia tulia,nilizama bank na kuomba ruhusa job,nikifunga safar had kwa wazaz wake bariadi huko na nikaisimamia ile shida had tukaimaliza,tulizungushwa sana mahakamani na nyumba ya wazaz wake tukaiokoa kupigwa mnada,tunashibana sana na huyu rafk yng madam D****e
Good experience nimeipenda hiiNapendaga kuwa nao.
Ili kutoingia kwenye mambo mengine ni vyema uwe na waliokuzidi umri kuna manufaa mengi.
@agata edward try me my dearTatizo wanaume wa sikuhizi mkiwa marafiki anageuka matonya.
Aise...mwaka 2002 tukiwa shule ya msingi huko huko bariadi,baba yake ndo alikuwa mwalim mkuu pale,tulikuwa tukikutana shuleni na kanisani (SDA-church),tulipotezana walivyohamishwa mwaka 2005 namm nikabaki palepale kijijini,nlienda sec bila mawasiliano naye,tukaja kupata mawasiliano mm nikiwa advnc yy akiwa Chuo cha ualim huko ndala tabora,nlienda Chuo kikuu nikasoma semester moja tu nikapiga chini baada ya kupata mchongo sehem nyingine,nikaenda depo tukapitezana,tulizd kupotezana zaid nlivyoenda jamhuri ya afrika ya kati mwaka flani,had narud skuwa na mawasiliano naye, alikuja kunipata kwny mitandao ya kijamii nikiwa nchini Cuba course na kuanzia hapo tukawa zaidi ya marafiki au ndugu,akipata tatzo anajua kabisa msaada namba moja ni mm co ndugu zake,hata mm pia ni hivyohvyo,kuna mambo mengi tushaongea,tushasaidiana,tuko waz kw kila moja,ni msiri wangu na mm ni msiri wake,tunapendana sana halaf hatuoni aibu kueleza tatzo lako kwa mwenzio,tuko free kwa kiasi ambacho siwez elezea
Hahaha hahaha
Zima simu wakati wa jioni bana!
Wewe hutaki kuchomekea kama mimi jamani
Cha kulia yaishe usije ukashusha chozi pasitoshe hapa.Tena usinikumbushe nitakununia mimi baba!
Hukunifanyia sawa kabisa!
Huyo sio rafiki yako, alistahili awe mke wako.mkuu,Mimi naomba nitoe ushuhuda kusapot hoja yako,nipo songea ndiko nakofanyia kaz (41 kj-ruhuwiko),nina rafiki yangu wa kike yy ni mwalim shule ya msingi iramba huko mkoani singida,ni rafiki yangu sana na tumeshibana sana,huwezi amini kampani na misaada tunavyosaidiana mmoja wetu akikwama huyu binti husimama na mm kuliko rafiki yangu wa kiume mwenye hadhi ya mkuu wa mkoa au waziri,nilipata matatzo kdgo kazin halaf nyumbani kukawa na shida iliyohtaj uwekezaj wa nataka sana kuisolve,aliingia bank akakopa 6M akanitumia yote,ishatokea shida flan pia kwao,yy akiwa na hali mbaya kifedha kipind hcho,nikamwambia tulia,nilizama bank na kuomba ruhusa job,nikifunga safar had kwa wazaz wake bariadi huko na nikaisimamia ile shida had tukaimaliza,tulizungushwa sana mahakamani na nyumba ya wazaz wake tukaiokoa kupigwa mnada,tunashibana sana na huyu rafk yng madam D****e
Jux !!! Kawaje????Weka bayana, mambo kama yepi? Ninachojuwa mwanamme ukiwa na marafiki wengi wa kike unakuwa na tabia za kisenge/ushoga na haitakuchukua muda unaanza kupenda wanaume wenzako. Tunawaona vijana kama kina Jux na wengine wengi tu.
Tukubaliane ukianza umatonya nakutangaza jf...... 😂 😂 😂 😂 😂 😂@agata edward try me my dear
Mkuu huku watu hawawk Kaz zao japo watu wanatumia fake ID huku pita kama unapita lile shimo tu kule makao makuu need nikutakie Kaz njemamwaka 2002 tukiwa shule ya msingi huko huko bariadi,baba yake ndo alikuwa mwalim mkuu pale,tulikuwa tukikutana shuleni na kanisani (SDA-church),tulipotezana walivyohamishwa mwaka 2005 namm nikabaki palepale kijijini,nlienda sec bila mawasiliano naye,tukaja kupata mawasiliano mm nikiwa advnc yy akiwa Chuo cha ualim huko ndala tabora,nlienda Chuo kikuu nikasoma semester moja tu nikapiga chini baada ya kupata mchongo sehem nyingine,nikaenda depo tukapitezana,tulizd kupotezana zaid nlivyoenda jamhuri ya afrika ya kati mwaka flani,had narud skuwa na mawasiliano naye, alikuja kunipata kwny mitandao ya kijamii nikiwa nchini Cuba course na kuanzia hapo tukawa zaidi ya marafiki au ndugu,akipata tatzo anajua kabisa msaada namba moja ni mm co ndugu zake,hata mm pia ni hivyohvyo,kuna mambo mengi tushaongea,tushasaidiana,tuko waz kw kila moja,ni msiri wangu na mm ni msiri wake,tunapendana sana halaf hatuoni aibu kueleza tatzo lako kwa mwenzio,tuko free kwa kiasi ambacho siwez elezea
Urafiki wa faida we hauuwezi???Hivi kumbe wapo wanaokuwa marakifi tuu bila kuvuka mstari?
Mie huishia kunitongoza tu na urafiki unakufa au tunakuwa wapenzi after a while tunamwagana na urafiki unakufa.
Waliobaki ni washkaji tu hata siwezi kuwaita marafiki.
Mimi nauweza, sema nyie sasa lazima mtaingiza mambo mengine yasiyo na faida.Urafiki wa faida we hauuwezi???
Teh teh..Mtoto alipatikana kwa Bluetooth ama??Mbona wewe hadi leo hauna hisia za kimapenzi nami?