Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Sikuangushi bana ila mwenzio wiki hii nimefululiza kupata mualiko wa Iftar nikakosa muda...

Sasa ningefanyaje na Iftar ilivyo tamu.

Ila leo usiku nitafanya kidogo
Yaani wewe unaniangusha sana jamanii!
Leo nimefanyia maeneo ya nyumbani! Mvua ilikuwa kubwa...
 
Ila lazima mtakuja kupendana kimapenz...
Inategemea na akili zao, nina rafiki yangu tulikutana kazini na ndipo urafiki ulipoanzia. Tulikuwa very close hd baadhi ya staff wakawa wanahisi tunatoka kimapenzi maana misaada tuliyokuwa tunasaidiana si ya kawaida. Hadi ikatokea mm nikahama shirika lkn bado urafiki wetu vile vile na sasa ni mwaka wa tano huu.
 
Sikuangushi bana ila mwenzio wiki hii nimefululiza kupata mualiko wa Iftar nikakosa muda...

Sasa ningefanyaje na Iftar ilivyo tamu.

Ila leo usiku nitafanya kidogo
Hahaha hahaha hahaha
Yaani wewe kupungua sahau jamani!

Sikukuona humu mida ya jioni nikajua unapambana kumbe ni iftar unakula jamani
 
Nimependa hii...hongera sana.
Hii inafaa kama wote mnaajukumu ya kifamilia, mko ktk ndoa au so wa mmoja na mheshimu mipaka yenu.
Kweli kbs, kwa mf mm rafiki yangu tulikutana tukiwa single hd tukapata familia. Na ht imekuwa ajabu sana hatujawahi kuambiana khs ishu za kupata watoto lkn imeshatokea mara mbili watoto wetu wote wanapishana mwezi.
Yaan inakuwa ile namwambia nimejifungua nae ananiambia wife pia muda wowte atashusha.
 
mkuu,Mimi naomba nitoe ushuhuda kusapot hoja yako,nipo songea ndiko nakofanyia kaz (41 kj-ruhuwiko),nina rafiki yangu wa kike yy ni mwalim shule ya msingi iramba huko mkoani singida,ni rafiki yangu sana na tumeshibana sana,huwezi amini kampani na misaada tunavyosaidiana mmoja wetu akikwama huyu binti husimama na mm kuliko rafiki yangu wa kiume mwenye hadhi ya mkuu wa mkoa au waziri,nilipata matatzo kdgo kazin halaf nyumbani kukawa na shida iliyohtaj uwekezaj wa nataka sana kuisolve,aliingia bank akakopa 6M akanitumia yote,ishatokea shida flan pia kwao,yy akiwa na hali mbaya kifedha kipind hcho,nikamwambia tulia,nilizama bank na kuomba ruhusa job,nikifunga safar had kwa wazaz wake bariadi huko na nikaisimamia ile shida had tukaimaliza,tulizungushwa sana mahakamani na nyumba ya wazaz wake tukaiokoa kupigwa mnada,tunashibana sana na huyu rafk yng madam D****e
Hongera mkuu,kwa kupata rafiki mwaminifu
 
Hahah nitapungua tu jamani ila tusubiri wamalize mfungo! !

Hiyo nguvu ya kukataa mualiko wa Iftar naitolea wap???
Hahaha hahaha hahaha
Yaani wewe kupungua sahau jamani!

Sikukuona humu mida ya jioni nikajua unapambana kumbe ni iftar unakula jamani
Tena wanajua kushawishi hatari!!!Labda nisipokee simu zao aisee!!!

Si unaona navyopewa vishawishi!?
 
Kumbe wewe sio mkulima babaa!
Mie najua za viwes aki!!!

Sina shamba mimi baba, nalima ya watu
Mimi ninanua mashamba ovyo ovyo mama.

Sasa ni zamu ya kwetu Tanga.

No sie za views, sijui elewesha mimi na sababu wewe hujataka nielewa pia
 
Hahah nitapungua tu jamani ila tusubiri wamalize mfungo! !

Hiyo nguvu ya kukataa mualiko wa Iftar naitolea wap???Tena wanajua kushawishi hatari!!!Labda nisipokee simu zao aisee!!!

Si unaona navyopewa vishawishi!?
Hahaha hahaha
Zima simu wakati wa jioni bana!
Wewe hutaki kuchomekea kama mimi jamani
 
Mimi ninanua mashamba ovyo ovyo mama.

Sasa ni zamu ya kwetu Tanga.

No sie za views, sijui elewesha mimi na sababu wewe hujataka nielewa pia
Ngoja nikutafutie baba, nitakujulisha tuu likipatikana...

Utanielewesha tuu taratibu, ila fanya utaratibu wa kuifungua niendeshe walau IST
 
mwaka 2002 tukiwa shule ya msingi huko huko bariadi,baba yake ndo alikuwa mwalim mkuu pale,tulikuwa tukikutana shuleni na kanisani (SDA-church),tulipotezana walivyohamishwa mwaka 2005 namm nikabaki palepale kijijini,nlienda sec bila mawasiliano naye,tukaja kupata mawasiliano mm nikiwa advnc yy akiwa Chuo cha ualim huko ndala tabora,nlienda Chuo kikuu nikasoma semester moja tu nikapiga chini baada ya kupata mchongo sehem nyingine,nikaenda depo tukapitezana,tulizd kupotezana zaid nlivyoenda jamhuri ya afrika ya kati mwaka flani,had narud skuwa na mawasiliano naye, alikuja kunipata kwny mitandao ya kijamii nikiwa nchini Cuba course na kuanzia hapo tukawa zaidi ya marafiki au ndugu,akipata tatzo anajua kabisa msaada namba moja ni mm co ndugu zake,hata mm pia ni hivyohvyo,kuna mambo mengi tushaongea,tushasaidiana,tuko waz kw kila moja,ni msiri wangu na mm ni msiri wake,tunapendana sana halaf hatuoni aibu kueleza tatzo lako kwa mwenzio,tuko free kwa kiasi ambacho siwez elezea
Sawa,kwa comment hii kuna siku mtakulana tu,kama nawaona vile mnavyoona aibu kuanza kutamkiana, hakunaga urafiki wa mbuzi na mamba zaidi ya kuliwa tu
 
Rahisi kuwapata ila mkiridhiana kitabia mtajikuta mnakuwa wapenzi ... Labda urafiki huo uchanganywe na kazi ili chakuzungumzia kiwe hicho... Though this acha niongeze marafiki watanisaidia in unexpected way
 
Back
Top Bottom