Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Hahah Wallah tena sina mpango wa kukukula!!Tena mie na mambo hayo tofauti..

Hvi hata sijui kwanini nasahau kuhusu ile I'd kila siku aisee
Ila soon...

Hahaha hahaha
Wewe rafiki ile ID vipi eti!
Halafu tufanye mpango wa urafiki bila kukulana bana!
 
Sina masihara ujue!
Fanya kutumia website yako basi, mie sina!
Mkulima na website wapi na wapi eti; Mimi nimekuambia niletee website yeyote ya taasisi ama ya mtu wako unaemuamini yenye link inayo sapoti donation tupate pesa maana ameniambia kuna watu wanapeana millions of money
 
Yan hofu ondoa...Ila kiukweli rafiki wa kike ni best Vp leo ulienda??Mie mwenzio wiki hii nimekuwa kavivu!!
Yaani wewe unaniangusha sana jamanii!
Leo nimefanyia maeneo ya nyumbani! Mvua ilikuwa kubwa...
 
Mkulima na website wapi na wapi eti; Mimi nimekuambia niletee website yeyote ya taasisi ama ya mtu wako unaemuamini yenye link inayo sapoti donation tupate pesa maana ameniambia kuna watu wanapeana millions of money
Unaonaje tuanzishe ya kwetu wawili... Nakuamini wewe tuu, wengine wataniibiaa
 
Back
Top Bottom