Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Mimi nauweza, sema nyie sasa lazima mtaingiza mambo mengine yasiyo na faida.
Sasa we ndo mtu wangu wa karibu zaidi..Kweli nimebanwa na genye nikatafute stranger ambaye sijui status ya afya yake wakati we upo??..
 
Mtoto asingekuwa kichwa vile..Washiriki lazima walijituma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We usinisingizie, mimi sikujituma. Kumbuka ulinirubuni, ule ni ubakaji kabisa.
 
Sasa we ndo mtu wangu wa karibu zaidi..Kweli nimebanwa na genye nikatafute stranger ambaye sijui status ya afya yake wakati we upo??..
Tumbaaaafu!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si unaona sasa akili zenu, kwahiyo status yangu ya afya unaijua?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We usinisingizie, mimi sikujituma. Kumbuka ulinirubuni, ule ni ubakaji kabisa.
Ebu acha hizi story..Mtoto akiona atajisikia vibaya..
 
Tumbaaaafu!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si unaona sasa akili zenu, kwahiyo status yangu ya afya unaijua?
Ofcoz naijua..We mtu wangu wa karibu..Tumeshibana..Tunaelezana kila kitu..

Kwani haiwezekana marafiki mkawa mnapeana utamu na urafiki ukaendelea??
 
mkuu,Mimi naomba nitoe ushuhuda kusapot hoja yako,nipo songea ndiko nakofanyia kaz (41 kj-ruhuwiko),nina rafiki yangu wa kike yy ni mwalim shule ya msingi iramba huko mkoani singida,ni rafiki yangu sana na tumeshibana sana,huwezi amini kampani na misaada tunavyosaidiana mmoja wetu akikwama huyu binti husimama na mm kuliko rafiki yangu wa kiume mwenye hadhi ya mkuu wa mkoa au waziri,nilipata matatzo kdgo kazin halaf nyumbani kukawa na shida iliyohtaj uwekezaj wa nataka sana kuisolve,aliingia bank akakopa 6M akanitumia yote,ishatokea shida flan pia kwao,yy akiwa na hali mbaya kifedha kipind hcho,nikamwambia tulia,nilizama bank na kuomba ruhusa job,nikifunga safar had kwa wazaz wake bariadi huko na nikaisimamia ile shida had tukaimaliza,tulizungushwa sana mahakamani na nyumba ya wazaz wake tukaiokoa kupigwa mnada,tunashibana sana na huyu rafk yng madam D****e
Mimi pia ninaye rafiki/bestie/mshkaji wangu wa dhahabu kabisa aisee. Ni zaidi ya rafiki, zaidi ya ndugu kwangu. Nikiwa na shida hata usiku wa manane atahangaika kila kona anisaidie. Mimi pia akiwa na shida nitahangaika hata kukopa ili nimsaidie. Tumekuwa marafiki wa muda mrefu toka yupo single hadi sasa kaoa na ana watoto wawili, hadi famiia zetu wanatufahamu. Na hajawahi kunitongoza wala kunitamkia mapenzi kwa kipindi chote cha urafiki wetu

He is truly a friend indeed, a sholder to cry on, a ride or die.
 
Ofcoz naijua..We mtu wangu wa karibu..Tumeshibana..Tunaelezana kila kitu..

Kwani haiwezekana marafiki mkawa mnapeana utamu na urafiki ukaendelea??
HAIWEZEKANI.
 
Back
Top Bottom