Washachonganishwa hapooo!!!!

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
44913_1298250275884_2845077_n.jpg
 
Ahahahahah! Mambo ya PUTA hayo! Ukiambiwa puta, ukiputa tu, kimeo lazma ujue kuzichapa!
 
huyo wa kushoto inaonekana anayaweza maana ana sura ya kikauzu sana??
 
Wanakunja ngumi Kama dk 10..na kutupiana maneno tu,njoo njooo sasa..wakianza kupigana ni dk 3 tu ngumi zimeisha,wanarudi kucheza wote tena.
Utoto raha sana
 
Na kabla hawajachonganishwa waliambiwa wapute mchanga then watie dole kama haujafanya hivyo basi wewe unamuogopa mwenzako.
 
Huu hii ni Makete hii, si unaona masweta hayo? Siku zote anaevua shati hua anaishia kupigwa
 
Hizi picha huwa sizipendi, simply I can see bullying....huyo mwenye carwash anasura ya Ugomvi
 
ukichapwa 'kerub' mbili za tumbo zikaingia sawasawa....lazima useme 'hamna kupiga za tumbo....mie mama kanikataza!'
 
tulivokuwa wadoko ilikuwa mkizinguana tu, mtu anaweka mchanga mkono yote miwili anawaambia kila mtu amwage mkimwaga tu ngumi zinaanza, mmoja akiogopa, kakubali kushindwa....ilikuwa tunapigana kama hatuna akili mpaka damu ............daaaaaaaaaaah utoto
 
Hapo ni ngumi za juu juu tu. Hakuna kushikana. Ukitolewa damu tu kidogo ndio ushapigwa
 
Back
Top Bottom