Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 326
- 627
Habarini ndugu wana JF niende moja kwa moja kwenye maada hapa.
Wakati nakua nilizaliwa kwenye familia ya kawaida sana baba yangu alikua mwalimu mama alikua mjasiriamali
One thing nili notice nikiwa shule niko mdogo nilikua nasikia hakuna kazi ya kijinga kama ualimu kwanza pesa hawana piaa wanaishi maisha ya shida sana[emoji2962]
Wakati naambiwa hayo nikawa na trace back home mimi nikiangalia home naona ofcoz mzee hakua vibaya sana nilikua najiuliza hayo maisha mabaya ndio haya tunaishi na sisi nyumban au vipi?
Nikasema ok sasa nilipokua nakua kwanza nilikuata mzee kajenga tayar nyumba nzuri sana tu ana usafiri i mean private car kama mbili moja alikua anatembelea yeye nyingine mama anapoenda kwenye kazi zake kanisani wakubwa wangu wanasoma shule za private ada ni kubwa tu na kuna muda alikua alisomeasha na watoto wa Ndugu waliokua wamefeli anawarudisha shule mpaka wanafaulu wanafika mpaka chuo kikuu MUNGU mkubwa woote walisha ajiliwa na serikal na ni watumishi huko alhamdulilah MUNGU mkubwa nikajiuliza hayo maisha mazuri wanazungumzia ni yapi teena
Ofcoz sikuona mzee akiishi vibaya sana kama ninavosikia huko kwa wenzangu mbali na kwamba alikua mkulima piaa mfugaji na anafanya biashara mbalimbali
Ikafika muda nikamuuuliza kipindi niko class 7 baba sisi ni masikini? Akanijibu wewe unaonaje?[emoji3][emoji3]
Akasema mwanangu sisi sio masikini kwasababu tuna furaha...labda unaponiuliza hilo swali unamaanisha umasikini wa nn? Nikasema wewe huna hela? Akasema unanifananisha na Nani? Nikamwambia kuna wenzangu wamesema shuleni walimu hamna hela...... Akacheka akasema mwanangu jitaahidi usome akacheka[emoji3][emoji3] na mimi nikaondoka[emoji124]
Nilipofika form 1 nika realize kwanza kwenye biashara zake na kaz zake amewaajiri watu kama 15 na woote hao wanafamilia yaan wanatoka nyumbani wanaenda kwenye kazi za mzee kazi ambazo ni permanent zinahitaji skills sio kazi za kulima yaaan zile kazi ni za mwaka mzima nikagundua kwamba hazikua kazi za investment ndogo
Nikiangalia walimu wengine naona ni kama kuna ukweli baado nilikua nafanyia uchunguzi lile suala
Nikaenda nikamuuliza mshua ili nije kua na maisha mazuri nifanyaje na anambie siri ya mafanikio yake hayo japo madogo na mimi nataman nianzie hapooo
Akanambia mimi hapa sijafika hata asilimia 40% ya nilichokua nakiota
Lakini ili ufanikiwe kifedha na kiimani kwanza hakikisha unalinda afya yako siku zoote muombe MUNGU fanya kazi kwa bidiii na usiache kujaribu kubwa zaidi kuliko yoote KUA MUAMINIFU ZAIDI KWA WEWE MWENYEWE [emoji2962]
Nikamuuliza hapa kua muaminifu kwa mimi ni nini
Nakuaje muaminifu kwangu inakuaje nakua muaminifu kwangu mwenyewe?
Nakumbuka alicheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787] akamwita mama akasema mwanao ana reason huyu ulikua unamlisha nini anyway akasema " Mwanangu hakuna mtu asiejitakia mema siku zote na kila mtu ana malengo usikubali kubaki hapo ulipo kwa sababu kipato cha kazi unayofanya hakiwezi kukidhi ndoto zako kubwa ulizo nazo tafuta namna yoyote kuzifanikisha na hakuna tajiri duniani anae tegemea njia moja ya kipato mwisho akanambia USIPOJITUMA UTATUMWA hapa duniani huwezi kuwa nje ya haya mambo mawili USIPOJITUMA WATU WATAKUTUMA TU na nilazima uwe mpole kwasababu malengo yako ni kutafta chakula chagua wewe Utataka KUTUMA au KUTUMWA
nikashika kichwa tu akasema kama usipokua muaminifu kwako maana yake hutaweza kuyafuata mawazo yako mazuri unayojiwekea kwasababu kila mtu ana mawazo mazuri kumhusu hakuna mtu anawaza mambo mabaya kumhusu yeyen njia nzuri ya kuyafikia ni kujituma hapo ndio unakua unaonesha uaminifu kwako mwenyewe.
All in all [emoji3][emoji3] lengo la stori ni kumotivate tufanye kazi maana humu watu wataanza ku judge uyo mzee wangu sasa[emoji1787][emoji1787]