Wasemavyo makamanda walioko mstari wa mbele igunga

Wasemavyo makamanda walioko mstari wa mbele igunga

<br />
<br />
Kupiga wakuu wa wilaya wenye akili finyu km wale si jambo dogo, fikra imetumika pale!

Anashughulikwa mwenzako aliyefanya upuuzi huo nenda kamsaidie...mwisho ujinga majuto..
 
Hilo linaweza lisiwe kosa lako... kosa ni la huyo aliyekufundisha kwamba vita lazima watu washike silaha....

Hata kukunja ngumi na kumpiga mwanamke ni vita..tena ya watu waoga waoga wa vita kweli
 
Back
Top Bottom