Wasemavyo makamanda walioko mstari wa mbele igunga

Magwanda mna mawazo mazuri sana ila tatizo lenu mkishapiga ndumu mnaanza kumwagia watu tindikali na kupiga viongozi wa nchi. Hii ndiyo sababu watu hawataki kuwapa uongozi kwasababu wanaogopa mnaweza mkageuza majengo ya ofisi kuwa vijiwe vya ndumu.

Somo hilo lingeanza kwenye chama chenu..ondoeni fikra za kushabikia undugu na ukanda..mfano. viti maalum

Misingi imewekwa na ccm siyo nyinyi..nyinyi misingi mlianza kuweka lini na wapi?

anaweza kufuata misingi ni yule aliyeweka misingi na si vinginevyo..

tafuta hoja nyingine acha kuimba ngojera...

Ama kweli kupenda ni donda ndugu hata hivyo nikwambie tu kama wewe si mtoto au ndugu ya kigogo wa CCM umsindikizaji tu, mifano niliyonayo ni mingi kuliko kifani sitaki kuitaja hapa. Kuhusu misingi kuiweka CCM mimi nadhani si kila mhunzi ni mtumiaji mzuri wa silaha atengenezayo, CCM wakati wetu ilihubiri ilichofanya na kutenda. CCM ya sasa inahubiri na kutenda vingine. Kwa kuwa kwenye miti hakuna wajenzi basi sitashanga kama misingi mizuri ya CCM ya zama zile kuwa inaweza kusimamiwa ipasavyo na CDM.

Amini hivyo na hii kwa sasa mahali pema pakusimamiwa misingi hiyo si CCM bali ni CDM ndio pekee wenye mikono safi na roho zilizotukuka kisiasa. Maisha binafsi ya Mwanasiasa hayanamaana kwetu sisi na ndiyo maana hatujawahi kutumia hali hiyo kuwahukumu viongozi wa CCM ambao wote hakuna mwenye maisha binafsi yaliyotukuka. Kwa hiyo ndugu topical tukubaliane baadhi ya mambo kuwa ccm ya sasa haiwezi kutufikisha pale ambapo mimi na wewe tunatamani kufika iwe isiwe. Kwamba haya niyasemayo ni ngonjera mimi sijui na sipendi kuingia katika non proffessional debate, i respect everybody regardless of his/her varying opinion and i will never in my opinion contempt my opponent even in time when academic weakness in him/her is an open fact. Please do me favour by avoiding non proffessional language in any debate that will find us engaged. I love debate and challenges but i hate unprofessionalism.

Nimekulia CCM nimelelewa na familia yenye itikadi ya CCM lakini sijisikii kuwa mmoja wao kwa leo kwani si CCM niliyoikulia na kuipenda

Aisee hili ni jambo la maana sana, wa TZ tumelishwa fikra mbovu sana tena sana ma CCM! lkn huu ndo mwisho wao kwa kweli sasa tumeamka

Tusije kusalitiana tu baada ya matokeo na huko tuendako maana magamba kwa wizi wa kura tu hawajambo

Tunataka kubadili fikra za kujali mkate na kuchumia tumbo badala ya kuweka masilahi ya umma mbele, fikra za ndiyo mzee, fikra za kushabikia urafiki, undugu na itikadi isiyo na tija badala ya ushabiki wa hoja, uchapaji kazi na uadilifu. Tunataka kubadili fikra potofu za kusema Tanzania hii ambayo ni hoi mikononi mwa CCM eti haiwezi kuwa mikononi mwa watu wengine wasio wana ccm. Kuiondoa nchi na taifa letu pamoja na rasilimali zetu mikononi mwa mafisadi, kuwaongoa watanzania katika kivuli cha wajinga wachache waliotusaliti kwa kuharibu misingi yetu tuliyojiwekea ya miiko ya uongozi.
Fikra za kuaminika za kukataa posho huku mkipokea kinyemera.

Jamii inahitaji ukombozi wa kifikra katika nyanja zote, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni.
Hali ya uhuru wa fikra inasikitisha sana, uthibitisho unapatikana humu humu jinsi wachangiaji walivyoathirika na utumwa wa kisiasa za vyama kiasi kwamba wanatetea upuuzi mtupu.
Mtu yeyote mwenye fikra huru, hawezi kuunga mkono mambo ya kijinga au kipuuzi hata kama yamefanywa na mzazi, ndugu au rafiki ukiachilia mbali makundi ya kijamii kama vyama vya siasa!

hapa mkuu umesema uliwatumia sms watu watano lakin umetupa reply ya mmoja tu wengine walisemje naomba kujua

hapa mkuu umesema uliwatumia sms watu watano lakin umetupa reply ya mmoja tu wengine walisemje naomba kujua
mwingine alisema "pamoja sana" mwingine "Pmoja tutaweza" mwingine alituma ujumbe kwa kutumia maneno ya Paul Frera ambayo yanasema " Freedom is acquired by conquesty not by gift. It must be pursued constantlyand responsbly (Paul Freira 1968; Pedagogy of the Oppressed). Mmoja naona alikuwa katika sehemu za mapambano na ambayo niliona SMS yangu ilishindwa kuwa delivered.

kazeni boot wakuu tuko pamoja Na Mungu awaongoze hii safari ni ndefu lakini yote yanwezekana tuko pamoja

Fikra zipi hizo kupiga wakuu wa wilaya tena wanawake?

Fikra zitatoka kwenu nyinyi msio na uadilifu hata kidogo..pole

Kupiga wakuu wa wilaya wenye akili finyu km wale si jambo dogo, fikra imetumika pale!

Hili tatizo pia litapatiwa tiba muda si mrefu sijui mtaiba nini! Hahahahahaha!
Tusije kusalitiana tu baada ya matokeo na huko tuendako maana magamba kwa wizi wa kura tu hawajambo

Fikra zipi hizo kupiga wakuu wa wilaya tena wanawake?

Fikra zitatoka kwenu nyinyi msio na uadilifu hata kidogo..pole

Unataka kuniambia kwamba DC akifanya ugoni na mke/mme wako utamheshimu? MaDC unaozungumzia wanafanya kazi ya kubaka Demokrasia wakati wanajua kuwa siyo jukumu lao kuifanya kazi ya chama fulani. Alitumwa kufanya nini katika kijiji ambacho kuna mkutano wa kampeni? Hata wakielezwa kwa ustaarabu hawasikii.

Jamii inahitaji ukombozi wa kifikra katika nyanja zote, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni.

Hali ya uhuru wa fikra inasikitisha sana, uthibitisho unapatikana humu humu jinsi wachangiaji walivyoathirika na utumwa wa kisiasa za vyama kiasi kwamba wanatetea upuuzi mtupu.

Mtu yeyote mwenye fikra huru, hawezi kuunga mkono mambo ya kijinga au kipuuzi hata kama yamefanywa na mzazi, ndugu au rafiki ukiachilia mbali makundi ya kijamii kama vyama vya siasa!

Kweli mkuu kwani kika mtu akijua haki yake itakua rahisi kuikomboa nchi yetu

Nina imani hatutashindwa kama south afrika waliweza kujikombo toka kwa makaburu japo walikua makatili zaidi ya serikali ya magamba sisi tutashindwa kwa lipi?

Fikra zipi hizo kupiga wakuu wa wilaya tena wanawake?

Fikra zitatoka kwenu nyinyi msio na uadilifu hata kidogo..pole

Jamani ni lazima kutambua katika mapambano ni lazima kuzingatia taratibu hata akiwa mwanamke au mwanaume ni wajibu wake kama kiongozi afate taratibu zote za sheria. Namaanisha kuwa hakuna aliye juu ya sheria hata kama ni mwanamke. Mtu asiye jitambua ni bure kabisa yaani ni sawa na kopo la choooni. Aluta continua mapambano no matter what and who is who!!

Kwa hiyo Mwigulu kumla uroda mke wa kada mwenzake ndiyo uadilifu?. CCM kweli ni Chama Cha Machangudoa, kwenye mbio za mwenge uzinzi, kwenye kampeni uzinzi, kwenye kazi wanapeana kwa kuvuana chupi.

Inawezekana mama alikuwa anatkituumbua chake!! Hawa wamezoea kufanya mambo machafu machafu ndiyo maaana magonjwa ya zinaa hayawaishi...... VIVA CDM NA WAPAMBANAJI WOTE tANGANYIKA YETU INAKUJA

Back
Top Bottom