Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,320
- 108,378
Kwani hao wasanii ni maalum kiasi gani hata wapewe attention kiasi hicho?
Hivi kila mtu akitaka kubebwa kama wasanii wanavyolilia wabebwe si itakuwa malalamiko nchi nzima?
Tatizo la wasanii wa kitanzania ni kutaka kubebwa wakati hata ubora wa kazi zao ni wa hovyo tu...
Hasheem Thabeet ni mfano wa mtu maarufu ambaye ashawahi kuwaumbua hao viongozi baada ya kuanza kuonesha kujipendekeza wakati mafanikio yake yalikuwa ni juhudi binafsi...

Swali dogo tu, kuna kiongozi gani wa Ukawa ashawahi kuwasupport hawa wasanii pengine hata kwa kuwapa tu pongezi katika mafanikio wanayopata? Rais J. Kikwete amekuwa mtu wa karibu sana kwa hawa wasanii, je mlitaka wasahau fadhila zake? Chadema, CUF, NCCR na NLD hakuna hata mmoja ambaye hata kwa bahati mbaya tu aliwahi kutoa pongezi kwa jitihada zinazofanywa na wasanii. Kabla Ukawa hamjalaumu, mjiulize kwanza mmewasaidiaje hawa wasanii katika kazi zao.