Wasanii wasioiunga mkono CCM kukosa airtime Clouds

wewe ni nani mpaka uisemee nafsi ya mtu?wao wanayosababu ya kuipenda ccm kama wewe ulivonasababu ya kuipenda ukawa,so dnt judge a person just because you want even hm/her to be with you in da same side...

Kuwa muelewa,hao baadhi ya Wasanii wanajidai wanaipenda CCM ili wapate visenti wasepe zao,NA CCM inawatumia kipindi hiki ili waweze kupata watu wengi kwenye mikutano yao lakini mioyoni mwao wasanii hawataki kuisikia CCM iliyowaletea umasikini kwa miaka zaidi ya 50..NJAA MBAYA SANA.Msimamo wetu ni kuwa HATUITAKI CCM NA KURA YETU NI KWA LOWASSA WA CHADEMA,UKAWA.
 
Watu wanafuata page zao kwa ajili ya burudani sasa wanapoanza kunadi siasa ni upumbavu, nadhani wangefungua acc nyingine kwa ajili ya siasa na wangepata followers wakisiasa wa mlengo wao
isky ila msanii ni mtanzania kama mimi na wewe na anahisia za kupenda kitu kama mimi na wewe tunavyopenda....msanii kuwa chadema au ccm ni haki yake kabisaaaa...kuhusu kupost kwenye account yake sioni kosa mimi.. anajaribu kushawishi watu wakubali anachopenda may be chadema au ccm...me naona mshabikie msanii kwa kazi zake bila kujali kapost picha za lowasa au makufuliii...ila mbona tunashangilia msanii kupata mtoto...kuwa na mahawara n.k? ???tuwaache bhana wajinafasi....
 
Last edited by a moderator:
Wote tunajua huwa anajaribu kuwa karibu na wasanii ili kuwapumbaza watanzania wasijadili maovu yao, halafu wakati huohuo CCM inaendelea kuiba na kuuza rasilimali za taifa,kama ni hivyo KWANINI msiwasaidie hao wasanii kazi zao zisiibwe na kuuzwa mitaani na kila mara wasanii wanalalamika?

KWANINI wasiwatengenezee vijana ajira? Eti mnawakumbatia kipindi hiki cha karibu na uchaguzi. HATUDANGANYIKI NG'O, KURA YETU NI KWA LOWASSA WA CHADEMA,UKAWA.

napata hofu kijana kama wewe unakuja unasema serikali ikutengenezee ajira kwel,?kwa fikra hz hatuwez kuendelea.kaz ya serikali ni kucreate environment ya vijana kujitengenezea ajira na sio kaz yao kutengeneza ajira,ndomana kikwete alikua anajitahid kuwasupport wasanii ili wengne waone huo wigo wa ajira ndo source ya kinondoni search,bss,dance 100 nk..
 
Yatatokea mengi sana, watapambana kufa na kupona ila ukweli ni kuwa; "Jiwe walilokataa CCM sasa limekuwa jiwe kuu la nchi, kina Nape na Kikwete wakiangukiwa na jiwe hilo watasagwasagwa"

Viongozi waandamizi wa kituo cha matangazo cha clouds wamewashurutisha wasanii pamoja na wafanyakazi wake waonyeshe kwa vitendo kwenye jamii kuwa wanaomuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya CCM ndugu John Magufuli ama sivyo washukiwe na rungu zito.

Kutokana na kulazimishwa huko tayari tasnia ya sanaa imegawanyika kwa baadhi yao kuonyesha kukerwa na hatua hiyo. Wapo waliosema waziwazi kuwa huo ni udhaifu mkubwa mfano ambao umetolewa na Vicent Kigosi 'Ray'

Je hii inaonyesha jinsi ambavyo baadhi ya wasanii na watangazaji wa Clouds wasivyotumia akili na kuwa na hofu kubwa juu ya kesho yao?
 
Sana Sana Mtu MNAFIKI Kwetu CCM Hapo Ni Huyu Mtangazaji Hudson Kamoga Ni Mdau Mkubwa Mno Kama Siyo Sana Wa CHADEMA / UKAWA. Sijui Anajiamini Nini Wakati...........Ngoja Niishie Tu Hapa.
 
Kuwa muelewa,hao baadhi ya Wasanii wanajidai wanaipenda CCM ili wapate visenti wasepe zao,NA CCM inawatumia kipindi hiki ili waweze kupata watu wengi kwenye mikutano yao lakini mioyoni mwao wasanii hawataki kuisikia CCM iliyowaletea umasikini kwa miaka zaidi ya 50..NJAA MBAYA SANA.Msimamo wetu ni kuwa HATUITAKI CCM NA KURA YETU NI KWA LOWASSA WA CHADEMA,UKAWA.

sasa hata wakiwa wanatafuta vijisent wew tatzo lako nin,si kila msanii anakikatio chake,tatizo lipo wap?
 
hadi dogo janja kampiga chini homeboy wake lowassa, chalii wa r?
 
isky ila msanii ni mtanzania kama mimi na wewe na anahisia za kupenda kitu kama mimi na wewe tunavyopenda....msanii kuwa chadema au ccm ni haki yake kabisaaaa...kuhusu kupost kwenye account yake sioni kosa mimi.. anajaribu kushawishi watu wakubali anachopenda may be chadema au ccm...me naona mshabikie msanii kwa kazi zake bila kujali kapost picha za lowasa au makufuliii...ila mbona tunashangilia msanii kupata mtoto...kuwa na mahawara n.k? ???tuwaache bhana wajinafasi....

Ningewaona wamaana kama wangehimiza watz kujiandikisha kupiga kura na si kukipigia kampeni chama flan, na ingekuwa powa hata kama wangeshiriki kutimbuiza katka kampeni zao kama wasanii na c wanachama na hiyo inaweza kuwacost hata hao wasanii hv unadhani kukipigia kampeni ccm na kesho ukawa wakiingia madarakani watakuwa kwenye pstn gani?? Unajua kuna Diamond na Naseeb abdul hivyo ni vitu viwili tofauti kama Nasibu angepigia kampeni ccm isingekuwa ishu ila kwa diamond si sawa. Kwa mfano kesho akijitokeza kama Diamond na kusema wafuasi wangu mfuate dini fulani utasapoti?
 
Last edited by a moderator:
Yatatokea mengi sana, watapambana kufa na kupona ila ukweli ni kuwa; "Jiwe walilokataa CCM sasa limekuwa jiwe kuu la nchi, kina Nape na Kikwete wakiangukiwa na jiwe hilo watasagwasagwa"

Viongozi waandamizi wa kituo cha matangazo cha clouds wamewashurutisha wasanii pamoja na wafanyakazi wake waonyeshe kwa vitendo kwenye jamii kuwa wanaomuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya CCM ndugu John Magufuli ama sivyo washukiwe na rungu zito.

Kutokana na kulazimishwa huko tayari tasnia ya sanaa imegawanyika kwa baadhi yao kuonyesha kukerwa na hatua hiyo. Wapo waliosema waziwazi kuwa huo ni udhaifu mkubwa mfano ambao umetolewa na Vicent Kigosi 'Ray'

Je hii inaonyesha jinsi ambavyo baadhi ya wasanii na watangazaji wa Clouds wasivyotumia akili na kuwa na hofu kubwa juu ya kesho yao?

Sijakuelewa mkuu tupe ushahidi!

1.UMEJUAJE?

2.UNAFANYA kazi clouds au wamekwambia?

3.Au ni mahaba kwa UKAWA yanakusumbua?

4.Au UNAROPOKA tu bila ushahidi
 
Wasanii Na wafanyakazi kura ni siri ya kila MTU wakubalieni ki mwili ila kiroho in maamuzi yenu mpigieni kamanda Na mwanamageuzi Lowaasa
 
napata hofu kijana kama wewe unakuja unasema serikali ikutengenezee ajira kwel,?kwa fikra hz hatuwez kuendelea.kaz ya serikali ni kucreate environment ya vijana kujitengenezea ajira na sio kaz yao kutengeneza ajira,ndomana kikwete alikua anajitahid kuwasupport wasanii ili wengne waone huo wigo wa ajira ndo source ya kinondoni search,bss,dance 100 nk..

Hahaha... sijasema serikali iajiri vijana...kwa miaka yote hiyo Tanzania ikiongozwa na CCM bado mazingira ya vijana kupata ajira hakuna na zaidi rate ya vijana wasomi wasio na ajira inaongezeka...JE HAYO NDIO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA(including vijana?)
 
sasa hata wakiwa wanatafuta vijisent wew tatzo lako nin,si kila msanii anakikatio chake,tatizo lipo wap?

Tatizo ni CCM inawaadaa vijana kwa kuwatumia kipindi hiki cha kukaribia uchaguzi kisha itawatupilia mbali baada ya uchaguzi. WASANII WA TANZANIA HUWA HAWAISHIWI MALALAMIKO JUU YA SERIKALI.
 
Na hawa maelfu ya vijanawanaomaliza chuo mbona msiwatengenezee mazingira ya ajira? Mnawatumia wasanii kukusanya watu kwenye mikutano yenu...HATUDANGANYIKI NG'O. KURA KWA LOWASSA NA VIONGOZI WA UKAWA.

ngoja nikwambie marekani sio kwamba kuna ajira za kumwaga la hasha bali wanavyuo wakimaliza wapo tayar kuvolunteer kufanya kaz wthout payment mpaka waajir wanajenga imani nao na kuajiriwa,hapa tz wanavyuo wetu wanataka cheap thngx vitu vya direct,direct unatoka chuo unaajiriwa na kulipwa kitu ambacho sio wote wanapata hyo chance...ukiangalia makampun yanatangaza yanataka mtu experiencd wa miaka kadhaa lakin wew kama umevolunteer unabig chance yakupata that chance kwasababu wanakuona uchapakaz wako lakini sisi watz tunataka vitu mteremko watz wenzangu haiwezekani
 
Ningewaona wamaana kama wangehimiza watz kujiandikisha kupiga kura na si kukipigia kampeni chama flan, na ingekuwa powa hata kama wangeshiriki kutimbuiza katka kampeni zao kama wasanii na c wanachama na hiyo inaweza kuwacost hata hao wasanii hv unadhani kukipigia kampeni ccm na kesho ukawa wakiingia madarakani watakuwa kwenye pstn gani?? Unajua kuna Diamond na Naseeb abdul hivyo ni vitu viwili tofauti kama Nasibu angepigia kampeni ccm isingekuwa ishu ila kwa diamond si sawa. Kwa mfano kesho akijitokeza kama Diamond na kusema wafuasi wangu mfuate dini fulani utasapoti?

Nmekusoma mkuu....ila capitalism hii baba kila mtu anatafuta namna ya kupenya
 
Si kama Radio Five na UKAWA au wanayotangaza hayasikiki??!!!
G Sam acha unafiki . . . . ,Nchi haijengwi kwa majjungu na kuegemea upande mmoja unless unalipwa kwa kazi itayochafua Taifa. . . . . . Kama umeamua kukemea tabia fulani basi kuwa na wigo mpana wa kufanya hivyo, vyombo vya habari sio vya kuchekewa kipindi hiki. . . .
 
Huyu jamaa ni MCHOCHEZI
 
Last edited by a moderator:
ngoja nikwambie marekani sio kwamba kuna ajira za kumwaga la hasha bali wanavyuo wakimaliza wapo tayar kuvolunteer kufanya kaz wthout payment mpaka waajir wanajenga imani nao na kuajiriwa,hapa tz wanavyuo wetu wanataka cheap thngx vitu vya direct,direct unatoka chuo unaajiriwa na kulipwa kitu ambacho sio wote wanapata hyo chance...ukiangalia makampun yanatangaza yanataka mtu experiencd wa miaka kadhaa lakin wew kama umevolunteer unabig chance yakupata that chance kwasababu wanakuona uchapakaz wako lakini sisi watz tunataka vitu mteremko watz wenzangu haiwezekani

Mkuu nimefanya research kuhusu suala la ajira Tanzania sijakurupuka..The main reason why so many Tanzanian educated youths hawana ajira sio kwamba hawataki kuvolunteer au kuomba internship...ni kwamba hata hizo nafasi hazipo kwasababu hakuna favouring policies kwa vijana wa kitanzania katika makampuni mengi both public n private ones.
 
Back
Top Bottom