wiliam masangu
Member
- Jul 29, 2015
- 15
- 2
Acha wakose
clouds c ya serikali ni ya mtu binafc,so mwenye nayo anahaki ya kufanya kile anachoona kna maslah kwake..ukiona vp co lazma uckilize clouds coz radio na tv ni nyng ckilizen hzo nyngne
Kwa hiyo mfumo kama huo ukitengenezwa kwa kushirikiana vyuo vyetu na serikali houni kwamba ingekua ni rahisi Sana kutekelezeka ??? Marekani ipi unayoisemea wewe ???
Tatizo wanatumiwa vibaya na CCM na kuharibu reputations yao.
unfollow wote hao wapuuzi Kama unafollow
Swali dogo tu, kuna kiongozi gani wa Ukawa ashawahi kuwasupport hawa wasanii pengine hata kwa kuwapa tu pongezi katika mafanikio wanayopata? Rais J. Kikwete amekuwa mtu wa karibu sana kwa hawa wasanii, je mlitaka wasahau fadhila zake? Chadema, CUF, NCCR na NLD hakuna hata mmoja ambaye hata kwa bahati mbaya tu aliwahi kutoa pongezi kwa jitihada zinazofanywa na wasanii. Kabla Ukawa hamjalaumu, mjiulize kwanza mmewasaidiaje hawa wasanii katika kazi zao.
Nilikuwa nikimfollow dangote insta ila ujinga alioupost leo ilikuwa sina budi bali ni kumkata tu, kwa sasa hayuko miongoni mwa ninaowafollow. Wamegaiwa visent ama ahadi hewa wakasahau shida za ndugu zao mitaani
unadhani uchaguzi ukiisha utaenda kula kwa Lowassa?!
mimi nikuulize mf.wewe unaishabikia labda ukawa unaharibu reputation yako?mim siamini kuwa reputation inaharibiwa kwa kua chama fulan kama ilishndwa kuharibika kwenye skendo zao zakipuuz na bado watz tukaendelea kuwakubal siamini kama kua chama fulan kitasababsha sis kuachakuendelea kuwakubal unless othrwise watz tumelewa siasa
safi sanaDONE! Kwangu IG ni sehemu ya burdani baada ya kazi ngumu ya ujenzi wa taifa, kampeni na stress za siasa zipo hapa jf za kutosha kabisa, hao nimewaweka pembeni nitawa follow tena uchaguzi ukiisha....kama kutakuwa na umuhimu
Ndg hatuna utawala wa sharia, akina Tido Mhando hukumbuki yaliyowasibu TBC?Unafahamu taratibu za uendeshaji wa radio Kwa mwongozo wa tcra?? Au unaropokwa tu
Kuna msanii anaitwa Mwana FA ni muosha kinywa ile mbaya...
Hakuna watu wana akili ya mbuzi kama wasanii wa Tanzania...
Lakini mwaka huu hawatafaulu kuzuia transformation...