Bukanga
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 2,857
- 1,937
ndg yang wew unataka kuniambia hukujua mda wote kuwa ni mbuzi had kipindi hiki,kisa wameamua kuwa upande fulan?kwanin ukawa mnalazimisha kila mtu aamini mnachokiamin?kama ni hvo nin maana ya mult-partism kuwepo?
Sikufahamu punde kwamba huyu jamaa ni punda ya CCM, nilifahamu kitambo tuu...
Ndio maana sikutaja msanii mwingine zaidi yake...