Wasanii wasioiunga mkono CCM kukosa airtime Clouds

Wasanii wasioiunga mkono CCM kukosa airtime Clouds

Nmekusoma mkuu....ila capitalism hii baba kila mtu anatafuta namna ya kupenya

Na hapo ndipo wanapokosea unatakiwa kuwa neutral ili yoyote atayepata unakuwa safe. Sasa ukiwa upande fulani ukishindwa mnashindwa wate
 
Tatizo ni CCM inawaadaa vijana kwa kuwatumia kipindi hiki cha kukaribia uchaguzi kisha itawatupilia mbali baada ya uchaguzi. WASANII WA TANZANIA HUWA HAWAISHIWI MALALAMIKO JUU YA SERIKALI.

mi nnachoamini demokrasia imepanuka na watu wameelimika..ni vijana wachache wasiotaka kuzichosha akili zao kwa kufikir,kureason out ndio hao wanahadaika na kupeleka na upepo wa kisiasa,kijana anayejitambua hawez kuhadahika hata cku 1
 
Baada ya huu uchaguzi nadhani tutaanza upya kutafuta wasanii wapya
 
Nimepata taarifa kuwa kuna amri imetolewa kwa wasanii kumsuport mgombea wa CCM na CCM kiujumla, na atakaye kaidi hilo basi asahau kuwekwa hewani na chanel hiyo. Sina hakika maana mi si mmoja wa wasanii na wala sijapokea amri hiyo. Ila kwa haraka haraka nimejaribu kupitia account za wasanii wengi na kuanza kuamini hilo . Hapa chini nimeambatanisha baadhi ya screen short toka kwenye account za wasanii.
View attachment 278303View attachment 278304View attachment 278305View attachment 278306

Hizo screenshot zinahusiana vp na clouds?

Mimi nilijua unaleta barua iliyotoka kwa Ruge!
 
Nimepata taarifa kuwa kuna amri imetolewa kwa wasanii kumsuport mgombea wa CCM na CCM kiujumla, na atakaye kaidi hilo basi asahau kuwekwa hewani na chanel hiyo. Sina hakika maana mi si mmoja wa wasanii na wala sijapokea amri hiyo. Ila kwa haraka haraka nimejaribu kupitia account za wasanii wengi na kuanza kuamini hilo . Hapa chini nimeambatanisha baadhi ya screen short toka kwenye account za wasanii.
View attachment 278303View attachment 278304View attachment 278305View attachment 278306

hivi huu ubabe wa CCM na Ruge utaisha lini!!! Ruge anabweteka hajui siasa ni mchezo ambao yeye hauwezi kwa gharama yoyote ile.
 
Mkuu nimefanya research kuhusu suala la ajira Tanzania sijakurupuka..The main reason why so many Tanzanian educated youths hawana ajira sio kwamba hawataki kuvolunteer au kuomba internship...ni kwamba hata hizo nafasi hazipo kwasababu hakuna favouring policies kwa vijana wa kitanzania katika makampuni mengi both public n private ones.

sijasema umekurupuka lakini nikuulize swal,hawa wanavyuo ulishawah kusikia weng wao wanalalamika wamekosa sehemu ya kwenda kufanya field?hzo sehemu ni zp kama sio hayo makampun?kwanin wasitumie hzo kampun kuomba kuvolunteer?
 
Kutokana na mambo ya kisiasa na wafanyakaxi kulazimishwa kumsapoti magufuli baadhi yao wamekerwga na kitendo Viongozi waandamizi wa kituo cha matangazo cha clouds wamewashurutisha wasanii pamoja na wafanyakazi wake waonyeshe kwa vitendo kwenye jamii kuwa wanaomuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya CCM ndugu John Magufuli ama sivyo washukiwe na rungu zito.

Kutokana na kulazimishwa huko tayari tasnia ya sanaa imegawanyika kwa baadhi yao kuonyesha kukerwa na hatua hiyo. Wapo waliosema waziwazi kuwa sio vizuri lkn kuna wale ambao wanaongea kupitia mitandao
 
Sugu alivyo wambia waache ufala yeye sio mbunge Wa wasanii Bali mbunge wa Mbeya aliwajibu vyema Sana
 
Baada ya sherehe ya kuagana na JK Karibia wasanii wote nguli leo wamejitokeza kumsapoti Magufuli kupitia kurasa zao kwenye mitandao ya kijamii,comments za mashabiki wao zimenifurahsha sana na moja wapo ni kua sasa watanunua CD feki za kaz zao ili kuwajibu
Wasanii litazameni hili
 
Swali dogo tu, kuna kiongozi gani wa Ukawa ashawahi kuwasupport hawa wasanii pengine hata kwa kuwapa tu pongezi katika mafanikio wanayopata? Rais J. Kikwete amekuwa mtu wa karibu sana kwa hawa wasanii, je mlitaka wasahau fadhila zake? Chadema, CUF, NCCR na NLD hakuna hata mmoja ambaye hata kwa bahati mbaya tu aliwahi kutoa pongezi kwa jitihada zinazofanywa na wasanii. Kabla Ukawa hamjalaumu, mjiulize kwanza mmewasaidiaje hawa wasanii katika kazi zao.

Kuna vitu vinanapewa kipao mbele yaani nianze tu kumwita mtu sijui state house kisa kashinda big brother ???????? Lakini nashindwa kukaa na madaktari au walimu wanaofanya kazi kwa kujitolea kwenye mazingira magumu
Ulitaka ukawa iwasaidie vipi watu wasiojitambua ??? Jk si aliwaahidi studio ?? Iko wapi ,hizo hatimiliki za kazi zao zimeishia wapi ,utakula ulipo peleka mboga hivyo yaani
 
Nimepata taarifa kuwa kuna amri imetolewa kwa wasanii kumsuport mgombea wa CCM na CCM kiujumla, na atakaye kaidi hilo basi asahau kuwekwa hewani na chanel hiyo. Sina hakika maana mi si mmoja wa wasanii na wala sijapokea amri hiyo. Ila kwa haraka haraka nimejaribu kupitia account za wasanii wengi na kuanza kuamini hilo . Hapa chini nimeambatanisha baadhi ya screen short toka kwenye account za wasanii.
View attachment 278303View attachment 278304View attachment 278305View attachment 278306

Tanzania bado hakujakuwa na msanii wa kuishawishi jamii ya watanzania kwa jambo lolote lile hasa kwenye siasa,

mfano mzuri angalia Wema Sepetu alivyogombea ubunge alitupwa mtu wa 3 sanaa yake haikumsaidia chochote fedha nying alitumia hakuwa na mvuto wowote kwa watu.

Wasanii wa Tz ni watu waliotamburikiwa tu hawana elimu ya maana ya ubunifu wa kuiteka jamii bado sanaaa. wanaimba na kuigiza kwa kuganga njaa tu kuna gape kubwa sanaaa na wasanii kwa nchi za Europ na America na baadhi ya nchi za Africa.
 
Hii mi nasema zamu ya lowasa hapa kazi tu uchumi wetu ukue .huo usanii uchwara ndio mwisho october
 
Clouds acheni umburula. Mwisho wa siku mtakuja kupotea katika tasnia ya burudani. Kama ni kweli, jirekebisheni mara moja.
 
ngoja nikwambie marekani sio kwamba kuna ajira za kumwaga la hasha bali wanavyuo wakimaliza wapo tayar kuvolunteer kufanya kaz wthout payment mpaka waajir wanajenga imani nao na kuajiriwa,hapa tz wanavyuo wetu wanataka cheap thngx vitu vya direct,direct unatoka chuo unaajiriwa na kulipwa kitu ambacho sio wote wanapata hyo chance...ukiangalia makampun yanatangaza yanataka mtu experiencd wa miaka kadhaa lakin wew kama umevolunteer unabig chance yakupata that chance kwasababu wanakuona uchapakaz wako lakini sisi watz tunataka vitu mteremko watz wenzangu haiwezekani

Volunteer Wa BOT ,TRA, TPA, AIRPORTS, TANAPA ,utaratibu wao ukoje mkuu haha
 
Volunteer Wa BOT ,TRA, TPA, AIRPORTS, TANAPA ,utaratibu wao ukoje mkuu haha

naomba nikwambie mim sio secretar wa hzo ofisi lakin wew nikuulize utaratibu unaotumia kupata field kwanin usitumie utaratibu huo?
 
clouds c ya serikali ni ya mtu binafc,so mwenye nayo anahaki ya kufanya kile anachoona kna maslah kwake..ukiona vp co lazma uckilize clouds coz radio na tv ni nyng ckilizen hzo nyngne
 
Swali dogo tu, kuna kiongozi gani wa Ukawa ashawahi kuwasupport hawa wasanii pengine hata kwa kuwapa tu pongezi katika mafanikio wanayopata? Rais J. Kikwete amekuwa mtu wa karibu sana kwa hawa wasanii, je mlitaka wasahau fadhila zake? Chadema, CUF, NCCR na NLD hakuna hata mmoja ambaye hata kwa bahati mbaya tu aliwahi kutoa pongezi kwa jitihada zinazofanywa na wasanii. Kabla Ukawa hamjalaumu, mjiulize kwanza mmewasaidiaje hawa wasanii katika kazi zao.

SUGU kawapigania sana mbona au umesahau mkuu.

kawasemea sana bungeni.

au umesahau mambo ya vinega??
 
Back
Top Bottom