Wasanii wasioiunga mkono CCM kukosa airtime Clouds

Wasanii wasioiunga mkono CCM kukosa airtime Clouds

Wasanii wenyewe hawajitambui wanahongeka ka wa. Pu MBA vu tu. Baadae ohh tunaonewa Archana nao
 
Eddo ukishika nchii tufute hawa wahuni sijui bongo nini?wafe njaa.akili zikiwarudi tutawaruhusu waendelee kuimba na kuigiza ujinga wao
 
Wasanii wenyewe hawajitambui wanahongeka ka wa. Pu MBA vu tu. Baadae ohh tunaonewa Archana nao

nadhani mpumbavu wakwanza ni mbowe aliyehongwa na lowassa,akawatema wajenga mising bora kama dr.slaa,
 
Octoba 25 sio mbali yani labda MUNGU asiwe upande wa LOWASSA kuna watu wataama nchi
 
Eddo ukishika nchii tufute hawa wahuni sijui bongo nini?wafe njaa.akili zikiwarudi tutawaruhusu waendelee kuimba na kuigiza ujinga wao

watanzania tunalalamika vijana hatuna ajira,vijana wakitumia vipaji vyao mnakuja na kauli kama hz.hv ni dhambi mtu kupenda chama fulani au kusupport mtu wa chama fulan?hv wew tungekua humu tunakutukana kisa upo ukawa tungekua tunakutendea haki?
 
Amna jamani tusifike huko...nao ni Watanzania wanamirengo yao kama sisi tulivyo. ..mtu kaamua kumuunga mkono magufuli au lowasa ni yeye mwenyewe tu . kazi zake sikiliza au angalia ila kwenye mihemuko yake ya kisiasa isikuhusu

Hakuna msanii anayeipenda CCM au kumpenda magufuli,usidanganyike..ni kwavile CCM inataka kuwatumia kupata watu wengi kwenye mikutano yao na hao ni wasanii njaa. HATUITAKI CCM NA UFISADI WAKE NA WIZI WA MALI ZA UMMA. Kura yetu ni kwa LOWASSA WA CHADEMA,UKAWA.
 
Kwanini umshutumu msanii ana njaa, ilhali mbooow kaiuza chadema kwa ulafi.

Au ndo mkuki kwa nguruwe.

Toa ushahidi kwa maelezo yako...kama huna ushahidi ni bora unyamaze kuliko kujiaibisha hapa.
 
Hakuna msanii anayeipenda CCM au kumpenda magufuli,usidanganyike..ni kwavile CCM inataka kuwatumia kupata watu wengi kwenye mikutano yao na hao ni wasanii njaa. HATUITAKI CCM NA UFISADI WAKE NA WIZI WA MALI ZA UMMA. Kura yetu ni kwa LOWASSA WA CHADEMA,UKAWA.

Me mwenyewe siipendi ccm mkuu ila staki Ifike pahala ukatae kununua au kusikiliza kazi ya FA kisa mwana ccm huko mbali saana...au eti kisa sugu chadema usiinunue au kusikiliza kazi yake...tusipeleke chuki za kisiasa mbali hivo
 
Nilikuwa nikimfollow dangote insta ila ujinga alioupost leo ilikuwa sina budi bali ni kumkata tu, kwa sasa hayuko miongoni mwa ninaowafollow. Wamegaiwa visent ama ahadi hewa wakasahau shida za ndugu zao mitaani
 
Hakuna msanii anayeipenda CCM au kumpenda magufuli,usidanganyike..ni kwavile CCM inataka kuwatumia kupata watu wengi kwenye mikutano yao na hao ni wasanii njaa. HATUITAKI CCM NA UFISADI WAKE NA WIZI WA MALI ZA UMMA. Kura yetu ni kwa LOWASSA WA CHADEMA,UKAWA.

wewe ni nani mpaka uisemee nafsi ya mtu?wao wanayosababu ya kuipenda ccm kama wewe ulivonasababu ya kuipenda ukawa,so dnt judge a person just because you want even hm/her to be with you in da same side...
 
Amna jamani tusifike huko...nao ni Watanzania wanamirengo yao kama sisi tulivyo. ..mtu kaamua kumuunga mkono magufuli au lowasa ni yeye mwenyewe tu . kazi zake sikiliza au angalia ila kwenye mihemuko yake ya kisiasa isikuhusu

Watu wanafuata page zao kwa ajili ya burudani sasa wanapoanza kunadi siasa ni upumbavu, nadhani wangefungua acc nyingine kwa ajili ya siasa na wangepata followers wakisiasa wa mlengo wao
 
Toa ushahidi kwa maelezo yako...kama huna ushahidi ni bora unyamaze kuliko kujiaibisha hapa.

nawewe thibitisha ni msanii aliyeccm aliwah kugonga kwako akakuomba chakula kama unavodai wana njaa
 
Swali dogo tu, kuna kiongozi gani wa Ukawa ashawahi kuwasupport hawa wasanii pengine hata kwa kuwapa tu pongezi katika mafanikio wanayopata? Rais J. Kikwete amekuwa mtu wa karibu sana kwa hawa wasanii, je mlitaka wasahau fadhila zake? Chadema, CUF, NCCR na NLD hakuna hata mmoja ambaye hata kwa bahati mbaya tu aliwahi kutoa pongezi kwa jitihada zinazofanywa na wasanii. Kabla Ukawa hamjalaumu, mjiulize kwanza mmewasaidiaje hawa wasanii katika kazi zao.

Wote tunajua huwa anajaribu kuwa karibu na wasanii ili kuwapumbaza watanzania wasijadili maovu yao, halafu wakati huohuo CCM inaendelea kuiba na kuuza rasilimali za taifa,kama ni hivyo KWANINI msiwasaidie hao wasanii kazi zao zisiibwe na kuuzwa mitaani na kila mara wasanii wanalalamika?

KWANINI wasiwatengenezee vijana ajira? Eti mnawakumbatia kipindi hiki cha karibu na uchaguzi. HATUDANGANYIKI NG'O, KURA YETU NI KWA LOWASSA WA CHADEMA,UKAWA.
 
Kama siasa ndio itkuza mzk wao sawa lkn kama washabiki ndio wanaosupport kaz za mziki wao basi tuwaache kaz watengeneze wenyew wanunue wenyew maana ni hao hao huwa wnshukuru sna suppoort za mashabiki
 
watanzania tunalalamika vijana hatuna ajira,vijana wakitumia vipaji vyao mnakuja na kauli kama hz.hv ni dhambi mtu kupenda chama fulani au kusupport mtu wa chama fulan?hv wew tungekua humu tunakutukana kisa upo ukawa tungekua tunakutendea haki?

Na hawa maelfu ya vijanawanaomaliza chuo mbona msiwatengenezee mazingira ya ajira? Mnawatumia wasanii kukusanya watu kwenye mikutano yenu...HATUDANGANYIKI NG'O. KURA KWA LOWASSA NA VIONGOZI WA UKAWA.
 
Back
Top Bottom