Wasanii wa bongo fleva mmmmh, huyu ndo bob junior....

Wasanii wa bongo fleva mmmmh, huyu ndo bob junior....

DON KILLUMINATI

Senior Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
192
Reaction score
83
WADAU NAOMBA MSEME WENYEWE HILI POZI LA HUYU DOGO, ANAITWA BOB JUNIOR, A.K.A RAIS WA MASHAROBARO

bob_jr.jpg
 
nimepita...haya mambo ya wauza sura...niwaachie wenyewe..ovyo kabisa
 
Jamani hivi kuwa sharobaro unatakiwa uwe na vigezo gani? maana mchizi naona pozi zote za kike cheki jicho utasema kala kungu! wapaka poda kazi mnayo du!!!
 
Nadhani kuna kitu kineendelea kwa huyo dogo. Wanaomfahamu zaidi watujuze ukweli.
 
Duh!inatisha,kijana anavutia utazani demu!hii ni gharika!!
 
Yale mauno anayokata kwenye video ya wimbo wake wa Oyoyo plus hili pozi...
 
some times its ok for a girl to be handsome!.. tehetehetehe
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh.........
 
Tulishawazoea hao wanatumia fedha nyingi kujipendezesha halafu wanasahau kama kuna majukumu muhimu, watafute maprez da wampeleke yeye.
 
mhh watu wanafiki humu,mlimshuhudia akishikishwa ukuta au kwa kuwa handsome na anajipenda,au mlitaka akipiga picha aweke dole!
 
Wewe umeshaskia huyo ni rais wa "MASHAROBARO"!!!! kama unabisha huyu dogo bwabwa utauwa sharobaro tu na wewe!
 
Back
Top Bottom