Wasanii wa bongo fleva mmmmh, huyu ndo bob junior....

Wewe umeshaskia huyo ni rais wa "MASHAROBARO"!!!! kama unabisha huyu dogo bwabwa utauwa sharobaro tu na wewe!

]MASHAROBARO ndo watu wa namna gani?ma uchaguzi huo ulifanyika lini????????????
 
WADAU NAOMBA MSEME WENYEWE HILI POZI LA HUYU DOGO, ANAITWA BOB JUNIOR, A.K.A RAIS WA MASHAROBARO

bob_jr.jpg

Wakuu mna namba za huyu binti?
 
Eebwanae huyo jamaa na mim nimetokea kumchukia ile mbaya coz anapenda kujisifu sana wakati ss mashabiki ndo tunaomuona hana chochote.
 
Ingawa hilo pozi na hiyo suruali aliyovaa havisaidii, hakuna mwenye uhakika kuwa huyo dogo ni shoga. Labda yeye mwenyewe awe amekiri au kutangaza kuwa ni shoga.

Lakini watu hawana muda wa kungoja kusikia toka kwake. Watu watahukumu tu. Inasikitisha lakini maisha ndivyo yalivyo wakati mwingine. Kwenye mahakama ya maoni ya watu kwa bahati mbaya hakuna cha vizibiti, ushahidi, wala nafasi ya kujieleza. Ni hukumu tu.
 
Ingawa hilo pozi na hiyo suruali aliyovaa havisaidii, hakuna mwenye uhakika kuwa huyo dogo ni shoga labda yeye mwenyewe awe amekiri au kutangaza kuwa ni shoga.

Lakini watu hawana muda wa kungoja kusikia toka kwake. Watu watahukumu tu. Inasikitisha lakini maisha ndivyo yalivyo wakati mwingine. Kwenye mahakama ya maoni ya watu kwa bahati mbaya hakuna vizibiti, ushahidi, wala nafasi ya kujieleza. Ni hukumu tu.

Mzee Nyani,

Wabongo hawahitaji ushahidi. Akianza mmoja, wote wanafuata mkumbo brainlessly kaa kondoo. Ona dili ya Loliondo.
 
Mwacheni handsome huyo, mnapna wivu tuu, huyu jama mademu wanampenda sana ana ana wapata vi;e vile . Mimi kinacho nishangaza huyu jama anaitwa DJ Choka, jibaba zima kutwa nzima kupiga picha na maHandsome boys kujisimamisha nao, wakati mwenyewe hamatch nao hata kidogo, DJ CHoka lazima ni gay!
 
cheki mepete aliyovaa..........hii inaitwa feminization.....(ahali ya ukike kike)...oooooh masikini utandawazi unatuharibia vijana wetu..:crying::crying:
 
Mwacheni handsome huyo, mnapna wivu tuu, huyu jama mademu wanampenda sana ana ana wapata vi;e vile . Mimi kinacho nishangaza huyu jama anaitwa DJ Choka, jibaba zima kutwa nzima kupiga picha na maHandsome boys kujisimamisha nao, wakati mwenyewe hamatch nao hata kidogo, DJ CHoka lazima ni gay!

Here comes him yawezekana hili nalo likawa neno???

choka+analia.JPG
 
hahaha!!!chaliii asee kazidisha poziiii,yani kamaa demu flani...huyu akifungwa magereza pale karangaa,maweni au kisongo atafurahiiii
 
ingawa hilo pozi na hiyo suruali aliyovaa havisaidii, hakuna mwenye uhakika kuwa huyo dogo ni shoga. Labda yeye mwenyewe awe amekiri au kutangaza kuwa ni shoga.

lakini watu hawana muda wa kungoja kusikia toka kwake.
watu watahukumu tu. Inasikitisha lakini maisha ndivyo yalivyo wakati mwingine. Kwenye mahakama ya maoni ya watu kwa bahati mbaya hakuna cha vizibiti, ushahidi, wala nafasi ya kujieleza. Ni hukumu tu.

nyani ngabu wewe ni mkongwe kwenye hii forum, mbona unakuwa kama sio great thinker, unangoja mpaka yeye asema????
Do you think it is possible??

What if aliyekula mzigo akisema? Au aliyeshuhudia??
 
dogo namfahamu fresh...SIO MENYU/BWABWA ila alivyomchomolea wema sepetu....WEMA ALIMTAKA DOGO ...DOGO AKAMWAMBIA HUNA HADHI YA KUMMILIKI MTU KAMA MIMI ...TOKEA HAPO WEMA AKAJIWEKA KWA DIAMOND NA ndio akaamua kumuharibia kuwa jamaa chakula cha watu...DOGO AMEPITILIZA KWENYE UUZAJI WA SWAGGA ZA AJABU-AJABU NDIO MAANA KACHANGANYA SWAGA ZA MICHAL JACKSON NA NICK MINAJ SI AKATUPIA SWAGGA ZA RASTA NA MAPOUDWAAA YA ZE-KOMEDY MASANJA...NDIO AKAHARIBU KABSAAA...ILA SIO ****** WALA BASHA BUBU....UTOTO NA KUCHAFUANA MAJINA NDIO SABABU YA KUHUSISHWA NA SHUTUMA ZA USHOGA... TUMSAMEHE YEYE NA MWENZAKE DIAMOND WAKIKUA-KI-UMRI WATAACHA
 
Hawa ndo kioo cha jamii ya nchi ya MAJUHA!!!!!! Ndo wanaonekana kila saa kwenye TV zetu baadala ya kuwapa nafasi wasomi
 
dogo namfahamu fresh...SIO MENYU/BWABWA ila alivyomchomolea wema sepetu....WEMA ALIMTAKA DOGO ...DOGO AKAMWAMBIA HUNA HADHI YA KUMMILIKI MTU KAMA MIMI ...TOKEA HAPO WEMA AKAJIWEKA KWA DIAMOND NA ndio akaamua kumuharibia kuwa jamaa chakula cha watu...DOGO AMEPITILIZA KWENYE UUZAJI WA SWAGGA ZA AJABU-AJABU NDIO MAANA KACHANGANYA SWAGA ZA MICHAL JACKSON NA NICK MINAJ SI AKATUPIA SWAGGA ZA RASTA NA MAPOUDWAAA YA ZE-KOMEDY MASANJA...NDIO AKAHARIBU KABSAAA...ILA SIO ****** WALA BASHA BUBU....UTOTO NA KUCHAFUANA MAJINA NDIO SABABU YA KUHUSISHWA NA SHUTUMA ZA USHOGA... TUMSAMEHE YEYE NA MWENZAKE DIAMOND WAKIKUA-KI-UMRI WATAACHA

Kama wewe si mteja wake basi ni yeye mwenyewe. Mbona kufagiliana kumezidi? Alafu lugha ya kitapeli tu. Sisi ni sehemu ya jamii na huna haja ya kutufanya vipofu. Wasanii wa namna hii, vyovyote vile hawafai kwenye nchi kama yetu. Inaitajika wasanii wenye fikra za kimageuzi na si mashoga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom