Wasanii wa bongo fleva mmmmh, huyu ndo bob junior....

muacheni jamani,mtu anastrugle to find his own identity-yote ni ukuaji tu baadae ata'seto' kama nyie,haya maneno ya kihuni hayamsaidiii ,mnaweza mkafanya akawa rebellion kutaka kuwaonyesha yeye ni zaidi ya haya maneno mnayomtupia hivyo kumfanya akawa kituko zaidi mbele ya jamii.....:frusty::frusty:

Una maana "rebellious", au? Anyway, bamdogo kwa kweli ana kipaji sana cha Uprodyuza na Muziki kiujumla, mi namfagilia kwa saana.

Hao wanaomponda na kumhukumu bila hata ya kumjua binafsi eti ni "gay", utakuta wengi wao wako sexually insecure in their private lives, in fact some of them may even be closet gays themselves (Kama wewe rijali kwa nini ukerwe hadi kulalama eti mwanaume mwenzio anakata viuno kwenye video. Mtazamo kama huo ni ishara ya ushoga vilevile). Mashoga siyo lazima wawe na maumbile na hulka za kike.
 
......Wakuu turejee kwenye miziki yetu ya MSONDO NA SIKINDE..hawa wahuni ni kinyaa..yani mtoto wa kiume unakuwa kama hivi lol!!! Kinyaa..Ifike kipindi tutofautishe kati ya maendeleo na ushamba na upumbavu...
 
Raisi wa masharobaro na Pozi lake!
 

Attachments

  • bob_jr.jpg
    bob_jr.jpg
    14.7 KB · Views: 189
But nimegundua husomi Maneno ila unakurupuka soma Title usichanganywe na PICHA
 
What do you think will follow next, kama mtu anaanza kwa kutoboa masikio, then kupaka lip shiner, kuvaa visuruali vya kubana, ................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom