Wasanii wa bongo fleva mmmmh, huyu ndo bob junior....

Wasanii wa bongo fleva mmmmh, huyu ndo bob junior....

WADAU NAOMBA MSEME WENYEWE HILI POZI LA HUYU DOGO, ANAITWA BOB JUNIOR, A.K.A RAIS WA MASHAROBARO

bob_jr.jpg

mshumaa huyo msimlete huku mpelekeni jukwaa la kike...:frusty:
 
WADAU NAOMBA MSEME WENYEWE HILI POZI LA HUYU DOGO, ANAITWA BOB JUNIOR, A.K.A RAIS WA MASHAROBARO

bob_jr.jpg

masharabaro ni machoko. Hata tafsiri yake ni msichana mrembo anayejidekeza, hawezi kufanya kazi isipokuwa kujiremba tu
 
Yale mauno anayokata kwenye video ya wimbo wake wa Oyoyo plus hili pozi...

Nimalizie........? Mmmmmh cheki anvyojipodoaaaa wanamwita kaka poaaaaa......,mkono tumboni nadhani ana kiumbe? au tumbo linamuuma? Usharobaro huu......?
 
Jamani hivi kuwa sharobaro unatakiwa uwe na vigezo gani? maana mchizi naona pozi zote za kike cheki jicho utasema kala kungu! wapaka poda kazi mnayo du!!!

Sharobaro unatakiwa uwe mtanashati.....dogo yeye kapitiliza .....ni mtanablauzi!
 
Sokwe wa Town;1909132]Huyu akikalia beseni lenye maji water bubbles hazitoki kweli?

Mkuu umenichekesha kweli
 
mhh watu wanafiki humu,mlimshuhudia akishikishwa ukuta au kwa kuwa handsome na anajipenda,au mlitaka akipiga picha aweke dole!

Aaaaaaaaaah hahaha umenikumbusha mbali picha za pozi la dole lol!!!
 
drepast3.jpg

Rappers
D.jpg

Huyo hapo juu naye vipi? Hivi hadi leo bado watu wanadai ni "gay" tokea pozi hizi alizopiga miaka kama 20 ilyopita, au yote ni mambo ya usanii tu?
 
Huwa simwelewi na wimbo wake wa oyoyo! sorry to say this, anaonekana kama gay!
 
Namwona kama xxxxxxxga, halafu wanazidi kuongezeka sana bongo!!
 
Acheni Umbea wabongo na kumchunguza mtu maisha yake, Gay or whatever ni issue yake wewe inakuhusu? Mie sipendi mtu kumsema mwenzake huku yeye hajiangalii, Dogo yuko hansome kinoma acheni wivu wa Kifara JF...je tukudiscuss wewe utajisikiaje? Msipoteze mwelekeo kwa wivu binafsi...Sharobaro mie nakufagilia sana....
 
Halafu tatizo kubwa zaidi, huenda wote wanaomkashifu humu JF hata hawamjui. Inasikitisha sana pale watu ambao hawakujui wanapokuteta kama vile wao ndiyo wamekuzaa.
 
halafu tatizo kubwa zaidi, huenda wote wanaomkashifu humu jf hata hawamjui. Inasikitisha sana pale watu ambao hawakujui wanapokuteta kama vile wao ndiyo wamekuzaa.

very rite,na cha kusikitisha ni kuwa wanatoa hoja kwa confidence zaidi ya 100% as if wao ndo wanakua nae chumbani.
 
muacheni jamani,mtu anastrugle to find his own identity-yote ni ukuaji tu baadae ata'seto' kama nyie,haya maneno ya kihuni hayamsaidiii ,mnaweza mkafanya akawa rebellion kutaka kuwaonyesha yeye ni zaidi ya haya maneno mnayomtupia hivyo kumfanya akawa kituko zaidi mbele ya jamii.....:frusty::frusty:
 
Back
Top Bottom