Wasanii wa bongo fleva mmmmh, huyu ndo bob junior....

WADAU NAOMBA MSEME WENYEWE HILI POZI LA HUYU DOGO, ANAITWA BOB JUNIOR, A.K.A RAIS WA MASHAROBARO

bob_jr.jpg




Sijawahi muona kumfahamu, baada ya hii picha ndo nimeelewa sasa kwanini Ex Miss TZ alilalama radio clouds kwamba inawezekana jamaa anamtolea macho Almasi wake!!!!
 
Huyu dogo atakuwa anapumuliwa kisogoni...kuvaa skinny jeans na kulembua mtindo huo ndo nini sasa...bwabwa ilo.
 
Lazima atakuwa na wazazi.......

kama mimi na wewe tunaona na kupiga picha kisha ku- post just for funny, tunategemea nini? video zake si ndo zinachezwa majumbani mwetu? wanaoangalia si ni watoto wetu? tumechukua hatua gani? na hao watoto wetu kesho watakuwa ma- redio Dj's na ma- redio/Tv presenters, watacheza nyimbo hizohizo maana ndio maadili walio nayo!

upuuzi kama huo hautakiwi hata kuwekwa hapa, unamkemea mtoto na anaelewa anachofanya jamii haikikubali na watu wote wajue hivyo!

lakini wapi........!!!!!!!!!!!!!!
 
Wewe umeshaskia huyo ni rais wa "MASHAROBARO"!!!! kama unabisha huyu dogo bwabwa utauwa sharobaro tu na wewe!

Jamni mimi naomba kuuliza, nasikia hili neno Sharobaro maana yake ni nini jamani naomba mnijuze, maana naweza zuka Bongo na nisielewe kinacho,, plz
 
lazima atakuwa na wazazi.......

Kama mimi na wewe tunaona na kupiga picha kisha ku- post just for funny, tunategemea nini? Video zake si ndo zinachezwa majumbani mwetu? Wanaoangalia si ni watoto wetu? Tumechukua hatua gani? Na hao watoto wetu kesho watakuwa ma- redio dj's na ma- redio/tv presenters, watacheza nyimbo hizohizo maana ndio maadili walio nayo!

Upuuzi kama huo hautakiwi hata kuwekwa hapa, unamkemea mtoto na anaelewa anachofanya jamii haikikubali na watu wote wajue hivyo!

Lakini wapi........!!!!!!!!!!!!!!

upo sahihi kabisa mwalimu mkuu. Imagine hadi mtoto wa 3 years anaimba nyimbo zao. Hii inaonyesha kuwa wana nafasi kubwa ya kupotosha maadili ya watoto wetu endapo wataenda kinyume na maadili ya kijamii. Tuna kazi kubwa sana.
 
Bonge la pozi,celebrity ndo inatakiwa uwe hivyo co unakuwa mchafumchafu kama mzee wa tuzo na yule mtani wangu wa kule porini
 
Tunachuma dhambi bure kwa kuongea v2 tusivyo na uhakika navyo,nategemea magreat thinkers ni watu wanaothink before hawaja fanya any move,hata kama jamaa ni bwabwa nyie mmemsaidia vipi ili ajirekebishe?Msaidieni basi.TUBADILIKE
 
wabongo mnaua balaa... Hili pozi si kaiga kutoka kwa MJ?? sasa MJ naye alikua gay siyo?
 
Jamni mimi naomba kuuliza, nasikia hili neno Sharobaro maana yake ni nini jamani naomba mnijuze, maana naweza zuka Bongo na nisielewe kinacho,, plz

Hata mimi sielewi maana yake ila nasikia tu vijana wanalitumia sana. Hii inamaanisha kuwa linaeleweka vizuri kwa watumiaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom