Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

Dili zao za magendo zinakuzuia wewe usifanye dili zako!? Bangi ni starehe yao, na wewe fanya starehe yako. Kweli ugumu wa maisha , unazalisha ma_snin
Tulieni kwenye viberit vyenu kule mvae mashati makubwa sio kuhabaribu sifa ya watanzania tuonekane wot bang
 
Ubaguzi ni jambo inevitable...

Ukiruka ufamilia utaangukia kwenye ukoo, ukiepuka ukoo utajikuta una ukabila, ukikataa ukabila utajikuta una ukanda mara utaifa nk. Hata wale wanaojitahidi kujibagua kwamba tupendane sisi waafrika na tuwabague waasia na wazungu hatimaye wanajikuta wanatengana tena wao kwa wao kwajili ya dini.

Hao uliowasifu wanajiproud na unaijeria kwanini wasipiganie uafrika?
Kwa kweli ubaguzi sio salama kwa kweli kesho utasikia uzi waislamu ndio wanatubeba hapo wakristo washabaguliwa
 
Kuna hawa akina mbeya city nao naona wameanza kuiga...wanapenda sana kutaja taja mahali wanapotokea kwenye nyimbo zao sijui sasa ili iwwje
Wanawakilisha wanakotoka, hilo nalo ni tatizo kwako!?
 
Tulieni kwenye viberit vyenu kule mvae mashati makubwa sio kuhabaribu sifa ya watanzania tuonekane wot bang
Huko wanakokwenda kwenu!? Endelea kufatilia maisha ya watu wasiokuhusu uone itakavyokusaidia . Ugumu wa maisha unasababisha uwe snitch wewe choko.
 
Kwa kweli ubaguzi sio salama kwa kweli kesho utasikia uzi waislamu ndio wanatubeba hapo wakristo washabaguliwa
Wewe choko chuki zako ndio salama? Uzi unahusu wasanii wa Chuga ukaona haitoshi ukarukia wa watu wa Chuga, kana kwamba haitoshi ukarukia kwa watangazaji, wakati watangazaji ni waajiriwa tu wala sio wamiliki wa redio. Mwishoni uzi haujulikani unahusu nini. Chuki kibao za kichoko.

WEWE NI SNITCH, TAFUTA MAISHA YAKO USITAFUTE WATU UNLESS UNAHAMU YA KUGONGWA.
 
Huko wanakokwenda kwenu!? Endelea kufatilia maisha ya watu wasiokuhusu uone itakavyokusaidia . Ugumu wa maisha unasababisha uwe snitch wewe choko.
Nan ana ugumu wa maisha kama sio wewe unajigeneralize eti mna pesa unawajua wenye pesa pambana na life la kwenu na ndugu zako
 
Bangi starehe wewe choko, kuchokolewa ndio starehe yako. Anzisha redio yako uajiri unaowataka.
Kwenu nan kakwambia anafuatilia maredio ya bongo kwa sana nan mwenye akili timamu afuatilie wajinga na mabangi
 
Wewe choko chuki zako ndio salama? Uzi unahusu wasanii wa Chuga ukaona haitoshi ukarukia wa watu wa Chuga, kana kwamba haitoshi ukarukia kwa watangazaji, wakati watangazaji ni waajiriwa tu wala sio wamiliki wa redio. Mwishoni uzi haujulikani unahusu nini. Chuki kibao za kichoko.

WEWE NI SNITCH, TAFUTA MAISHA YAKO USITAFUTE WATU UNLESS UNAHAMU YA KUGONGWA.
Nyie ndio mna chuki kwani tunahitaji nn kutoka kwenu pqmbaneni na mavyama yenu ya kuhost ubinafsi kama chadomo
 
Lin nyie mmeungnisha watu si mnajifany mpo kivyenu kwani uongo ni li chama la kaskazini na halitokuja ingia madarakni ng'o
mungu mtu john uliamini ange_last only 5 years in power!? mwambie msajili wenu wa vyama alifutilie mbali chama la kaskazini.
 
mungu mtu john uliamini ange_last only 5 years in power!? mwambie msajili wenu wa vyama alifutilie mbali chama la kaskazini.
Si mpaka kiingie madarakni tatizo hamstarabiki maisha usitete ujinga wa kwenu we simama kama wewe kama kwenu una pesa ,kama mjanja ni wewe achana na mambo za mkumbo 😂😂😂utakuja kuolewa
 
Vijamaa vya chuga full kujiona ma mwamba kumbe vipimbi tu, bangi nyingi chakula chenyewe ugali kwa chumvi, kale kengine kanafiki eti "sitaki kazi" sasahivi kanafanya nini?
 
Back
Top Bottom