Wasafi TV kuanguka kabla ya kuanza

Wasafi TV kuanguka kabla ya kuanza

Ume exaggerate, Mikoa mingine haina haina sababu ya kumchukia mchapa kazi, mpenda haki, mtatua kero, mcha Mungu...
Labda tuwachukie wauza unga, matapeli wa viwanja, wanaume wasiowajali wake na watoto wao, wale wauza magari kama karanga mjini, wapenda kupiga miziki usiku kucha na kuwa kero kwetu tunaotaka kulala, wanyima haki kwenye mirathi na wauza nyumba za watu kitapeli...
Honestly, yupi ambaye anapiga kazi? Makonda au Mdee? au Mnyika? au Waitara?!!!!
Tatizo hapa ni dogo sana, kushindwa hoja na itikadi, kutafuta KIKI kwa raia kwa kuvunja sheria na taratibu kwa makusudi ili vyama pinzani vipate "political symphathy"! Its pathetic...
Hakukua na haja ya kuleta siasa ungezungumzia tu point zako ni zipi
 
Waswahili tunapenda sana kuona biashara za watu waliofanikiwa zikuanguka.
Hiyo ni roho mbaya ya ushetani.
Hatufanikiwi sababu ya husuda Na roho ya chuki
Mzee kwenye ukweli huwezi weka uongo urafiki wa WCB na yule jamaa lazma utie shaka,na ukija mwisho mbaya muathirika atakuwa WCB...na ni kwasababu kila mtu sasa anajua yule jamaa ni mtu wa aina gani

Umaarufu+pesa ni vitu vidogo sana mbele ya mtu mwenye cheo tena kwa mtu aina ya huyo jamaa, usifikiri nyie mashabiki wa diamond mtaweza fanya lolote kumuokoa WCB siku ambapo hawa wawili wataingia kwenye bifu...
 
MANGE KIMAMBI KTK PAGE ZAKE ALIKUA AMEANZA KUMTUKANA DIAMOND
MAFANS WAKAWA WANAJIBIZANA NAE,AKAWA ANAWABLOCK,KUJA KUANGALIA ANAPOTEZA WATU WANAOMFOLLOW MAMIA KWA MAELFU WA HABAR ZAKE,SA HIVI ANAPITA MBALI KABISAAA

WEWE NAWE NAKUSHAUR WEKA SIASA PEMBENI
HUYO MONDI MPAKA VIONGOZ WA CHAMA CHAKO WENYEWE WANAMKUBALI NA KUMSAPOT,NA MONDI ANAWAPA HESHIMA YAO VIZUR TU
Mange tofauti sana na Makonda changanya sana viakili vyako kutofautisha watu nafasi zao na shughuli zao,na kama huamini ngoja siku hizi pande mbili zivurugane halafu tuone nyie mashabiki wa diamond mje kumtukana Makonda(the field marshal)kama mlivyofanya kwa Mange ***** zenu mtaimba haleluya remix tena safari hii featuring TB joshua...

Urafiki huu ni mzuri lkn kubali kataa lazma diamond na WCB kwa ujumla wawe underdog forever mbele ya Makonda...
 
Makonda anashika nafasi ya pili ...kwa kuchukiwa ...ina maana wa kwanza ...ni Jiwe ...Yaani wasafi Tv Aiwezi kuanguka ..kwasababu Mtaji wanao ...maana mashabiki wa mond watamsaport kiana.
Huyu bwana bashite atawapunguza sana washabiki wa Mond hilo halina mjadala. Huyu jamaa atataka kujikomba ktk hichi chombo na hapo ndipi pabaya zaidi.
 
Makonda anashika nafasi ya pili ...kwa kuchukiwa ...ina maana wa kwanza ...ni Jiwe ...Yaani wasafi Tv Aiwezi kuanguka ..kwasababu Mtaji wanao ...maana mashabiki wa mond watamsaport kiana.
Ukitaka uchukiwe na watanzania hasa wana-Dar kuwa karibu na bashite...sijui kwanini....mtu anamsifia anapokuwa na shida zake akitoka hapo aibu tupu..m
 
Kitendo cha Diamond Platnumz kufahamika kwa Umma kuwa ana mahusiano ya Karibu na Makonda kimetafsiriwa na wataalam wambo ya biashara kama anguko la Kituo kipya cha Tv kinachotarajiwa kuanza hivi karibuni kiitwacho Wasafi .

Ikumbukwe kwamba Makonda ndio Mtu anayeshika nafasi ya pili kwa kuchukiwa na wananchi wa Tanzania , sasa kushirikiana na mtu wa namna hii katika jambo lolote ni sawa na kutumbukiza jambo lenyewe kwenye moto wa milele

Bado haijafahamika kisa wala malengo halisi ya urafiki huu wa ghafla , bali kinachofahamika ni kwamba Makonda hawezi kuisaidia chochote Wasafi kwa vile kabla hata ya yeye kuingia DSM Wasafi ilishakuwa maarufu kutokana na kukubalika na watu wote masikini ambao umasikini wao umeletwa na chama ambacho Makonda anakitumikia miaka lukuki .
Acha chukiiiii
 
Roho mbaya tu inawasumbua, mlitabiri anguko la Diamond na Ramli zenu za kijinga bado anatusua tu na mwakaa huu anaenda WC.

Dogo anajituma ngoja afanikiwe, majungu, fitina, wivu na roho mbaya zenu haziwezi kumrudisha nyuma
 
Kitendo cha Diamond Platnumz kufahamika kwa Umma kuwa ana mahusiano ya Karibu na Makonda kimetafsiriwa na wataalam wambo ya biashara kama anguko la Kituo kipya cha Tv kinachotarajiwa kuanza hivi karibuni kiitwacho Wasafi .

Ikumbukwe kwamba Makonda ndio Mtu anayeshika nafasi ya pili kwa kuchukiwa na wananchi wa Tanzania , sasa kushirikiana na mtu wa namna hii katika jambo lolote ni sawa na kutumbukiza jambo lenyewe kwenye moto wa milele

Bado haijafahamika kisa wala malengo halisi ya urafiki huu wa ghafla , bali kinachofahamika ni kwamba Makonda hawezi kuisaidia chochote Wasafi kwa vile kabla hata ya yeye kuingia DSM Wasafi ilishakuwa maarufu kutokana na kukubalika na watu wote masikini ambao umasikini wao umeletwa na chama ambacho Makonda anakitumikia miaka lukuki .
Si bishani na wewe sana lakini jamii yetu huwa tunasema (Ya Bashite mwachie Bashite, na Ya Domo mwachie Domo ) , but 100% upo sahihi . Hawa jamaa wana pendana sana naami jamaa ata jitahidi kwa kila njia atushawishi ikitokea kuna dalili la Anguko hukoo...... Wajameni nilkuwanapita tu.
 
Kwani diamond platnumz tangu alivyokuwa na ulezi wa Paul makonda kwani fan base yake imepungua?? Kama sio basi watu 4 million ambao wanamsupport yeye wataendelea kumsupport tu, mziki ni kitu ambacho kinatuburudisha tukiwa na huzuni hata uchovu so tutaendelea kumsupport diamond platnumz simbaaaaa
 
Kitendo cha Diamond Platnumz kufahamika kwa Umma kuwa ana mahusiano ya Karibu na Makonda kimetafsiriwa na wataalam wambo ya biashara kama anguko la Kituo kipya cha Tv kinachotarajiwa kuanza hivi karibuni kiitwacho Wasafi .

Ikumbukwe kwamba Makonda ndio Mtu anayeshika nafasi ya pili kwa kuchukiwa na wananchi wa Tanzania , sasa kushirikiana na mtu wa namna hii katika jambo lolote ni sawa na kutumbukiza jambo lenyewe kwenye moto wa milele

Bado haijafahamika kisa wala malengo halisi ya urafiki huu wa ghafla , bali kinachofahamika ni kwamba Makonda hawezi kuisaidia chochote Wasafi kwa vile kabla hata ya yeye kuingia DSM Wasafi ilishakuwa maarufu kutokana na kukubalika na watu wote masikini ambao umasikini wao umeletwa na chama ambacho Makonda anakitumikia miaka lukuki .
Mumehamisha magori toka kwake mpaka Wasafi tv Mulizani haiwezekani kumiliki Tv ndio basi tena Domo ameshampiga.
 
Elimu hii ya utabiri alikufa nayo sheikh Yahaya mkuu
 
Mumehamisha magori toka kwake mpaka Wasafi tv Mulizani haiwezekani kumiliki Tv ndio basi tena Domo ameshampiga.
Kuna watu wamekalia wivu tu,kila anachofanya mtu kwa maendeleo wao ni kupinga tu , hiyo roho ya kwanini itawamaliza ,na hao maaskofu kazi yao kubwa ni kuwaombea hawa wenye roho ya kwanini.
 
Back
Top Bottom