Ha ha ha mwekezajiBila shaka hujaelewa mada , sina wivu wala chuki na Wasafi , mimi ni mwekezaji nafahamu namna ya mahusiano na watu wabaya yanavyoweza kuangusha biashara ya mtu .
Ha ha ha mwekezajiBila shaka hujaelewa mada , sina wivu wala chuki na Wasafi , mimi ni mwekezaji nafahamu namna ya mahusiano na watu wabaya yanavyoweza kuangusha biashara ya mtu .
Hata tukiwaombea wa shine hawataweza ku shine wakiwa ndani ya bwawa la tope!! Hapa tu tayari nimeshaichukia kabla hata sijaiona!Jamaa ana pointi lakini..haya mambo ya media ukiyachanganya na interest binafsi lazima uanguke..but tuwaombee mema vijana waweze kushine
si vya kuuliza diamond kamtungia nyimbo makonda kama kaa kimya na nyingine zenye kutahadharisha kuonya kutishia ndio maana unakuta bashite nasib na wasafi kwa ujumla wao wanatia kinyaa.Kitendo cha Diamond Platnumz kufahamika kwa Umma kuwa ana mahusiano ya Karibu na Makonda kimetafsiriwa na wataalam wambo ya biashara kama anguko la Kituo kipya cha Tv kinachotarajiwa kuanza hivi karibuni kiitwacho Wasafi .
Ikumbukwe kwamba Makonda ndio Mtu anayeshika nafasi ya pili kwa kuchukiwa na wananchi wa Tanzania , sasa kushirikiana na mtu wa namna hii katika jambo lolote ni sawa na kutumbukiza jambo lenyewe kwenye moto wa milele
Bado haijafahamika kisa wala malengo halisi ya urafiki huu wa ghafla , bali kinachofahamika ni kwamba Makonda hawezi kuisaidia chochote Wasafi kwa vile kabla hata ya yeye kuingia DSM Wasafi ilishakuwa maarufu kutokana na kukubalika na watu wote masikini ambao umasikini wao umeletwa na chama ambacho Makonda anakitumikia miaka lukuki .
Uoga ni umasikiniHa ha ha mwekezaji
Hongera kwa kua muwekezajiUoga ni umasikini
Kweli mkuu me sijawahi kumpenda Diamond platnumz kwenye Muziki ila hustle zake kwenye fursa, kujiamini na kuupata mkwanja huwa namuelewa kinoma.Kuna watu wamekalia wivu tu,kila anachofanya mtu kwa maendeleo wao ni kupinga tu , hiyo roho ya kwanini itawamaliza ,na hao maaskofu kazi yao kubwa ni kuwaombea hawa wenye roho ya kwanini.
Ukipenda boga......!Mimi ni chadema damu ila nakubali kazi za diamond balaa
Unajifanya humjui eti!Mondi ndo nani ? Ndo yule mwoka mikate wa tandale !?
Maneno mazito sana kama wakusikia amesikia.Kuchukiwa. Are you serious. We unawajua Watanzania kweli. Au huku mnavyojihamasisha kupinga hata swala La kibaologia la kunya. Wewe Sema unamchukia na sijui kwa lipi. Mana chuki kwa mtu na akili zake. Zinamla Ndani mbaya zaidi jamaa hta hakujui. Akiita Watu wanaenda. Kutibiwa mpka mkeo alienda. Hakukwambia .wodi ile ya kina mama wanatibiwa. We umefanya nini Watu wakupende. Wasome Wtz kwanza Bwana maarufu wa JF. Makonda mtu maarufu na hata Leo akigombea ubunge na Lema wako. Anamtoa Kout kabisa. Kuna mgonjwa yupo China. Iwe kwa kuiba kwa kula. Anafanya kitu. Ukiwa mjinga jaribu kuficha kwa kukaa kimya. Acha KUWA MGANGA WA KIENYEJI.
manunguniko gani? kwa nani? we ni mchawi kabisaa, na afadhali umejidhihilisha mchana kweupe. kwa taarifa yako Mondi hawezi kufeli ktka kuanzisha TV hata amshilikishe huyo shetani wako unayempigia debe. maana una chuki nyingi moyoni sana. nani kakwambia Makonda anashika nafasi ya pili kwa kuchukiwa? umetumia data gani,? je wewe una nafasi yangapi kwa kuchukiwa au kwa vile hujulikani hata mtaa wa pili. jinga kabisa wewewakati mwingine waswahili tunajichanganya wenyewe kutokana na kukosa maarifa , sina chuki na mondi bali nimeweka maono yangu baada ya kusikia manung'uniko.
Kitendo cha Diamond Platnumz kufahamika kwa Umma kuwa ana mahusiano ya Karibu na Makonda kimetafsiriwa na wataalam wambo ya biashara kama anguko la Kituo kipya cha Tv kinachotarajiwa kuanza hivi karibuni kiitwacho Wasafi .
Ikumbukwe kwamba Makonda ndio Mtu anayeshika nafasi ya pili kwa kuchukiwa na wananchi wa Tanzania , sasa kushirikiana na mtu wa namna hii katika jambo lolote ni sawa na kutumbukiza jambo lenyewe kwenye moto wa milele
Bado haijafahamika kisa wala malengo halisi ya urafiki huu wa ghafla , bali kinachofahamika ni kwamba Makonda hawezi kuisaidia chochote Wasafi kwa vile kabla hata ya yeye kuingia DSM Wasafi ilishakuwa maarufu kutokana na kukubalika na watu wote masikini ambao umasikini wao umeletwa na chama ambacho Makonda anakitumikia miaka lukuki .
Umepima vp kama ni mtu wa pili kuchukiwa. Weka hesabu zako hapo tuoneKitendo cha Diamond Platnumz kufahamika kwa Umma kuwa ana mahusiano ya Karibu na Makonda kimetafsiriwa na wataalam wambo ya biashara kama anguko la Kituo kipya cha Tv kinachotarajiwa kuanza hivi karibuni kiitwacho Wasafi .
Ikumbukwe kwamba Makonda ndio Mtu anayeshika nafasi ya pili kwa kuchukiwa na wananchi wa Tanzania , sasa kushirikiana na mtu wa namna hii katika jambo lolote ni sawa na kutumbukiza jambo lenyewe kwenye moto wa milele
Bado haijafahamika kisa wala malengo halisi ya urafiki huu wa ghafla , bali kinachofahamika ni kwamba Makonda hawezi kuisaidia chochote Wasafi kwa vile kabla hata ya yeye kuingia DSM Wasafi ilishakuwa maarufu kutokana na kukubalika na watu wote masikini ambao umasikini wao umeletwa na chama ambacho Makonda anakitumikia miaka lukuki .
Eti na wewe umechangia hoja nawahurumia wanao kuzungukaKuna sehemu nimesikia kuwa Dogo kuwa ni punda wa GSM na kaka mkuu wa Dar ni protecter wa GSM na hata kipindi kile jamaa walikuwa wameingiza mzigo mkubwa ili mzigo uishe haraka ilibidi dealer wengine wapewe msukosuko ili wakose muda wa kuingiza mambo yao sokoni!. Yangu ni hayo tu ndio niliyo sikia!.
Toka hapo we boya washabiki wa mond wepi hao mbona mi ni mmoja wa hao washabiki na sioni tatizo la mond kuwa na urafiki na bashit3Washabiki wa Mondi ndio waliotuletea masikitiko yao baada ya kustukia uhusiano wa Makonda na Mondi
Hamna manung'uniko yyte acha uongo we sema unacheza na akili za watu na ni mtazamo na mawazo yako tu ila hayata fanikiwa mawazo yako hasi.wakati mwingine waswahili tunajichanganya wenyewe kutokana na kukosa maarifa , sina chuki na mondi bali nimeweka maono yangu baada ya kusikia manung'uniko.