Wasafi TV kuanguka kabla ya kuanza

Wasafi TV kuanguka kabla ya kuanza

Hamna manung'uniko yyte acha uongo we sema unacheza na akili za watu na ni mtazamo na mawazo yako tu ila hayata fanikiwa mawazo yako hasi.
povu la nini sasa si tuendelee kusubiri mjomba ?
 
View attachment 733753
Kitendo cha Diamond Platnumz kufahamika kwa Umma kuwa ana mahusiano ya Karibu na Makonda kimetafsiriwa na wataalam wa mambo ya biashara kama anguko la kituo kipya cha Tv kinachotarajiwa kuanza hivi karibuni kiitwacho Wasafi.

Ikumbukwe kwamba Makonda ndio mtu anayeshika nafasi ya pili kwa kuchukiwa na wananchi wa Tanzania, sasa kushirikiana na mtu wa namna hii katika jambo lolote ni sawa na kutumbukiza jambo lenyewe kwenye moto wa milele.

Bado haijafahamika kisa wala malengo halisi ya urafiki huu wa ghafla, bali kinachofahamika ni kwamba Makonda hawezi kuisaidia chochote Wasafi kwa vile kabla hata ya yeye kuingia DSM Wasafi ilishakuwa maarufu kutokana na kukubalika na watu wote masikini ambao umasikini wao umeletwa na chama ambacho Makonda anakitumikia miaka lukuki.
Na wasiwasi na elimu yako, kipato chako,vyeti vyako Kwan unashindwa kufanya mambo yako unakaa kufatilia mambo ya mwanaume mwenzio,badilika wew mvulana wa dar Acha umbea
 
Erythrocyte
Mkuu naomba ufafanuzi kidogo, wewe na baadhi ya watu unamchukia Makonda au kila mtu anamchukia?!!!.
Tangu Dunia ianze ajawahi kutokea mtu Duniani anaechukiwa na kila mtu.
Kwa uchapakazi wake sinashaka kabisa wanaomkubali ni wengi kuliko wanao mchukia.
That's true
 
kwanza makonda hachukiwi kama unavyodhani wewe,pili diamond ni taasisi mdogo wangu.
 
View attachment 733753
Kitendo cha Diamond Platnumz kufahamika kwa Umma kuwa ana mahusiano ya Karibu na Makonda kimetafsiriwa na wataalam wa mambo ya biashara kama anguko la kituo kipya cha Tv kinachotarajiwa kuanza hivi karibuni kiitwacho Wasafi.

Ikumbukwe kwamba Makonda ndio mtu anayeshika nafasi ya pili kwa kuchukiwa na wananchi wa Tanzania, sasa kushirikiana na mtu wa namna hii katika jambo lolote ni sawa na kutumbukiza jambo lenyewe kwenye moto wa milele.

Bado haijafahamika kisa wala malengo halisi ya urafiki huu wa ghafla, bali kinachofahamika ni kwamba Makonda hawezi kuisaidia chochote Wasafi kwa vile kabla hata ya yeye kuingia DSM Wasafi ilishakuwa maarufu kutokana na kukubalika na watu wote masikini ambao umasikini wao umeletwa na chama ambacho Makonda anakitumikia miaka lukuki.
Kwahiyo ulitaka diamond awe na uhusiano na zero brains wa ukawa ili wasafi TV ikubalike
Rubbish!
 
View attachment 733753
Kitendo cha Diamond Platnumz kufahamika kwa Umma kuwa ana mahusiano ya Karibu na Makonda kimetafsiriwa na wataalam wa mambo ya biashara kama anguko la kituo kipya cha Tv kinachotarajiwa kuanza hivi karibuni kiitwacho Wasafi.

Ikumbukwe kwamba Makonda ndio mtu anayeshika nafasi ya pili kwa kuchukiwa na wananchi wa Tanzania, sasa kushirikiana na mtu wa namna hii katika jambo lolote ni sawa na kutumbukiza jambo lenyewe kwenye moto wa milele.

Bado haijafahamika kisa wala malengo halisi ya urafiki huu wa ghafla, bali kinachofahamika ni kwamba Makonda hawezi kuisaidia chochote Wasafi kwa vile kabla hata ya yeye kuingia DSM Wasafi ilishakuwa maarufu kutokana na kukubalika na watu wote masikini ambao umasikini wao umeletwa na chama ambacho Makonda anakitumikia miaka lukuki.
Kwani huyu unae sema ataiua wasafi si ndio RAFIKI MKUBWA wa CLOUDS HADI BOSSI WA KITUO HICHO SIKU WAMEHITILAFIANA AKASEMA HUYU MTU PALE NINYUMBANI KWAKE AMEZOEA KWENDA MUDA WOWOTE SO SASA WAMETIBUANA MNAMUONA HAPENDWI NA WATU WOTE ETI ATAIUA WASAFI MBONA CLAUDS NDIO ILIZUNGUKA NAE DAR NZIMA (LIVE)KWENYE ZOEZI LAKE LA DAR MPYA NA CLAUD HAIJAFA? LEO AMEONEKANA YUPO WASAFI ETI WASAFI ITAKUFA KWANINI WASAFI IMEFUNGULIWA UNGEONGELEA HAPO KIDOGO .[emoji574]
 
View attachment 733753
Kitendo cha Diamond Platnumz kufahamika kwa Umma kuwa ana mahusiano ya Karibu na Makonda kimetafsiriwa na wataalam wa mambo ya biashara kama anguko la kituo kipya cha Tv kinachotarajiwa kuanza hivi karibuni kiitwacho Wasafi.

Ikumbukwe kwamba Makonda ndio mtu anayeshika nafasi ya pili kwa kuchukiwa na wananchi wa Tanzania, sasa kushirikiana na mtu wa namna hii katika jambo lolote ni sawa na kutumbukiza jambo lenyewe kwenye moto wa milele.

Bado haijafahamika kisa wala malengo halisi ya urafiki huu wa ghafla, bali kinachofahamika ni kwamba Makonda hawezi kuisaidia chochote Wasafi kwa vile kabla hata ya yeye kuingia DSM Wasafi ilishakuwa maarufu kutokana na kukubalika na watu wote masikini ambao umasikini wao umeletwa na chama ambacho Makonda anakitumikia miaka lukuki.
Dua la kuku hilo...kwan nani amekwambia makonda anaxhukiwa na kila mtu??Diamondi ni mfanya biashara na hawezi kuingizwa kwenye ugomvi usiomuhusu.

Watanzania tupo nae
 
Washabiki wa Mondi ndio waliotuletea masikitiko yao baada ya kustukia uhusiano wa Makonda na Mondi
Nyie clouds mnamatatizo mnooo...Mimi hapa ni mshabiki wa mondi lakini sijawahi hata siku moja kukufuateni kutoa malalamiko
 
Erythrocyte
Kuchukiwa. Are you serious. We unawajua Watanzania kweli. Au huku mnavyojihamasisha kupinga hata swala La kibaologia la kunya. Wewe Sema unamchukia na sijui kwa lipi. Mana chuki kwa mtu na akili zake. Zinamla Ndani mbaya zaidi jamaa hta hakujui. Akiita Watu wanaenda.

Kutibiwa mpka mkeo alienda. Hakukwambia .wodi ile ya kina mama wanatibiwa. We umefanya nini Watu wakupende. Wasome Wtz kwanza Bwana maarufu wa JF. Makonda mtu maarufu na hata Leo akigombea ubunge na Lema wako. Anamtoa Kout kabisa. Kuna mgonjwa yupo China. Iwe kwa kuiba kwa kula. Anafanya kitu. Ukiwa mjinga jaribu kuficha kwa kukaa kimya. Acha KUWA MGANGA WA KIENYEJI.
Wajumbe sio watu wazuri mkuu
 
Back
Top Bottom