Wewe una kichwa duni katika kuchambua mambo. Trump anaongoza kwa kuchukiwa na Wamarekani na mataifa mengine duniani but indeed kwa sasa ndiye aliyewaacha kwa mbali wenzake kwa kuwa mtu anayefuatiliwa kwa kupendwa ama kuchukiwa.
Makonda pia ni type hiyo, Wewe unaweza usimpende kwa sababu zao, but wengi wanatamani kujua Leo amefanya nini na wapi? Ukiangalia zoezi la matibabu kwenye meli ya kichina, zoezi la waliodhurumiwa viwanja na pia, zoezi la wanaume waliotelekeza watoto, utagundua how famous and popular he has become. Watch out.