Wasafi TV kuanguka kabla ya kuanza

Wasafi TV kuanguka kabla ya kuanza

Makonda mtu maarufu na hata Leo akigombea ubunge na Lema wako. Anamtoa Kout kabisa. Kuna mgonjwa yupo China. Iwe kwa kuiba kwa kula. Anafanya kitu. Ukiwa mjinga jaribu kuficha kwa kukaa kimya. Acha KUWA MGANGA WA KIENYEJI.
😂😂😂😂😭
 
Erythrocyte
Makonda anashika nafasi ya pili ...kwa kuchukiwa ...ina maana wa kwanza ...ni Jiwe ...Yaani wasafi Tv Aiwezi kuanguka ..kwasababu Mtaji wanao ...maana mashabiki wa mond watamsaport kiana.
Makonda alimtuma Yule Bibi akasaule jukwaani?

#MitanoTena
 
Ume exaggerate, Mikoa mingine haina haina sababu ya kumchukia mchapa kazi, mpenda haki, mtatua kero, mcha Mungu...

Labda tuwachukie wauza unga, matapeli wa viwanja, wanaume wasiowajali wake na watoto wao, wale wauza magari kama karanga mjini, wapenda kupiga miziki usiku kucha na kuwa kero kwetu tunaotaka kulala, wanyima haki kwenye mirathi na wauza nyumba za watu kitapeli...

Honestly, yupi ambaye anapiga kazi? Makonda au Mdee? au Mnyika? au Waitara?!!!!
Tatizo hapa ni dogo sana, kushindwa hoja na itikadi, kutafuta KIKI kwa raia kwa kuvunja sheria na taratibu kwa makusudi ili vyama pinzani vipate "political symphathy"! Its pathetic...
Aliyetajwa na Marekani kuhusika na uchafu wote ni yupi kati ya hao uliowataja hapo ?
 
Erythrocyte
Mkuu...usiangalie mtizamo wako na wa watu wachache wanao post mtandaoni 'ukaconclude' hapendwi na wengi...co kweli, angalia idadi ya waliokwenda kwenda mnazi mmoja kwa matibabu ya bure, angalia idadi ya waliokwenda kwenye matibabu ya bure meli ya wachina, angalia idadi ya waliokwenda kulalamikia viwanja, na mwisho angalia idadi ya wanaokwenda kulalamikia matunzo ya wtt, wapepita wasomi wangapi...hawajafanya hivyo...kwa hili umekosea na ni vizuri ukakubali ukweli..hapo Mkuu 'amewin' tuache mbwembwe... Kweli ana mapungufu yake kama binadamu, lkn pia kuna mazuri...tuache msemo wa mabaya ya siku moja yanaharibu mema ya siku zote, tuangalie mafanikio na malengo yake yanawanufaisha wangapi...
😆😆😆 umesahau na yale makontena yake
 
Kwakweli Diamond alinikwaza Sana kipindi cha kampeni hasa alipokuwa anaimba ule wimbi wa Magufuli baba lao,

Yule jamaa hana adabu kabisa yaani hakuona hata soni kutamka "chupi" mbele ya Rais na meza kuu yote.

Tena anaimba comfortably kabisa, eti lichupi, nilitamani wamshushe jukwaani,

Vijana hawana manners kabisa,
 
View attachment 733753
Kitendo cha Diamond Platnumz kufahamika kwa Umma kuwa ana mahusiano ya Karibu na Makonda kimetafsiriwa na wataalam wa mambo ya biashara kama anguko la kituo kipya cha Tv kinachotarajiwa kuanza hivi karibuni kiitwacho Wasafi.

Ikumbukwe kwamba Makonda ndio mtu anayeshika nafasi ya pili kwa kuchukiwa na wananchi wa Tanzania, sasa kushirikiana na mtu wa namna hii katika jambo lolote ni sawa na kutumbukiza jambo lenyewe kwenye moto wa milele.

Bado haijafahamika kisa wala malengo halisi ya urafiki huu wa ghafla, bali kinachofahamika ni kwamba Makonda hawezi kuisaidia chochote Wasafi kwa vile kabla hata ya yeye kuingia DSM Wasafi ilishakuwa maarufu kutokana na kukubalika na watu wote masikini ambao umasikini wao umeletwa na chama ambacho Makonda anakitumikia miaka lukuki.
Mbona mnahamisha mada kutoka kwenye kiini cha tatizo na kulazimishia chuki kwa nafsi za watu?
Bila shaka kosa lipo na adhabu ipo kwa mujibu wa kanuni zilizowekwa na serikali yetu tukufu.
Ni bahati nzuri ada ya sheria ni msumeno hukata pande zote. This time imekata kwa kipenzi cha watu hususani vijana.
Ni bahati mbaya kundi hili la washabiki hawaoni madhara yatokanayo na kucheza uchi hadharani wamezoea ingawa si tamaduni za Kitanzania.
Tuipongeze serikali yetu kwa kuchukua hatua ili iwe funzo kwa wengine na isiishie hapo tu huku mitaani Dar es salam na Pwani kinamama wanacheza uchi hadharani na mchana kweupe.
 
mkuu uzi huu ni wa kitambo sana , hauhusiani na kufungiwa , umefukuliwa tu
 
Kwakweli Diamond alinikwaza Sana kipindi cha kampeni hasa alipokuwa anaimba ule wimbi wa Magufuli baba lao,

Yule jamaa hana adabu kabisa yaani hakuona hata soni kutamka "chupi" mbele ya Rais na meza kuu yote.

Tena anaimba comfortably kabisa, eti lichupi, nilitamani wamshushe jukwaani,

Vijana hawana manners kabisa,
Mbona watu walifurahia pale na walicheza naye hadi akavishwa kofia

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom