Wasafi TV kuanguka kabla ya kuanza

Wasafi TV kuanguka kabla ya kuanza

Erythrocyte
Mkuu...usiangalie mtizamo wako na wa watu wachache wanao post mtandaoni 'ukaconclude' hapendwi na wengi...co kweli, angalia idadi ya waliokwenda kwenda mnazi mmoja kwa matibabu ya bure, angalia idadi ya waliokwenda kwenye matibabu ya bure meli ya wachina, angalia idadi ya waliokwenda kulalamikia viwanja, na mwisho angalia idadi ya wanaokwenda kulalamikia matunzo ya wtt, wapepita wasomi wangapi...hawajafanya hivyo...kwa hili umekosea na ni vizuri ukakubali ukweli..hapo Mkuu 'amewin' tuache mbwembwe... Kweli ana mapungufu yake kama binadamu, lkn pia kuna mazuri...tuache msemo wa mabaya ya siku moja yanaharibu mema ya siku zote, tuangalie mafanikio na malengo yake yanawanufaisha wangapi...
 
"Makonda kimetafsiriwa na wataalam wambo ya biashara"
Hebu nitajie majina ya hao watalaam wa biashara,tuvidiscuss vyeti vyao,manake isijekuwa chuki zako zinakusuma kuandika,alafu unawasingizia wataalam.
Erythrocyte
 
Huyo bashite wasafi huwa wanasema ni baba yao mlezi
 
Kuna sehemu nimesikia kuwa Dogo kuwa ni punda wa GSM na kaka mkuu wa Dar ni protecter wa GSM na hata kipindi kile jamaa walikuwa wameingiza mzigo mkubwa ili mzigo uishe haraka ilibidi dealer wengine wapewe msukosuko ili wakose muda wa kuingiza mambo yao sokoni!. Yangu ni hayo tu ndio niliyo sikia!.
 
Funguka ni uhusiano gani ambao wanao. [emoji87] [emoji15]
 
Mkuu naomba ufafanuzi kidogo, wewe na baadhi ya watu unamchukia Makonda au kila mtu anamchukia?!!!.
Tangu Dunia ianze ajawahi kutokea mtu Duniani anaechukiwa na kila mtu.
Kwa uchapakazi wake sinashaka kabisa wanaomkubali ni wengi kuliko wanao mchukia.
Mtoa mada aache kuita kikundi chao cha manyumbu kwamba ndio wanainchi wote wa Tanzania. ...
 
Wa tz kwa umbea siwawezi. Hivi wewe unayesema wasafi tv kuanguka kabla ya kuanza, wewe una nini ulichoifanyia Tanzania, je una achievement gani kwa umri ulionao, ukijilinganisha na diamond unamzidi ama anakuzidi kwa kiasi gani ki maendeleo na mafanikio. So ukishapata status yako basi rudi hapa uje uongee tena. Pia wewe ulocoment makonda eti anashika nafasi ya pili kuchukiwa hapa nchini, possibly nafasi ya kwanza unashikilia wewe. Dar pekee makonda anapendwa na kila mtu kwa sababu katika wakuu wa mikoa wote walioongoza dar sijaona kama makonda. Nlihamia dar miaka ya 1989 sikumbuki nani alikuwa mkuu wa mkoa coz nlikuwa bado mdogo.
 
Kitendo cha Diamond Platnumz kufahamika kwa Umma kuwa ana mahusiano ya Karibu na Makonda kimetafsiriwa na wataalam wambo ya biashara kama anguko la Kituo kipya cha Tv kinachotarajiwa kuanza hivi karibuni kiitwacho Wasafi .

Ikumbukwe kwamba Makonda ndio Mtu anayeshika nafasi ya pili kwa kuchukiwa na wananchi wa Tanzania , sasa kushirikiana na mtu wa namna hii katika jambo lolote ni sawa na kutumbukiza jambo lenyewe kwenye moto wa milele

Bado haijafahamika kisa wala malengo halisi ya urafiki huu wa ghafla , bali kinachofahamika ni kwamba Makonda hawezi kuisaidia chochote Wasafi kwa vile kabla hata ya yeye kuingia DSM Wasafi ilishakuwa maarufu kutokana na kukubalika na watu wote masikini ambao umasikini wao umeletwa na chama ambacho Makonda anakitumikia miaka lukuki .
Hujui unacho kinena
 
wakati mwingine waswahili tunajichanganya wenyewe kutokana na kukosa maarifa , sina chuki na mondi bali nimeweka maono yangu baada ya kusikia manung'uniko.
hao ulosikia wakinungunika wajua hata bei ya tv ya chogo?
 
Back
Top Bottom