Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,118
Kwa maandishi yako unaonekana unachomiliki wewe ni boxer tu tena inawezekana imetoboka, mwanaume anaepambana kutafuta maisha huwa hawez omba mwenzie afeli, ila nakushauri muda huu unaotumia kuonyesha chuki kwa wanaume wanaojua kutafuta ungeutumia japo kutafuta namna yakuongeza boxer ya pili, hivi hiyo tv ikianguka wewe unapata nini? Chokoo anaehangaika kuwadiskass wanaume