Chemistry haijengwi kwa siku moja, wale walishawahi kuwa kwa muajiri mmoja ila vituo tofauti, haya mambo ya Chemistry hayatakiwi kujengwa kwenye kipindi tu sometimes mpaka issues za nje ili muwe na ukaribuKatika fatilia yangu ya uchambuzi wa magazeti Wasafi Fm,aisee Zembwela anaboa kinyama yani.Maulid Kitenge bado ana mzuka wake uleule lakini akitaka kuweka vile vionjo vyake haipati sapoti inavotakiwa kutoka kwa Zembwela.
Mfano Maulid anaelezea kitu flani na kashasimama na kuanza mautundu yake, unakuta Zembwela kuchangia kwake kunampunguza speed Maulid. Yaani bora Wasafi wangemchukua jamaa mmoja kutoka e.fm alokuwa anaendana na maulid. Zembwela haendani na kasi na mautundu ya Kitenge. Kwa ujumla hawaendani. Maulid anachangamsha lakini Zembwela anapooza.
Supermix anatangaza nani siku hizi ?Binafsi naona kitenge ndo anaharibu kipindi, Zembwela katulia hana mihemko
Japokuwa ni hater lkn unasikilizaga Wasafi.
Chuki zimekufanya mpaka umeshindwa kutofautisha mchambuzi wa mpira na mwendeshaji/mwongozaji wa kipindi.
Kitenge hachambui soka wanaochambua akina Edo Kumwembe yy kazi yake kuendesha/kuongoza kipindi.
Ila sio mbaya umetumia haki yako ya msingi kuwakilisha mawazo yako,ila kwa bahati nzuri mawazo yako sio mawazo ya kila mtu.
Wabongo ktk ubora wenu kuzichukulia simple proffesional za watu,we unazani kuongoza kipindi ni sawa na kuongoza ng'ombe au mbuzi.Nilipo Mimi hiyo Wasafi fm hata haifiki hicho ni kiredio cha mkoa mmoja tu
Ndo Maana nimesema ni Mtangazaji Local, kuongoza mtu yoyote anaweza ongoza kipindi kwa muhongozo, Kitenge alisainiwa kwa mihemko
Natoa Maoni kwa kua kitenge Namjua toka Akiwa IPP Na E-FmWabongo ktk ubora wenu kuzichukulia simple proffesional za watu,we unazani kuongoza kipindi ni sawa na kuongoza ng'ombe au mbuzi.
Sasa husikilizi radio alafu unatoa maoni ,unatoa maoni kwa kitu ambacho hujawahi kukisikia .
Wenyewe upo nyuma ya keyboard unajidanganya,jifunze kuheshimu proffesionals za watu,kila kitu kina ethics zake na sio kufanya fanya kama unavyofikiria kwenye akili yako.Natoa Maoni kwa kua kitenge Namjua toka Akiwa IPP Na E-Fm
Kuongoza kipindi ni Rahisa sana kwanza unakua na karatasi ya Muhongozo, ila kuuchambua Mpira ni Shughuli nzito
Kitenge ni sawa na Ripota ndo Maana unaona kazi za kusoma Magazeti anazimudu
Sio kosa lako uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo,sikulaumu kutowajua TCRA na kazi zao.Mkuu unaongea pumba tu hata ueleweki,. Point/hoja yangu ni Kwamba Kitenge ni Mtangazaji Local
nadhani hata Supersports Wameshamtema kwa umbumbumbu wake wa kutokujua maswala ya soka la kimataifa
Unapokuja na mambo ya TCRA nakuona kama Mwehu,.
Aiseemimi ndio huwa sielewagi kinachoendeleaga kwenye ulimwengu wa Radio
kwanzia vipindi mpaka watangazaji sielewagi chochote.
Tv nayo hali kadhalika
Ha ha ha!!Yaani Wasafi ma kumnunua Maulid na Zembwela na Kumwembe kwa pesa yote hiyo kumbe radio inasikika Dar tu!
Zembwela muongeaji sana na Kitenge Muongeaji,Chumvi na Hando ilikuwa Best Combo.Katika fatilia yangu ya uchambuzi wa magazeti Wasafi Fm,aisee Zembwela anaboa kinyama yani.Maulid Kitenge bado ana mzuka wake uleule lakini akitaka kuweka vile vionjo vyake haipati sapoti inavotakiwa kutoka kwa Zembwela.
Mfano Maulid anaelezea kitu flani na kashasimama na kuanza mautundu yake, unakuta Zembwela kuchangia kwake kunampunguza speed Maulid. Yaani bora Wasafi wangemchukua jamaa mmoja kutoka e.fm alokuwa anaendana na maulid. Zembwela haendani na kasi na mautundu ya Kitenge. Kwa ujumla hawaendani. Maulid anachangamsha lakini Zembwela anapooza.
Kitenge ni mtangazaji Local sana anatangaza kwa Maigizo, kitenge ni Msoma taarifa ndo Maana hata kwenye uchambuzi wa maswala ya soka ni Mweupe