Wasafi fm na tv kuwahoji wamiliki wa DP World Juni 23

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,402
15,980
Macho na masikio yetu kesho asbh tuelekeze wasafi fm na tv kuwaona kina chumvi aka mizee ya minyama wakiwahoji wamiliki wa dp world huko Dubai .

Nimeona wanajipanga kuhus maswali watakao kwenda kuwauliza wamiliki CEO

Kila mmoja ameandaa swali lake swali la Zembwela linalenga kuhusu gharama za uwekezeji?

Hando yeye anauliza itapatikana kiasi gani kila mwezi ?

Kitenge yeye anauliza mkataba una kikomo au lah

Nadhani wote kiingereza kwao ni shida hivyo maswali yataulizwa kwa kiswahili kisha kujibiwa kwa kiarabu na baadae kutafsiriwa kwa kiingereza

Nani wako nyuma ya hawa wazee wa minyamaa kila siku kwao ni safari tu?

Hivi kweli hao ndio watu wanatumwa tumwa kwenda kuweka mambo sawa.

Nashauri wakirudi watandikwe viboko
 
Hawana hata uwezo wa kuongea 'kingereza', labda wakae na mkalimani ili kuokoa jahazi.
 
Back
Top Bottom