Wasafi FM, Kitenge haendani na Zembwela

Binafsi naona kitenge ndo anaharibu kipindi, Zembwela katulia hana mihemko
 
Katika fatilia yangu ya uchambuzi wa magazeti Wasafi Fm,aisee Zembwela anaboa kinyama yani.Maulid Kitenge bado ana mzuka wake uleule lakini akitaka kuweka vile vionjo vyake haipati sapoti inavotakiwa kutoka kwa Zembwela.

Mfano Maulid anaelezea kitu flani na kashasimama na kuanza mautundu yake, unakuta Zembwela kuchangia kwake kunampunguza speed Maulid. Yaani bora Wasafi wangemchukua jamaa mmoja kutoka e.fm alokuwa anaendana na maulid. Zembwela haendani na kasi na mautundu ya Kitenge. Kwa ujumla hawaendani. Maulid anachangamsha lakini Zembwela anapooza.
Chemistry haijengwi kwa siku moja, wale walishawahi kuwa kwa muajiri mmoja ila vituo tofauti, haya mambo ya Chemistry hayatakiwi kujengwa kwenye kipindi tu sometimes mpaka issues za nje ili muwe na ukaribu
 
Namuelewa zaidi Zembwela. Bora angeendela kuwa na bonge Rwenyagira. Kitenge aendelee kusafiri safiri tu!
 
Jana asubuhi nikiwa kwenye mwendokasi walikuwa kwenye uchambuzi. Wa magazeti. Kitenge aliuliza NAni kakwamisha mchakato wa katiba mpya (hii inatokana na habari ya jaji Warioba).

Huyo Zembwela kwa jinsi unafiki ulivyomjaa akadai eti WaTanzania ndio wamekwamisha. Kwa kifupi Zembwela anaendeshwa na unafiki wakati Kitenge yeye hana ile kuremba.
 
Sema wote wanazingua tu mbwembwe zinazidi hadi mda mwingine magazeti wanakua hawayasomi ipasavyo kitu kidogo kitaongelewa hdi ambayo hayahusiani na habari za kwenye magazeti.
 
Nilipo Mimi hiyo Wasafi fm hata haifiki hicho ni kiredio cha mkoa mmoja tu

Ndo Maana nimesema ni Mtangazaji Local, kuongoza mtu yoyote anaweza ongoza kipindi kwa muhongozo, Kitenge alisainiwa kwa mihemko
Japokuwa ni hater lkn unasikilizaga Wasafi.

Chuki zimekufanya mpaka umeshindwa kutofautisha mchambuzi wa mpira na mwendeshaji/mwongozaji wa kipindi.

Kitenge hachambui soka wanaochambua akina Edo Kumwembe yy kazi yake kuendesha/kuongoza kipindi.

Ila sio mbaya umetumia haki yako ya msingi kuwakilisha mawazo yako,ila kwa bahati nzuri mawazo yako sio mawazo ya kila mtu.
 
Nilipo Mimi hiyo Wasafi fm hata haifiki hicho ni kiredio cha mkoa mmoja tu

Ndo Maana nimesema ni Mtangazaji Local, kuongoza mtu yoyote anaweza ongoza kipindi kwa muhongozo, Kitenge alisainiwa kwa mihemko
Wabongo ktk ubora wenu kuzichukulia simple proffesional za watu,we unazani kuongoza kipindi ni sawa na kuongoza ng'ombe au mbuzi.

Sasa husikilizi radio alafu unatoa maoni ,unatoa maoni kwa kitu ambacho hujawahi kukisikia 😀.
 
Wabongo ktk ubora wenu kuzichukulia simple proffesional za watu,we unazani kuongoza kipindi ni sawa na kuongoza ng'ombe au mbuzi.

Sasa husikilizi radio alafu unatoa maoni ,unatoa maoni kwa kitu ambacho hujawahi kukisikia .
Natoa Maoni kwa kua kitenge Namjua toka Akiwa IPP Na E-Fm

Kuongoza kipindi ni Rahisa sana kwanza unakua na karatasi ya Muhongozo, ila kuuchambua Mpira ni Shughuli nzito

Kitenge ni sawa na Ripota ndo Maana unaona kazi za kusoma Magazeti anazimudu
 
Kitondo,
Zembwela is a strong character. Hataki kuwa chini ya Kitenge. Mmoja lazima ajishushe ili show iende vizuri. Sasa hii ni ya mafahari wawili. No way!
 
Natoa Maoni kwa kua kitenge Namjua toka Akiwa IPP Na E-Fm

Kuongoza kipindi ni Rahisa sana kwanza unakua na karatasi ya Muhongozo, ila kuuchambua Mpira ni Shughuli nzito

Kitenge ni sawa na Ripota ndo Maana unaona kazi za kusoma Magazeti anazimudu
Wenyewe upo nyuma ya keyboard unajidanganya,jifunze kuheshimu proffesionals za watu,kila kitu kina ethics zake na sio kufanya fanya kama unavyofikiria kwenye akili yako.

Uswaone TCRA na Wizara ya habari na michezo kung'ang'ania,waafanya kazi wa vyombo vyote vya habari wote kufikia 2022 wawe certified kutoka vyuo vinavyo tambulika.TCRA kila mwezi inazipiga fine vyombo vya habari mbalimbali kwa makosa ambayo yana epukika,endapo watangazaji wangekuwa certified.

Kuongoza kipindi sio swala dogo,unacontrol kila kitu mpaka contents zinazotakiwa kwenda hewani,lugha itakayotumika na vitu vyingi ambapo watu wa tasnia ya habari ambao washakuwa certified wanafahamu.
 
Mkuu unaongea pumba tu hata ueleweki,. Point/hoja yangu ni Kwamba Kitenge ni Mtangazaji Local
nadhani hata Supersports Wameshamtema kwa umbumbumbu wake wa kutokujua maswala ya soka la kimataifa

Unapokuja na mambo ya TCRA nakuona kama Mwehu,. joseph1989,
 
Mkuu unaongea pumba tu hata ueleweki,. Point/hoja yangu ni Kwamba Kitenge ni Mtangazaji Local
nadhani hata Supersports Wameshamtema kwa umbumbumbu wake wa kutokujua maswala ya soka la kimataifa

Unapokuja na mambo ya TCRA nakuona kama Mwehu,.
Sio kosa lako uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo,sikulaumu kutowajua TCRA na kazi zao.
 
Katika fatilia yangu ya uchambuzi wa magazeti Wasafi Fm,aisee Zembwela anaboa kinyama yani.Maulid Kitenge bado ana mzuka wake uleule lakini akitaka kuweka vile vionjo vyake haipati sapoti inavotakiwa kutoka kwa Zembwela.

Mfano Maulid anaelezea kitu flani na kashasimama na kuanza mautundu yake, unakuta Zembwela kuchangia kwake kunampunguza speed Maulid. Yaani bora Wasafi wangemchukua jamaa mmoja kutoka e.fm alokuwa anaendana na maulid. Zembwela haendani na kasi na mautundu ya Kitenge. Kwa ujumla hawaendani. Maulid anachangamsha lakini Zembwela anapooza.
Zembwela muongeaji sana na Kitenge Muongeaji,Chumvi na Hando ilikuwa Best Combo.
 
Hivi Charles William alishapewa Kipindi Wasafi? Nipo Nje ya DSM mishe nyingi sijapata muda wa kusikiliza radio.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom