GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,700
- 14,632
UNAPOONESHA PICHA UKASEMA X KUSHOTO YESU KULIA . TAYARI UNAONESHA WEWE SI MKRISTO NA HUUJUI UKRISTO. HAKUNA YESU HPO KWENYE PICHA ZAKO. NA UNAPOTEZA MUDA mwingi sana kujenga hiyo dhana. Yesu hana picha na hayo ni mambo ambayo wengi hamyaelewi. Picha unazoziona ni picha tu kama picha nyingne zozote na ndo maana humsikii mkristo akilalamika akikuta hiyo picha inakojolewa, inamwagiwa maji,inakanyagwa kanyagwa n.k sababu si YESU. YESU YUPO MOYONI na si Kwenye picha.
![]()
Idadi kubwa ya wakiristo na wasiyo wakristo wamedanganywa kwa kuaminishwa kuwa yesu ni white[Mzungu]
Hata michoro mingi inayotumika kumwakilisha yesu imekuwa ikimsadifu kama whiteman
Jaribu kugoogle tu neno "Jesus",99.999% ya picha utakazoletewa ni za mzungu anayefananishwa na Yesu
Hizo zote si picha za Yesu,ni picha za mtoto wa Pope Alexander wa sita aitwaye Casera borgia
Sad-fact ni kwamba,si tu Yesu alikuwa ni Black au African Hebrew
Bali characters wote wa kwenye Biblia kuanzia Adam mpaka Paul walikuwa ni Blacks
Huo ndiyo ulikuwa ukweli kabla ya miaka ya 1400
Mambo yalianza kubadilika wakati wa Renaissance period,kuanzia karne ya 14 mpaka ya 17 chini ya Pope Alexander VI
Ndipo Europeans walipoanza kumsadifu[Depict] Yesu kama Whiteman
Casera Borgia
[Casera Borgia kushoto Yesu kulia]
![]()
Inaendelea page ya kwanza