Was Jesus Black?

Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?


  • Total voters
    127
Lengo ni nini ?! Ni kuthibitisha kuwa Yesu alikuwa black or white?! km ni hivyo so tunakubali kuwa He was the "Son of God ?! km ni hivyo so tunakubaliana "the existence of God ?! If yes do u think this omnipotent God would allow His only begotten Son earthly origin to be hidden?!
God lives, so does Jesus

If you will know who YASHUA was AS A PERSON, you will know why you are at the condition you are as a DEAD MAN in the spiritual life (DRY BONES, Sooma Ezekiel 37:1-14, Isaya sura ya 60:1-22, Mathayo sura ya 22:1-14) as you are living HORIZONTAL LIFE and not ELEVATED (VERTICAL) LIFE. Unajua maana ya MSALABA wa nyakati HIZI?
CROSS.jpg
huu ni msalaba wa Miaka ya "AD" Unatofautiana na MSALABA wa miaka 2500 BCE wa nyakati za Mafarao Misri? ulikuwa unaitwa "ANKH" maana yake ni Symbol of ETERNAL LIFE.
ANKH1.jpg
Nini Tofauti ya Misalaba hii kimaumbo na kimaana? Nakupa HOMEWORK.........

Wewe umekufa kiroho kwakuwa unaishi horizontal life (Buried like Man) nadhani unafahamu mtu anazikwaje kaburini, kwavile hujui maana nzito kufahamu RANGI ya NGOZI NA ETHINIC GROUP ya huyu YASHUA ibn Miriam. Kama haina maana kwanini unang'ang'ania yeye kuwa MWEUPE? Hufahamu kuwa huko ni kutekwa kiakili na kiroho pia? why dont you deny and accept the reality handled down with your own people before you eyes?

No any religious teacher will teach you this, because they have taken the vow to their masters. that is why Yashua told people that, The wisdom have taken off from the Masters and given to the baby ready to suck it. You Know why? Brother OPEN your Eyes, the Kingdom of HYWH IS WITHIN YOU.

Kumbuka hakuna kiumbe aliwai kukanyagaa Ardhi ya Dunia hii anaeitwa JESUS. Maana Letter J in miaka 530 tangu ilipobuniwa. Sasa huyu mtu unaemtaja hakuwai kuishi wala kutokea katika dunia hii.
Kwahio mnaoamini kitu ambacho hakikuwai kuwapo, mnaonekana Misukule MBELE YA MABWANA zenu "cave dwellers". AND YOU WILL KEEP BOWING DOWN TO YOUR MASTER, SO AS TO JOIN HIS ARMY WHEN SONS OF YHWH (BLACK PEOPLE , CHOSEN PEOPLE) WILL GO TO WAR FOR THE AIM TO TAKE DOWN THE EVIL THRONE OUT OF THE BEAST AND SET ORDER WITH DIVINE AND SPIRITUAL LEADERSHIP ON EARTH.

REMEMBER :A PERSON WITHOUT CULTURE, CUSTOMS, KNOWLEDGE AND OVER-STANDING IS LIKE A TREE WITHOUT ROOT.

BY MARCUS GARVEY
 
Barbarosa, Mtu mweupe hakumjua YESU mpaka pale tulipowapelekea maarifa. Ulaya sio ya wazungu. Ulaya ni ya weusi maana kabla Mzungu hajatoka mapangoni (Kumbuka WAZUNGU NI CAVE DWELLERS), MWEUSI alishajenga ULAYA.

CASTLE NA CATHEDRAL ZA ULAYA zimejengwa na weusi ambao walitawala ulaya kabla MZUNGU hajanawishwa uso.
Blacks are diverse people, the owner, the builder of world civilization. Wazungu hawakuwa na Lugha, hawakuwa wanajua kupika wala kuzika wafu wao. Utamaduni wa kijamii iliostaarabika wamefundishwa na WEUSI. Weupe walikuwa savage creatures.

Maandishi, sanaa, dini, lugha, elimu na sayansi tumewafundisha mara 3. Kwanza walipotolewa mapangoni kwa huruma ya wa Mungu, Mussa ndio alipewa jukumu lakuwafundisha angalao AMRI 10 wakati WEUSI walikuwa wanaziishi Sheria 42 ZA TOBA ya MAAT MIAKA 2500 BCE.

Pili: tukawapelekea Ustaarabu Enzi ya HELLENISTIC miaka 323 BCE, kwa kupitia wanaflasafa na wanahistoria wa kigiriki kama akina (Pluto, Aristotle, Socrates, Herodotus n.k) hawa wote walikuwa wanafunzi wa Misri na Kush (Ethiopia). WAGIRIKI ndio wakawastaarabisha WARUMI na ilipoanza dola ya kirumi hadi kuanguka kwake, ULAYA MAARIFA YAKAFA.

Tatu: Miaka ya 700 AD hadi 1454 AD, WAISRAEL (MOORS) wa Imani ya Kiislamu, walipeleka tena Elimu na Ustaarabu ULAYA. Hivyo wakatawala Ulaya miaka 800 na ndicho kipindi wazungu wanakiita DARK AGES IN EUROPE na karne ya 15 ndipo wakaanza kujitutumua kwa kujaribu kuwang'oa hawa WEUSI MOORS, ili wajitawale wenyewe. Kumbuka mwaka 1454 Jambazi "Kristofa Kolombas" (Sipendi kumwandika jina lake kizungu maana naandika kwa kiswahili ili watu waelewe) alipelekwa na WEUSI MOORS THE NAVIGATORS, VISIWA vya AMERIKA NA AMERIKA na huko akawakuta weusi wanaishi kipeponi kabisa AKADUWAA KUWAKUTA WEUSI HUKO AMERIKA.

Hivyo, Yesu wamepelekewa na ndio maana Cathedral zote ulaya zina watume na malaika WEUSI, Yesu na Maria wanaomuabudu ni Mweusi maana sanamu kuanzia Ureno hadi Urusi ni za weusi tupo.
Dah...jamaa unaandika vitu kirahisi sana.
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa akili za Mwafrika zinaenda zikididimia na kupotea huku za Mzungu zikizidi kuchanua??? Naona kama vile Unazidi kuwatusi waafrika na hizo Afrocentrism zako.
Acha Waafrika waendelee kupambana na kutafuta maarifa ya kusonga mbele badala ya hizo ideology zenu ambazo hazitamsaidia kitu na sanasana zitambwetesha tu na kuzidi kumdidimiza.
Haya tufanye Ulaya yote ilikua ni ya Waafrika, wakati mzungu akiishi mapangoni, halafu utuambie maendeleo yalianza nyakati zipi na kipi kilimtokea huyu Mwafrika aliyekua ameendelea hata akazidiwa na huyu mzungu wa mapangoni? Ikawaje hata sinema iishie kwa mwafrika kuishi huku kwenye mapango ya Afrika tena jitihada nyingi zikifanyika ili kumuondoa mapangoni au na kumstaarabisha?
 
Nimekutana na watu ni wajinga

Ndio ni wajinga

wanaanza kulalamika wamebadilishiwa historia
kisha wakatumia biblia hiyo hiyo kuthibitisha wamebadilishiwa (ni ujinga first class)
kama wangetaka kubadilsha hata huo ushahidi usingeukuta kwa sababu wenzetu wameisoma mstari kwa mstari hadi wakaibadili lugha

Ujinga ni kusema wazungu sio superior huku hata simu unayotumia wamegundua wazungu

Ujinga ni kukataa maandishi ya biblia kisha ukakubali alichoandika Albert huku ukiendelea kugoma kabisa wazungu sio watu na miakili zao

Ni ujinga kukubali binadamu wa kwanza ni nyani ila ukiulizwa huyo nyani alitoka wapi zitaanza porojo ukiulizwa umesoma wapi atakutaji jamaa wake ila biblia anaipinga

ujinga ni kucopy japo ujanja ni kubadili lugha
ha ha ha ha ha
IMG_20160608_075925_564.jpg
 
Hakuna mzungu angeweza kubeba ule msalaba kwa umbali ule..!!!

Nakubaliana nawe kwa asilimia zote hili la Mzungu.

Isipokuwa tufahamu kuwa hakufa kwenye Msalaba. Walimnyonga kwenye Mti. Dunia imehadaika na ubunifu wa warumi na wagiriki.

Ushahidi: Soma Kitabu cha Matendo ya Mitume 10: 34-35
 
Dah...jamaa unaandika vitu kirahisi sana.
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa akili za Mwafrika zinaenda zikididimia na kupotea huku za Mzungu zikizidi kuchanua??? Naona kama vile Unazidi kuwatusi waafrika na hizo Afrocentrism zako.
Acha Waafrika waendelee kupambana na kutafuta maarifa ya kusonga mbele badala ya hizo ideology zenu ambazo hazitamsaidia kitu na sanasana zitambwetesha tu na kuzidi kumdidimiza.
Haya tufanye Ulaya yote ilikua ni ya Waafrika, wakati mzungu akiishi mapangoni, halafu utuambie maendeleo yalianza nyakati zipi na kipi kilimtokea huyu Mwafrika aliyekua ameendelea hata akazidiwa na huyu mzungu wa mapangoni? Ikawaje hata sinema iishie kwa mwafrika kuishi huku kwenye mapango ya Afrika tena jitihada nyingi zikifanyika ili kumuondoa mapangoni au na kumstaarabisha?

KUNA MATOASHI WALIOPEWA UTOASHI NA MUNGU.
KUNA MATOASHI WALIOPEWA UTOASHI NA JAMAA ZAO NA KUNA MATOASHI WALIOJIPA UTOASHI WENYEWE.

Sijakufahamu bado hoja yako kwakuwa unajicontradict katika maelezo yako.

LAKINI KWA KUKUSAIDIA NI KWAMBA: HUMU JF KUNA WATU WANAWEZA KUA CHANZO CHA WEWE KUZINDUKA NA KUPATA UAMSHO. NAFAHAMU SIKU YAKO BADO, NDIO MAANA UNA AKILI ZA MGANDO.

PIA NITAKUOMBA FANYA TAFITI. JISHUGHULISHE NAAMINI KUNA SIKU AKILI NA UFAHAMU WAKO UTAZINDUKA.

USTAARABU ULIANZA AFRIKA. NA WAAFRIKA NDIO WAMEDESIGN HUO USTAARABU. MFALME SOLOMONI KASEMA HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA.

PYRAMID ZILIZOJENGWA ULIMWENGUNI, ZILIJENGWA NA WEUSI WALIOSAMBAA DUNIA MZIMA. LAKINI THE HIGHEST TECH YA ARCHITECTS NA CONSTRUCTIONS YA PYRAMID YA GIZA PALE CAIRO NDIO UDHIHIRISHO NA UTHIBITISHO WA KUWA MWAFRIKA ALIEKABAKIA AFRIKA NDIE ALIWEZA KUFIKIA LEVEL YA JUU KABISA YA USTAARABU.

HAYA MAPIRAMID YA MISRI YALIJENGWA KWA MAWE TUPU. JIWE MOJA NI TANI 1-3. ENEO LA UJRNZI NI SAWA NA HEKA 40. IKAJENGWA SPHYNIX YA SIMBA MWENYE SURA YA MWANAMKE KALALA. UKUBWA WA SPHYNIX SAWA NA UWANJA WA MPIRA WA MIGUU NA UMRI WA UJENZI HUO NI MIAKA 6000 ILIOPITA.

SASA WAZUNGU WAMEJENGA NINI? AMBACHO KINA UHAI WA AINA HIO? MBUKWA

TENA NDG YANGU "AMAN JR" KAKUONYESHA USHAIDI WA WASOMI WA MWANZO NI AKINA NANI? WAZUNGU MBUKWA.

ULAYA IMEJENGWA NA WEUSI, CASTLE ZOTE ZILIJENGWA WAKATI WEUSI NI WAFALME NA MALKIA ULAYA. WAO WAMEKUJA KURITHI. KWAHIO WAZUNGU MBUKWA.

ZIMBABWE KUNA MEGA STRUCTURE ILIOJENGWA KWA MAWE TUPU ENZIBYA AKINA MZINGA MBANDE, MWENE MUTAPA. NA KUNA SPIRAL ENGINEERING ILIOKUWA INATUMIKA KUJENGA VIJIJI NA HIMAYA NYINGI ZA AFRIKA. WAZUNGU NDIO WANASOMA SASA HIVI KWA KUJIULIZA MASWALI AMBAYO MAJIBU YAKE YANAPATIKANA HAPA AFRIKA. NANI MWENYE AKILI? MZUNGU MBUKWA

HATUKUWAI KURUDI NYUMA KWA KUTAKA. NI STORI PANA SANA AMBAO INABEBA FACTOR NYINGI ZA TRICKNOLOGY. HASA ILIANZA BAADA MTU MWEUSI KUGUNDUA GUN, MCHINA ATATENGENESA GUN POWDER NA ILIPOFIKA MIKONONI MWA MZUNGU. AKAONA NI TOOL YA KUITUMIA KUCONQUER DUNIA. HII YAWEZA KUWA FACTOR MOJA WAPO.

MAANA MZUNGU NI BEAST ALIEUWA VIUMBE WENGI KULIKO MTU YEYOTE. NA STILL ANAUWA WATU NA VIUMBE VINGINE. HAPA ALITENGENEZA PIA FEAR NA AKACONQUER

NITAENDELEA.......
 
Dah...jamaa unaandika vitu kirahisi sana.
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa akili za Mwafrika zinaenda zikididimia na kupotea huku za Mzungu zikizidi kuchanua??? Naona kama vile Unazidi kuwatusi waafrika na hizo Afrocentrism zako.
Acha Waafrika waendelee kupambana na kutafuta maarifa ya kusonga mbele badala ya hizo ideology zenu ambazo hazitamsaidia kitu na sanasana zitambwetesha tu na kuzidi kumdidimiza.
Haya tufanye Ulaya yote ilikua ni ya Waafrika, wakati mzungu akiishi mapangoni, halafu utuambie maendeleo yalianza nyakati zipi na kipi kilimtokea huyu Mwafrika aliyekua ameendelea hata akazidiwa na huyu mzungu wa mapangoni? Ikawaje hata sinema iishie kwa mwafrika kuishi huku kwenye mapango ya Afrika tena jitihada nyingi zikifanyika ili kumuondoa mapangoni au na kumstaarabisha?

UKISOMA HISTORIA YA ULAYA KIUTAFITI UTAKUJA KUFAHAMU KUWA TRANSITION NA EVOLUTION YAO ILITOKANA NA WATU WEUSI "HOME SAPIENS".

KWANZA WAZUNGU NI AMALGAMATED BEINGS. AMBAO GENETICALLY THEY ARE NOT 100% HUMAN. KWAHIO BAADA YA WAO KUPELEKEWA USTAARABU MARA 3 NA WALIPOPATA GUN WITH POWDER FROM CHINA, WAKATUMIA KUKILL ANYTHING AMBAYO ILIPELEKEA KUCREATE FEAR AMONG THE PEOPLE. NA AKACONQUER.

NDIPO WAKAHODHI SOURCES ZOTE ZA KIELIMU NA KIDINI. WAKAREDESIGN WEAK QURRICULUM NA WEAK RE-LIGION NDANI YA MIAKA 500 WAKAINSTITUTIONILIZE HIO WEAK CURRICULLUM AMBAO INATUMIKA MPAKA SASA KWA KUWEKA TREATIES YA MIPAKA ZA NCHI, WAKARENAME MITO, MAZIWA NA BAHARI.

NA NDIO maana hadi leo unasoma Mount Albert, Ziwa Victoria, Livingstone waterfall, Cape of good hope, New York, New Zeland, New Ice Land, palestine n.k.

Kwa miaka Mia 5 ni takriban ni Vizazi 5 vinaelimu dhaifu yenye asili ya kujenga jamii fulani kuwa bora na nyingine kuwa dhaifu.

Ukafundishwa Latitude and Longitude ni Imaginary Line: Wakati ni Actual Force acting upon.

KWAHIO MIFUMO HII DHAIFU NDIO ILIOZAA KIZAZI DHAIFU KIAKILI, KIMAAFRIFA NA KIDINI. HIVYO KWA MFUMO HUU NDIO CHAMZO CHA WEUSI KURUDI NYUMA KIELIMU NA KIMAENDELEO. THATS WHY WE ARE ZOMBIES AND WALKING AS DEAD PEOPLE.

SO FOR US TO REVIVE, we need to learn our true past strength and the mistake zilizokatupelekea kukashindwa mapambano ili tuanze upya na ndio maana tunafanya mijadala kama hii tunayoiendeleza.

Kitu muhimu saana kuliko zote ni pale tutakapo mfanya mzungu ajione kama ni kiumbe dhaifu kiustaarabu, kigenetically na pia NATURE haiimpi favour kama walivyo blacks kwa sababu ni kiimbe dhaifu.

TUKIWENZA KUMUUA KATIKA UBONGO WAKE. TUTAKUWA TAYARI TUMEMSHINDA NA ATAKUA CHINI YETU KWA KILA JAMBO. KIZAZI HIKI KINA IJASIRI HUO.

NAWASILISHA HOJA KWAKO.
 
Nakubaliana nawe kwa asilimia zote hili la Mzungu.

Isipokuwa tufahamu kuwa hakufa kwenye Msalaba. Walimnyonga kwenye Mti. Dunia imehadaika na ubunifu wa warumi na wagiriki.

Ushahidi: Soma Kitabu cha Matendo ya Mitume 10: 34-35
Nilikua nimejipanga kukujibu kwa hoja, lakini kwa hili hapa nilipo Red, nimeshaulewa ufahamu wako ulipo na jinsi mnavyoyachukulia maandiko, hivyo sitajisumbua. Nakuacha uendelee kupiga soga lakini acha nikupe pole tu.
 
Kuna watu wanaumia sana wanapoambiwa ukweli hawataki kuamini kwani wanaona mambo yote waliomezeshwa tangu wakiwa watoto ni uwongo hivyo wanauogopa ukweli but we cant run away from ourselves mtake msitake africa is a mother of civilization ila muda mrefu tunalishwa matango pori hivyo wengi wanaiogopa kweli na ndo maana hawako huru
 
H
Nakubaliana nawe kwa asilimia zote hili la MzI,ngu.

Isipokuwa tufahamu kuwa hakufa kwenye Msalaba. Walimnyonga kwenye Mti. Dunia imehadaika na ubunifu wa warumi na wagiriki.

Ushahidi: Soma Kitabu cha Matendo ya Mitume 10: 34-35
Kuna post yako hapo nyuma umesema hakuna mtu anayeitwa Jesus/Yesu aliyewahi kanyaga dunia hii i
 
Tunapoishi kwenye mazingira yaliyotaliwa na imani ni jukumu leo pia kutafuta ukweli juu ya imani hiyo hususani ukiwa na ushahidi ili watu wakukosoe au kuuunga mkono.
Hivyo tunomba hoja thabithi na kweli ziendane na maandiko usiseme sio kweli bila hoja au kutumia hoja sizo mashiko
 
Blacks were the royalty in Portugal.

Lisbon_1.jpg

Sara Forbes Bonetta. Brighton, 1862.
fd84435b-025c-4706-b6e6-667aa9efb136-389x600.jpeg


Genghis Khan
Hun.jpg
 
Blacks were the royalty in Portugal.

Lisbon_1.jpg

Sara Forbes Bonetta. Brighton, 1862.
fd84435b-025c-4706-b6e6-667aa9efb136-389x600.jpeg


Genghis Khan
Hun.jpg
1466097714601.jpg


Black leaders were good in using technologies.
Viongozi wa Kiafrika ndiyo walikua na mwamko mkubwa katika matumizi ya teknolojia za kisasa. Inasemekana ndiyo waliosafiri kwa ndege mara nyingi zaidi kwenda masafa ya mbali kuliko hao wazungu.
 
Kwa bahati mbaya sijasoma historia vizuri!
Nilisoma kidogo huko nyuma kwamba baadhi ya makabila yalitokea kusini mwa afrika kuja hapa Afrika mashariki na mengine yalitoka kaskazini kuja yakaja hapa ndio tukatokea jamii hii tuliyonayo leo! Na hii ni miaka ya juzi juzi tu! Sasa walivyotucholea na hii mipaka ndio wametuchonganisha kabisa! Hii inanifikirisha kuchimba zaidi kuna mengi tukiyajua tutajua sisi ni nani! Na hapo tutakua imara sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom