Was Jesus Black?

Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?

  • Total voters
    127
Nilikua nimejipanga kukujibu kwa hoja, lakini kwa hili hapa nilipo Red, nimeshaulewa ufahamu wako ulipo na jinsi mnavyoyachukulia maandiko, hivyo sitajisumbua. Nakuacha uendelee kupiga soga lakini acha nikupe pole tu.

Nafahamu huna hoja yenye mashiko kwa waalimu waliokuzidi maarifa ndio maana unaamua kukejeri baada ya kuadmit kwamba unaanza kupata ukweli ambao ulikuwa haufahamu.

Pili hatuna lengo la kushindana humu tunaelimishana na kupashana maarifa na ufahamu. Hivyo usipotoshe maada ki ujanja ujanja huku umepewa ushuhuda wa kitabu unachokiamini: Mbona hio Chapter ya 10 na Verse ya 33-35 ya kitabu cha Matendo ya Mitime hujacopy pia?

JAMANI TUNAWEZA KUPOTOSHWA NA NYIMBO MZURI TULIZOZISIKIA NA MAHUBIRI DHAIFU NA YA UWONGO TULIOYASIKIA TANGU TUKIWA WADOGO HADI TUNAZEEKA. LAKINI SI MAANA YAKE KUWA NI YA KWELI.

TUTAFUTE UKWELI ILI UTUWEKE HURU.
 
Kwa bahati mbaya sijasoma historia vizuri!
Nilisoma kidogo huko nyuma kwamba baadhi ya makabila yalitokea kusini mwa afrika kuja hapa Afrika mashariki na mengine yalitoka kaskazini kuja yakaja hapa ndio tukatokea jamii hii tuliyonayo leo! Na hii ni miaka ya juzi juzi tu! Sasa walivyotucholea na hii mipaka ndio wametuchonganisha kabisa! Hii inanifikirisha kuchimba zaidi kuna mengi tukiyajua tutajua sisi ni nani! Na hapo tutakua imara sana

Ndg yangu uko sahihi na usichoke kutafuta ukweli na maarifa. Maana yamefichwa sana kwa malengo maalumu.

Elimu ya darasani ni dhaifu sana, elimu ya kidini imejaa udhaifu, uwongo na ni vyombo vya kujenga hofu na ujinga wa kutafuta ukweli.

Ukweli ni kwamba kuna sisi ndio waebrania, sisi ndio waana wa israel, sisi ndio kizazi cha mafarao, ndio wakanaani, ndio wanubia na wakushi. Sisi pia ni Moors na Berbers. Sisi ndio viumbe vyenye akili, nguvu na ndio the chosen people of the ELOHIM.
SISI NDIO AKINA IMHOTEP, DJOSER, NARMER, NIMROD.

WE ARE STARTING OUR WAY BACK TO ENCHANEL THE POTENTIALITIES OF OUR CAPABILITY ON EVERY ASPECTS OF LIFE SO AS TO TAKE BACK THE WORLD SPIRITUAL LEADERSHIP AND POLITICAL POWER AND CONTROL.

ENDELEA KUFANYA TAFITI UTAFAHAMU TU.

BLACK POWER
 
Hivi haya yote yanayoandikwa kwamba blacks tulikua vizuri kwa kila kitu kabla ya hawa wazungu. Haya yote yalitokea kabla ya continental drift au hii mada inabidi utumie uwezo wa hali ya juu kuelewa.
 
JESUS IS BLACK MAN ,MARY IS
EGYPTIAN ; DAVID&SOLOMON ARE BLACK
EITHER
But we know
somebody did that to us. So could it
be that those who call me anti-
Semitic are anti-black?"
--Jesus and Mary were blacks of
African descent. "Jesus, whether you
want to believe it or not, was a man
of color. How many of you are ready
to accept Jesus as one of you? Jesus
- his mother Mary was an Egyptian.
Egypt is Northeast Africa."
(Author's note: Certainly, we know
Jesus was not Caucasian, but
Egyptian?)
--Solomon and David were black.
"Jesus said in Revelations 'I am the
seed of David. The root of Jesse. The
bright and the morning star.' Well
Jesse was the father of David. David
was the father of Solomon and
Solomon said 'I am black but come
ye all you daughters of Jerusalem!"
So if Solomon was black, David
couldn't have been white."
--Interracial relationships are
destroying the black race. "White
folks don't produce black children -
except it's [sic] a white woman with
a black man or a black man with a
white woman and that's the end of
your race.
 
H

Kuna post yako hapo nyuma umesema hakuna mtu anayeitwa Jesus/Yesu aliyewahi kanyaga dunia hii i

NI KWELI NAFAHAMU. ILA WASOMAJI NAOMBA WANIELEWE KWA UNDANI SANA NI NA MAANISHA NINI. KWANZA NIMESEMA JESUS NA SII YESU KWA MAANA HAWA NI WATU WAWILI TOFAUTI KABISA.

NINAPOSEMA JESUS NEVER WALK IN THIS WORLD MAANA YAKE KWAMBA. HUYU MTU ANAESIMULIWA KWA KUPEWA HIZO SIFA HAKUWA JESUS ALIKUWA NI YASHUA/ YESU BIN MIRIAM.

PILI "J" SIO HERUFI NI ALAMA ( SYMBOL) NA INA UMRI WA MIAKA 500 TU TANGU ALAMA HIO ILIPOGUNDULIKA. NA NDIO MAANA hamna J kwenye HERUFI ZA KIEBRANIA WALA ZA MISRI YA KALE.

KWA MARA YA KWANZA NENO JESUS KUONEKANA NI KATIKA JAHAZI MOJA LA KITUMWA LILILOKIPELEKA WAFUNGWA WA KIVITA KATIKA NCHI ZA MAGHARIBI YA BAHARI YA ALTANTIC MWAKA 1554.

HIVYO KWAVILE NIMELENGA KUWAFAHAMISHA NDUGU WA JAMAA ZANGU KWA USAHIHI KABISA ILI TUWEZE KUHOJI UWONGO NA USAHIHI WA KILA JAMBO TULIJUALO NA TUNALOHITAJI KUHOJI MAMLAKA ZILIZOPO.
 
JESUS IS BLACK MAN ,MARY IS
EGYPTIAN ; DAVID&SOLOMON ARE BLACK
EITHER
But we know
somebody did that to us. So could it
be that those who call me anti-
Semitic are anti-black?"
--Jesus and Mary were blacks of
African descent. "Jesus, whether you
want to believe it or not, was a man
of color. How many of you are ready
to accept Jesus as one of you? Jesus
- his mother Mary was an Egyptian.
Egypt is Northeast Africa."
(Author's note: Certainly, we know
Jesus was not Caucasian, but
Egyptian?)
--Solomon and David were black.
"Jesus said in Revelations 'I am the
seed of David. The root of Jesse. The
bright and the morning star.' Well
Jesse was the father of David. David
was the father of Solomon and
Solomon said 'I am black but come
ye all you daughters of Jerusalem!"
So if Solomon was black, David
couldn't have been white."
--Interracial relationships are
destroying the black race. "White
folks don't produce black children -
except it's [sic] a white woman with
a black man or a black man with a
white woman and that's the end of
your race.

It is our duties to explain the facts of all tricknologies set against blacks all over the world. THIS IS A SERIOUS TIME FOR BLACKS WHEREVER THEY ARE. WE NEED TO DO OUR HOMEWORK AND KNOW MUCH ABOUT OURSELVES BEFORE GETTING ALL RUBBISHES FROM WICKED BEASTS.

FEW AFRICAN BLACK PREACHERS HAVE THE COURAGE (GUT) TO TELL WHAT OUR STREET YOUNG BROTHERS AND SISTERS CAN STAND UP AND SPEAK OUT THE TRUTH WITHOUT FEAR OF ANY AUTHORITIES.

WE SHOULD BE READY TO WAKE UP OUR FELLOW BLACKS WHO DONT KNOW ANYTHING GOOD FROM THEMSELVES BUT FROM THE CRACKER LOW LIFE JACK ASS CAUCASIANS.
 
Nafahamu huna hoja yenye mashiko kwa waalimu waliokuzidi maarifa ndio maana unaamua kukejeri baada ya kuadmit kwamba unaanza kupata ukweli ambao ulikuwa haufahamu.

Pili hatuna lengo la kushindana humu tunaelimishana na kupashana maarifa na ufahamu. Hivyo usipotoshe maada ki ujanja ujanja huku umepewa ushuhuda wa kitabu unachokiamini: Mbona hio Chapter ya 10 na Verse ya 33-35 ya kitabu cha Matendo ya Mitime hujacopy pia?

JAMANI TUNAWEZA KUPOTOSHWA NA NYIMBO MZURI TULIZOZISIKIA NA MAHUBIRI DHAIFU NA YA UWONGO TULIOYASIKIA TANGU TUKIWA WADOGO HADI TUNAZEEKA. LAKINI SI MAANA YAKE KUWA NI YA KWELI.

TUTAFUTE UKWELI ILI UTUWEKE HURU.
Unaandika mambo mengi lakuni yote ni porojo tu. Hakika nilidhani unahoja ila nikayagundua maandiko yako kwamba ni sehemu tu ya mpango wa watu fulani (wewe si sehemu ya watu jao, wewe ni muathirika tu).
I know the whole game and plan and the people behind the game. Pole sana kijana.
Ulipolalia sisi tulipakanyaga na kupafagia.
 
Ndg yangu uko sahihi na usichoke kutafuta ukweli na maarifa. Maana yamefichwa sana kwa malengo maalumu.

Elimu ya darasani ni dhaifu sana, elimu ya kidini imejaa udhaifu, uwongo na ni vyombo vya kujenga hofu na ujinga wa kutafuta ukweli.

Ukweli ni kwamba kuna sisi ndio waebrania, sisi ndio waana wa israel, sisi ndio kizazi cha mafarao, ndio wakanaani, ndio wanubia na wakushi. Sisi pia ni Moors na Berbers. Sisi ndio viumbe vyenye akili, nguvu na ndio the chosen people of the ELOHIM.
SISI NDIO AKINA IMHOTEP, DJOSER, NARMER, NIMROD.

WE ARE STARTING OUR WAY BACK TO ENCHANEL THE POTENTIALITIES OF OUR CAPABILITY ON EVERY ASPECTS OF LIFE SO AS TO TAKE BACK THE WORLD SPIRITUAL LEADERSHIP AND POLITICAL POWER AND CONTROL.

ENDELEA KUFANYA TAFITI UTAFAHAMU TU.

BLACK POWER
Hapa mmechoka kuandika hiyo historia kwa kuwa uwezo wala ushahidi hamna na sasa mmeamua kunyang'anya ya wenzenu waliyoiandika...eti 'sisi ndiyo Waebrania, sisi ndiyo Mafarao..'
Wonders shall never end!!
 
Huu uzi umesaidia kufunua historia kubwa ambayo watu hawakujua. Ni jambo la kupongezwa. Lakini, Yesu kuwa mweupe au mweusi, kuwa Jesus au Yashuwa, yote hayana msaada kwangu.

Najua neno moja tu kwamba Mwana wa Mungu aliyetolewa na Mungu, akazaliwa kama mwanadamu, akaitwa jina Yesu, akafa kifo cha kikatili akibeba hatia yangu, ni mkombozi na Mwokozi wangu na wako ikiwa utamkubali.

Mengine ya kutafuta supremacy ya kimwili na kisiasa yasipoteze huo msingi mkuu wa ujio wa Yesu kwetu.
 
Hapa mmechoka kuandika hiyo historia kwa kuwa uwezo wala ushahidi hamna na sasa mmeamua kunyang'anya ya wenzenu waliyoiandika...eti 'sisi ndiyo Waebrania, sisi ndiyo Mafarao..'
Wonders shall never end!!

NADHANI KWAKO UJINGA NDIO SEHEMU YA MAISHA YAKO. SIJAONA HOJA YENYE USHAHIDI WA KUNUKUU HATA AYA YA KITABU CHOCHOTE, WALA HUJAWAI KUTUELEZA HATA CRICISM UNAYOTOA UKWELI WAKE UKO WAPI? NADHANI HIVYO NDIVYO ULIPASWA KUFANYA LAKINI HAUFANYI MAANA HAUNA UKWELI.

UMEBAKI KUNANGA UKWELI NA USHAHIDI WA MAARIFA YENYE NGUVU HUKU UKIPEWA USHAHIDI WA TAARIFA HIZO KATIKA VYANZO MBALIMBALI.

HALAFU ULIVYO NI KAMA MWANAMKE ANAEKATAA KUTOMBWA HUKU CHUPI AKIIACHIA INAVULIWA.

KUNA MTU HUMU KAKUQUOTE NA NUKUU " HAUKO SERIOUS"

MAANA JAMII YA HUMU INAKUONA NI AGENT WA UHARIBIFU NA NI ADUI WA UJENZI WA JAMII MPYA YA WEUSI YENYE NGUVU. HATUTAKUWA NA MSAMAHA NA MTU. KAMA ADUI MAANA YAKE SI NDUGU WA JAMAA ZANGU. KWAHIO TUTAKUSHUGULIKIA.

KUNA MSEMO MMOJA UNASEMA: NOT EVERY BLACK MEN AND WOMEN ARE MY BROTHERS AND MY SISTERS.
 
Pray to a true living black god
darkpope.jpg
 
Mnaacha kupambana mnaanza kuji paste kwenye historia za wenzenu...acheni zenu za kudumazana hizo...

Evi we jamaa una familia kweli? Maana nawaonea huruma watoto wako watakuwa vilaza kama baba yao.

Watoto wangu wanawachallenge waalimu wao katika masomo ya history na geography hadi napigiwa Simu na kupongezwa.

NADHANI KIZAZI CHAKO NI KITAKUWA NI KIZAZI CHA VILAZA.
Kuna watu wanaumia sana wanapoambiwa ukweli hawataki kuamini kwani wanaona mambo yote waliomezeshwa tangu wakiwa watoto ni uwongo hivyo wanauogopa ukweli but we cant run away from ourselves mtake msitake africa is a mother of civilization ila muda mrefu tunalishwa matango pori hivyo wengi wanaiogopa kweli na ndo maana hawako huru

Ndg nimeipenda sana hii comment yako. Tuko Pamoja.

LAZIMA TUANZE KUJENGA HIMAYA YA UFAHAMU KWENYE UBONGO NA KATIKA DAMU YETU KWA KUAMSHA HIGH SENSES OF BRAIN AND KUNDALINI ENERGY NA KUAMSHA DNA YETU ILI IWE RAHISI KUTAP UNIVERSAL CONSCIOUSNESS FOR OUR BLACK COMMUNITIES. AS WE ARE COSMIC SPIRITUAL BEINGS.
 
NADHANI KWAKO UJINGA NDIO SEHEMU YA MAISHA YAKO. SIJAONA HOJA YENYE USHAHIDI WA KUNUKUU HATA AYA YA KITABU CHOCHOTE, WALA HUJAWAI KUTUELEZA HATA CRICISM UNAYOTOA UKWELI WAKE UKO WAPI? NADHANI HIVYO NDIVYO ULIPASWA KUFANYA LAKINI HAUFANYI MAANA HAUNA UKWELI.

UMEBAKI KUNANGA UKWELI NA USHAHIDI WA MAARIFA YENYE NGUVU HUKU UKIPEWA USHAHIDI WA TAARIFA HIZO KATIKA VYANZO MBALIMBALI.

HALAFU ULIVYO NI KAMA MWANAMKE ANAEKATAA KUTOMBWA HUKU CHUPI AKIIACHIA INAVULIWA.

KUNA MTU HUMU KAKUQUOTE NA NUKUU " HAUKO SERIOUS"

MAANA JAMII YA HUMU INAKUONA NI AGENT WA UHARIBIFU NA NI ADUI WA UJENZI WA JAMII MPYA YA WEUSI YENYE NGUVU. HATUTAKUWA NA MSAMAHA NA MTU. KAMA ADUI MAANA YAKE SI NDUGU WA JAMAA ZANGU. KWAHIO TUTAKUSHUGULIKIA.

KUNA MSEMO MMOJA UNASEMA: NOT EVERY BLACK MEN AND WOMEN ARE MY BROTHERS AND MY SISTERS.
ACHA UTOTO NA HISTORIA ZAKO ZA KUGANDAMIZIA HIZO WEWE. YAANI NIPOTEZE MUDA KULETA NONDO KUPINGANA NA MAANDIKO SHALLOW KAMA HAYA!!
MIMI THREAD HII KWANGU NIMEIGEUZA KAMA THREAD YA KATUNI ZA VICHEKESHO TU.
NIKIJISIKIA BORED NAKUJA HAPA NATUPIA COMMENT NASEPA.
KWANZA MSHUKURU NAWEPENI KAMPANI, HAMUONI MMEBAKI MNASEMEZANA WENYEWE .
 
Evi we jamaa una familia kweli? Maana nawaonea huruma watoto wako watakuwa ****** kama baba yao.

Watoto wangu wanawachallenge waalimu wao katika masomo ya history na geography hadi napigiwa Simu na kupongezwa.

NADHANI KIZAZI CHAKO NI KITAKUWA NI KIZAZI CHA ******.

Ndg nimeipenda sana hii comment yako. Tuko Pamoja.

LAZIMA TUANZE KUJENGA HIMAYA YA UFAHAMU KWENYE UBONGO NA KATIKA DAMU YETU KWA KUAMSHA HIGH SENSES OF BRAIN AND KUNDALINI ENERGY NA KUAMSHA DNA YETU ILI IWE RAHISI KUTAP UNIVERSAL CONSCIOUSNESS FOR OUR BLACK COMMUNITIES. AS WE ARE CPSMIC SPIRITUAL BEINGS.
Kama hayo uyaandikayo ndiyo akili basi ni heri niwe K.ilaza tu.
Halafu hata maana ya ku Challenge inaelekea hata hauifahamu unabaki kuacha neno linaelea tu bila kukamilika na kuleta maana kusudiwa.
 
Nafahamu huna hoja yenye mashiko kwa waalimu waliokuzidi maarifa ndio maana unaamua kukejeri baada ya kuadmit kwamba unaanza kupata ukweli ambao ulikuwa haufahamu.

Pili hatuna lengo la kushindana humu tunaelimishana na kupashana maarifa na ufahamu. Hivyo usipotoshe maada ki ujanja ujanja huku umepewa ushuhuda wa kitabu unachokiamini: Mbona hio Chapter ya 10 na Verse ya 33-35 ya kitabu cha Matendo ya Mitime hujacopy pia?

JAMANI TUNAWEZA KUPOTOSHWA NA NYIMBO MZURI TULIZOZISIKIA NA MAHUBIRI DHAIFU NA YA UWONGO TULIOYASIKIA TANGU TUKIWA WADOGO HADI TUNAZEEKA. LAKINI SI MAANA YAKE KUWA NI YA KWELI.

TUTAFUTE UKWELI ILI UTUWEKE HURU.
Mambo vipi Muebrania? Upo? Twende zetu Galilaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom