mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Hhahaha!nice one manMambo vipi Muebrania? Upo? Ywende zetu Galilaya.
Hhahaha!nice one manMambo vipi Muebrania? Upo? Ywende zetu Galilaya.
Natamani nikuone YESU
Nakubaliana nawe kwa asilimia zote hili la Mzungu.
Isipokuwa tufahamu kuwa hakufa kwenye Msalaba. Walimnyonga kwenye Mti. Dunia imehadaika na ubunifu wa warumi na wagiriki.
Ushahidi: Soma Kitabu cha Matendo ya Mitume 10: 34-35
Hawa jamaa wamenishangaza kwa kweli..yaani walichofanya ni kupindua mambo na kutoka kivyao. Halafu wamekuja na hayo mapichapicha yao ambayo hayapo popotw pale.hoja nyepesi sana hizi, unamtrace yesu kwa kutumia maandiko ya Mungu ambayo wewe humuamini.
Kama yesu alikuwa mweusi basi na waarabu ni weusi
That's due to a global system of white supremacy, a black woman is really a mature of creation..
We really need to wake up, or this white supremacist system will always suppress our race.
Black people have been programmed to feel and inferior to white people. While the truth is we are the superior race, and the most resilient
Hakuna mzungu angeweza kubeba ule msalaba kwa umbali ule..!!!
Alikuwa black or white so what?ni upumbavu tu kukaa kujadili hilo maana halibadili anything. Nami sijawah ona picha ya yesu wewe umewah ona wapi? Watu hawaangalii rangi na by the way hata wayahudi si wazungu so haiwasaidii hata kusema alikuwa mweupe. Huku huku africa pia wapo weupe sioni issue ya msing hapo. Haya tuseme alikuwa mweusi. So what? Simple mind discuss simple things. Mi hata wakiniambia alikuwa wa blue wala sitak kubishana nao.it doesnt help me at all. Nafata mafundisho yake tu. Waafrika weng wamejawa na inferiority complex so wanatafuta hata vitu ambavyo havina maana waseme ni vyao. So what?
Mmmmmmhhh...mbona waafrika tunaonekana ni dhaifu katika vitu vingi...hata kucheza mpira tu tunababaisha, hatujawahi kuchukua kombe la dunia...kwenye
athletics ni hivyo hivyo labda mbio fupi...
Kwa watu waliogundua hii kitu ndio walitaka Africa Tuungane as one Nation tungekuwa na Power no one has ever seen but while sneaky people will not let this happen ndio maana wanafanya kila hila kuzuiaNdg yangu uko sahihi na usichoke kutafuta ukweli na maarifa. Maana yamefichwa sana kwa malengo maalumu.
Elimu ya darasani ni dhaifu sana, elimu ya kidini imejaa udhaifu, uwongo na ni vyombo vya kujenga hofu na ujinga wa kutafuta ukweli.
Ukweli ni kwamba kuna sisi ndio waebrania, sisi ndio waana wa israel, sisi ndio kizazi cha mafarao, ndio wakanaani, ndio wanubia na wakushi. Sisi pia ni Moors na Berbers. Sisi ndio viumbe vyenye akili, nguvu na ndio the chosen people of the ELOHIM.
SISI NDIO AKINA IMHOTEP, DJOSER, NARMER, NIMROD.
WE ARE STARTING OUR WAY BACK TO ENCHANEL THE POTENTIALITIES OF OUR CAPABILITY ON EVERY ASPECTS OF LIFE SO AS TO TAKE BACK THE WORLD SPIRITUAL LEADERSHIP AND POLITICAL POWER AND CONTROL.
ENDELEA KUFANYA TAFITI UTAFAHAMU TU.
BLACK POWER
Nipo hapa njoo unione
bro mfalme wa mpira duniani ni black pure unajua hilo
Alikuwa black or white so what?ni upumbavu tu kukaa kujadili hilo maana halibadili anything. Nami sijawah ona picha ya yesu wewe umewah ona wapi? Watu hawaangalii rangi na by the way hata wayahudi si wazungu so haiwasaidii hata kusema alikuwa mweupe. Huku huku africa pia wapo weupe sioni issue ya msing hapo. Haya tuseme alikuwa mweusi. So what? Simple mind discuss simple things. Mi hata wakiniambia alikuwa wa blue wala sitak kubishana nao.it doesnt help me at all. Nafata mafundisho yake tu. Waafrika weng wamejawa na inferiority complex so wanatafuta hata vitu ambavyo havina maana waseme ni vyao. So what?
Waliyabadilisha kuwadhulimu watu weusi.Nadhani swala la msingi hapo sio rangi kama unavyosema, ila najaribu kujiuliza swali moja tu, kama wameweza kubadikisha rangi kutoka kwenye weusi na kufanya aonekane mzungu, je unadhani hayo mafundisho yake hawakuyabadilisha na kuyaweka vike wanavyotaka wao?