Was Jesus Black?

Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?


  • Total voters
    127
Mkuu, hayupo anayebeza umuhimu wa mitume na ujumbe walioleta. Ila ni jinai kulaghai watu kuwa pengine nabii Nuhu alikuwa Mmachame!
Message aliyoleta Jesus ndio ya kufuatiliwa na sio ukabila au rangi ya ngozi yake. Kama alikuwa mweusi au mweupe doesnt make a difference. Tunapoteza energy kubwa kutafuta jibu lisilokuwa na manufaa yoyote kwetu.
 
Message aliyoleta Jesus ndio ya kufuatiliwa na sio ukabila au rangi ya ngozi yake. Kama alikuwa mweusi au mweupe doesnt make a difference. Tunapoteza energy kubwa kutafuta jibu lisilokuwa na manufaa yoyote kwetu.

Mkuu, huna haja ya kuiba identity ya mtu kwa ajili ya message. Hebu tuanze hivi; 1. Essence ya hii thread sio uhalali wala umuhimu wa ujumbe wa Yesu. Thread inahoji kama Yesu alikuwa MWEUSI. Kama address ya thread inakuchefua, solution ni kusoma malumbano ya wachangiaji bila kuingiza parameter ya umuhimu au uhalali wa message ya Yesu. Mleta mada hahoji message ya Yesu.

2. Turudi kwenye mada, ni juu yako sasa kuwaeleza wasomaji wa huu uzi kwanini kwa mamia ya miaka makanisa ulaya yalikuwa na Black Madonnas (Black Madonna Statues Are Hidden To Hide the Truth)? Ni suala la message au kuiba identity ya mtu?

3. Was it a mistake hawa wazito wawili kuomba mbele ya image ya Black Mary and Jesus? au wao pia hawaijui message ya Yesu?
 
1417771581c679181ba79feab1b91087.jpg
 
Nilishawahi kusoma andko flani hiv yapata miaka mitatu sasa imepita,andko hlo lilikuwa likielezea kuwa Yesu ni MTU mweusi na si mtu mweupe na hata kuuawa kwake kulichangiwa na hali hyo ya yeye kuwa mtu mweusi halafu akawa anatenda miujiza ambayo hata watu weupe hawakuweza kuitenda so,jambo hilo liliwakasirisha sana watu weupe mpaka watawala,kumbuka hata Pilato alisema "Sioni kosa la mtu huyu" lakn kwa kuwa kulikuwa na ubaguz mkubwa wa rangi basi wakaamua kumfanyia hiana ili aadhibiwe
 
Try kuangalia youtube na kusoma nakala pamoja na vitab mbalimbali vitakatifu, utajua tu
 
Ndugu zangu tujifunze kujali muda,watu wengi siku hizi tunapoteza muda sana kwenye mambo ambayo hayawezi kutusaidia.
Yesu kuwa mweusi au mweupe hiyo inakusaidiaje wewe kuingia mbinguni?Wengi tunatafuta ukweli wa rangi yake lakini hatutaki kufuata alichotufundisha,na huyu ni shetani anakeep watu busy,kujadili rangi ya Yesu kuliko kwenda kufanya yale aliyoyaagiza Yesu hasa kuhubiri injili.
Namshukuru Roho mtakatifu ambaye kuna muda hunifundisha,nikusaidie tutu wewe unayesema alikuwa black lakini unatumia kitabu cha ufunuo,unachotakiwa kujua kitabu cha ufunuo kinaongelea mambo yajayo au yaliyoko mbinguni kwa hiyo kama kimesema alikuwa black ni jinsi yohana alivyomwona,ila umesahau kuna miili ya mbinguni na ya duniani.Ok yohana alimwona akiwa na hiyo rangi mbinguni,lakini rangi ya duniani haijatajwa.Tuache kuwa watotot kiroho,rangi ya Yesu hata ukiijua huingii mbinguni kama utaendelea kuishi katika dhambi.Yesu mwenyewew alisema mtu akitaka kunifuata kwanza aikane nafsi yake kisha ajitwike msalaba wake anifuate hakusema tuijue rangi yake ilikuwa black or white.
Hili ni tego la ibilisi,people are very busy justifying the real color of Jesus,ok ,you got it black or white then what?Still Jesus need you to repent and receive him as your savior not more not less.Shetani anajua si mjinga,uko busy kujadili rangi ya Yesu hujui siku zimeisha,unakufa hujatubu unapotea,huu muda ungeutumia kwenye maombi au kuwasaidia wenye uhitaji mbona ingekuwa bora.Mwenye masikio na asikie.

“Our greatest fear should not be of failure but of succeeding at things in life that don’t really matter.” –Francis Chan
 
Casera Borgia alikuwa mtoto wa pili wa kiume wa Pope Alexander VI,mwanasiasa wa kiitaliano na Captain katika Papal military

Casera Borgia ana historia chafu si kidogo

Kwanza aliwai kumbaka Dada yake Lucrezia,
Pili aliwahi kumuua Kaka yake wa damu,Giovanni mwaka 1497

Mbaya zaidi alikuwa ni mpenzi wa so-called Universal Genius,Leonardo da vinci

maxresdefault.jpg


Wakati wa utawala wake,Pope Alexander VI aliwaajiri watu wawili,Leonardo da vinci na Michelangalo wachore Picha itakayoudanganya ulimwengu mzima kuwa ni ya Yesu

Pia aliwataka wamtumie mwanae,Casera kama Model[mfano] wa picha hiyo

Kwa kuwa wote wawili,Leonardo na Michelangelo walikuwa Artists hodari wa wakati ule
Mashindano ya kaanza,kwa atakaye chora picha nzuri ya Yesu itayoudanganya ulimwengu mzima huku wakimtumia Casera kama Model ya hiyo picha.

Leonardo ndiye aliyeibuka mshindi katika shindano hilo,na kuanzia hapo taswira ya Yesu kama whiteman ikaanza Kusambaa kote
Interesting
 
so convincing..
Kikubwa nlichokua najua ni kwmb yesu aliyepo Ktk michoro si HALISIA, Ila asili yake nDio bDo kigugumizi
Nahis ikiwa hv Hata MUSA bsi atakua BLACk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom