ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,572
Ndiyo maana Freemasonry wana 33%Mkuu bado unaamini kuwa Mungu yupo?
Yesu mwenyewe ni masihi wa 16 kusurubiwa kwa ajiri ya mwanadam
Wa kwanza alikuwa ni horus na wote walizaliwa na Bikra na kufa wakiwa na miaka 33
Though both are Anecdotal tales lakini zinaweza kuwa na ukweli
Lakini mungu hayupo,kama utakuwa Intellectually honest kukubali ukweli utaelewa kwanini tunasema mungu hayupo
Uwezo wa ku create!