Was Jesus Black?

Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?


  • Total voters
    127
Hawa jamaa wamenishangaza kwa kweli..yaani walichofanya ni kupindua mambo na kutoka kivyao. Halafu wamekuja na hayo mapichapicha yao ambayo hayapo popotw pale.
Kila kitu wanakiweka watakavyo halafu wanashinikiza wengine waamini hivyo.
Kubadilisha picha ni sawa na kubadilisha historia.
 
Ubaguzi wa rangi! Ni ubaguzi! Haijarishi nani anafanya? Awe Mweusi au Mweupe!
 
Hapo kwenye Ayubu 30:30.Ayubu alipata ngozi nyeusi baada ya kuumwa na sio kuwa alizaliwa hivyo.Tumsifu YESU KRISTU!
 
2 Timotheo 4:2-4
[2]lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
[3]Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
[4]nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
 
2 Petro 3:3-9
[3]Mkijua kwanza neno hili ya kwamba katika siku za mwisho watakuja na dhihaka zao watu wenye kudhihaki, wafuatao tamaa zao wenyewe,
[4]na kusema, Iko wapi ahadi ile ya kuja kwake? Kwa maana, tangu hapo babu zetu walipolala, vitu vyote vinakaa hali iyo hiyo, tangu mwanzo wa kuumbwa.
[5]Maana hufumba macho yao wasione neno hili ya kuwa zilikuwako mbingu tangu zamani, na nchi pia, imefanyizwa kutoka katika maji, na ndani ya maji, kwa neno la Mungu;
[6]kwa hayo dunia ile ya wakati ule iligharikishwa na maji, ikaangamia.
[7]Lakini mbingu za sasa na nchi zimewekwa akiba kwa moto, kwa neno lilo hilo, zikilindwa hata siku ya hukumu, na ya kuangamia kwao wanadamu wasiomcha Mungu.
[8]Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.
[9]Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia, bali huvumilia kwenu, maana hapendi mtu ye yote apotee, bali wote wafikilie toba.
 
Stupid kabisa , hivi nani alikwambia ukiwa mweusi ni lazima uwe unaishi Afrika? unawajua aborigines Wa Australia? wale walikuwa weusi, kule nako ni Afrika?
Huyu anashanga kwann hatukumjua mbona hashangai kilimanjaro imegunduliwa na weupe ilhali kuna wachanga sorounding that mount,stuka
 
jesus-3.jpg


Idadi kubwa ya wakiristo na wasiyo wakristo wamedanganywa kwa kuaminishwa kuwa yesu ni white[Mzungu]
Hata michoro mingi inayotumika kumwakilisha yesu imekuwa ikimsadifu kama whiteman

Jaribu kugoogle tu neno "Jesus",99.999% ya picha utakazoletewa ni za mzungu anayefananishwa na Yesu

Hizo zote si picha za Yesu,ni picha za mtoto wa Pope Alexander wa sita aitwaye Casera borgia

Sad-fact ni kwamba,si tu Yesu alikuwa ni Black au African Hebrew

Bali characters wote wa kwenye Biblia kuanzia Adam mpaka Paul walikuwa ni Blacks

Huo ndiyo ulikuwa ukweli kabla ya miaka ya 1400
Mambo yalianza kubadilika wakati wa Renaissance period,kuanzia karne ya 14 mpaka ya 17 chini ya Pope Alexander VI

Ndipo Europeans walipoanza kumsadifu[Depict] Yesu kama Whiteman

Casera Borgia
[Casera Borgia kushoto Yesu kulia]
tumblr_lyiztg63km1qisa2ko1_500.jpg


Inaendelea page ya kwanza

Ni lipi Muhimu, Rangi na kabila la Yesu au mafundisho yake???
 
Ukishajua why wamekudanganya kama Ni mweupe au sio ndio utajua umuhimu uko wapi!?
Swali why wakudanganye???
Kwani hata uki proove kuwa ni mweusi, italeta effect gani kwenye imani yako???
 
MTU ANAPOIBA IDENTITY YAKO HUWA NI BIG ISSUE KISHERIA, AU SIO KWELI?
Labda hukunielewa swali langu. Sijauliza swali mtu kuiba identity likoje kisheria.

Nimeuliza Kwahiyo ukijua Jesus ni Black itabadilisha nini kwenye Imani yako?
 
Labda hukunielewa swali langu. Sijauliza swali mtu kuiba identity likoje kisheria.

Nimeuliza Kwahiyo ukijua Jesus ni Black itabadilisha

Mkuu, hayupo anayebeza umuhimu wa mitume na ujumbe walioleta. Ila ni jinai kulaghai watu kuwa pengine nabii Nuhu alikuwa Mmachame!
 
Mkuu bado unaamini kuwa Mungu yupo?

Yesu mwenyewe ni masihi wa 16 kusurubiwa kwa ajiri ya mwanadam

Wa kwanza alikuwa ni horus na wote walizaliwa na Bikra na kufa wakiwa na miaka 33
Though both are Anecdotal tales lakini zinaweza kuwa na ukweli

Lakini mungu hayupo,kama utakuwa Intellectually honest kukubali ukweli utaelewa kwanini tunasema mungu hayupo
Mkuu ebu eleza hii topic kwa mapana zaidi maana hizi story zinazofanana na yesu maria na joseph ziko kwenye madhehebu mengi ya kale wakiwemo wa hindu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom