Was Jesus Black?

Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?


  • Total voters
    127
Ulidhan kuwa utakuwa umewaza jambo la maana au utaonekana msomi.contrary yu show us how stupid yu re. Waebrania weusi waliianzia wapi wakaishia wapi? Haya ni mweus so umewashinda wazungu? Au umeprove nini?haya ndo matatzo ya div five zinakuja hapa kuharisha tu mavyakula ya hovyo hovyo waliyokula huko vichochorin. Mnasahau humu kuna watu na akili zetu. Nmekuuliza sawa yesu alikuwa mweusi so inakusaidia nini?akili yako inaonesha wewe unadhan watu wanamwamin yesu sababu ya rangi. Mkishavuta bhangi zenu ndo mnakuja na theories za ajab ajab kama hizi ili iweje? Mnatoa moshi tu wa bhang kila sehemu ya waz mwilin.



Pumba tu

Kumbe hata uzi wenyewe haujaulewa

Unajua maana ya Depict?[/QU
 
Ulidhan kuwa utakuwa umewaza jambo la maana au utaonekana msomi.contrary yu show us how stupid yu re. Waebrania weusi waliianzia wapi wakaishia wapi? Haya ni mweus so umewashinda wazungu? Au umeprove nini?haya ndo matatzo ya div five zinakuja hapa kuharisha tu mavyakula ya hovyo hovyo waliyokula huko vichochorin. Mnasahau humu kuna watu na akili zetu. Nmekuuliza sawa yesu alikuwa mweusi so inakusaidia nini?akili yako inaonesha wewe unadhan watu wanamwamin yesu sababu ya rangi. Mkishavuta bhangi zenu ndo mnakuja na theories za ajab ajab kama hizi ili iweje? Mnatoa moshi tu wa bhang kila sehemu ya waz mwilin.



Pumba tu

Kumbe hata uzi wenyewe haujaulewa

Unajua maana ya Depict?[/QU
 
Atajipanga vipi naye kasikia siKia sikia kwa Jah goshimo ambaye ndo jamaa yao anawapa hizi story wakishavuta bhangi. Huyu jah goshimo amekuwa akiwalisha majivu. Watoto wengi sana kwa habari hizi na huyu jamaa ni mfuasi wake mzuri kwa kupata story kama hizi bila kuchuja hata kidogo





Ukweli upi sasa?? wakati we umekuja na mada na umeshindwa kuthibitisha yale uliyoandika kwamba waebrania wote ni weusi?? Mkuu jipange upya
kia
 
Kwaio we umeacha kuamini ukrisro kisa wazungu! Duuh kweli duniani kuna mambo kwaio wazungu ndo walibeba msingi wa imani yako yote?
Uliambiwa biblia ilishuka toka juu? Mtu yeyote mwenye mamlaka anaweza kuibadilisha tu, na akawalazimisha watu waitumie version yake, anaweza kuweka au kutoa uhusika fulani.
Wazungu wamekuwa na mamlaka makubwa hapa duniani toka zamani, mpaka sasa ndio race powerful kuliko zote, ambayo inakandamiza races nyingine! Wamethibitisha hili kwa kufanya ukoloni, na wanafanya ukoloni mambo leo mpaka leo.
Hata wakati wa ukoloni walitutesa Jumatatu mpaka Jumamosi, ila wakakupa Yesu Jumapili! We unadhani kwanini? Kwasababu walitupenda? Wakoloni walikuwa makatili hawana huruma ila kila koloni lilihakikisha watumwa wanageuzwa kuwa wakristo! Kwa jinsi navyoelewa, Dini hairuhusu ukatili wa namna ile, haya sasa niambie je dini ni dini kama tunavyoitafsiri na na kuijua leo hii, au ni programu tu ya mind control inayomfanya mtu awe mtii kwa kila analoambiwa (submission)?
Wewe kama mtu mwenye akili timamu inakuingia akili kwamba aliyekugeuza mtumwa, anakunyonya halafu anakupa dini anakutengea na muda wa kwenda kanisani? Dini ni nini kwake? Na dini ni nini kwako
Kama mtu mwenye akili timamu lazima ujue chimbuko la dini yako, kwa kufuatilia kitabu chako na vitabu vingine, sio unakuwa Mkristo /muislamu tu kisa baba ako alikuwa wa dini hiyo, dini sio kama fashion tu. Kuwa wa dini fulani baada ya kujua ukweli juu ya dini fulani. Nimejiridhisha ukristo sio dini ya kweli kwangu, na bado natafuta ukweli nijue zaidi dini ya kweli ni ipi

Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
 
Mungu ni Roho!
Nao wamwaminio imewapasa kumwabudu katika Roho!
Huwezi kuthibitisha uwepo wa Mungu katika Maabara!!
Nakushangaa ukisema hakuna Mungu!! Hii ni kufuru kubwa!
Hivi wewe halisi ni nani!?? Ni mwili?? Ni Moyo??
Inapotokea mtu amefariki, huwa ni kitu gani kinauacha mwili hata huo mwili usiwe na thamani tena Bali kwenda kuuzika??? Unaweza kututhibitishiaje kwenye maabara kuhusu uwepo wa hicho kinachotoka ili tukithibitishe!!
Wabishi wenzako kama wewe walijaribu kufanya utafiti kidogo!
Walimchukua mtu waliyedhani amekaribia kufa, wakamuweka ndani ya box la kioo transparent lakini ambalo haliruhusu hewa kuingia au kutoka. Lengo lao lilikuwa ni kuona ni kitu gani kinachomuondoka mtu pale anapofariki!
Lakini bado mtu huyo alipokata roho, jamaa hawakuweza kuona chochote!
Sasa hicho kinachokutoka unapofariki, ndio mfano wa Mungu maana yeye alisema alituumba kwa mfano wake! Yeye Mungu hana mwili huu tulio nao so huwezi kuthibitisha kwenye maabara yako mkuu!
Mkuu bado unaamini kuwa Mungu yupo?

Yesu mwenyewe ni masihi wa 16 kusurubiwa kwa ajiri ya mwanadam

Wa kwanza alikuwa ni horus na wote walizaliwa na Bikra na kufa wakiwa na miaka 33
Though both are Anecdotal tales lakini zinaweza kuwa na ukweli

Lakini mungu hayupo,kama utakuwa Intellectually honest kukubali ukweli utaelewa kwanini tunasema mungu hayupo
n
 
" Rangi ya shaba au bronze ni brown,baada ya ..."
shaba=copper, bronze ni alloy.

vipi kuhusu vizazi vya kabla ya Yesu wote ni weusi, au chotara?
 
nashukuru umeyaona matatizo ya MIAFRIKA MINGI Yalivyo. miafrika inapoteza muda mwingi kwa kuwaza vitu vya kijinga tu. hayo unayo yasema ni kweli. kuwa weusi wanalalamika kuwa wahindi,waarabu hawatak kuolewa nasi...unajiuliza sisi la msingi kwetu nikuoa wahindi na waarabu?
sasa huyu mwingine kaona hiyo haitoshi kaja na theory kuwa yesu ni mweusi so kama alikuwa mweusi yeye inamsaidia nini? ni ule ule utumwa wa rangi.unachosema ni kweli wahindi wapo hapa miaka na miaka hawazungumzi kiswahili ila wanazungumza kihindi na kiingereza. kwa nini? kwa sababu washaona sisi ni watu ambao wenyewe tu hatujikubali na tuna udhaifu. udhaifu huu tunauonesha mpaka kwa wengine.
kulazimisha yesu alikuwa mweusi au mweupe sisi kwetu haina tija hata kidogo. tuangalie tunajikwamua vipi kwenye umaskini na utegemezi.
tunakaa hapa wapuuzi wanatuletea habari za rangi. mwingine alianzisha thread kuwa pyramids zilijengwa na mtu mweusi. nikasema sawa. kwa hiyo sasa? tufanyeje?
Acha mawazo mgando, jiongeze. Kufahamu kuwa yesu alikuwa mweusi au mweupe, au pyramids zilijengwa na mtu mweusi au mweupe .. hakutuongezei kipato wala hakubadilishi chochote, ila fahamu kuwa Historia inapaswa kueleza kama ambavyo yalivyokuwa bila kubadili au kuficha chochote..
Rangi fulani inapoamua kubadili historia kwa kujiwekea uhusika ili ionekane kuwa ni superior kuliko nyingine sio vizuri.


Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
 
While it is true that Jesus is not a white man, people confused him and religion. Religion is meant to confuse people all over the world, the truth of the matter is religion is not the answers of peoples problems. People confuse religion and God. Religions did not come from God. Religions came from people in searching for God. This is why you have so many Gods all over the world. Why? the answer is looking for God. Now If you follow religion you will always get lost in the bush, but if you learn about Jesus you will realized that he actually did not bring religion, but salvation to all man kind.
I agree with you on this one, Religion is nothing but a man made system/institution established by man in search of God and creating uniformity in worshiping.
Even Jesus was not Christian, Buddha was not Buddhist, and Mohammed was not islam.. These were just teachers /messengers who taught people good ways. So man made a religion to be an institution which teaches these messengers' teachings

Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?

Afrika wameanza kumjuwa Issa kabla ya wazungu. Soma kijana.
 
Umeongea jambo la maana, ni kama huwa najiuliza kila siku ni kwa nini hapa kwetu utakuta watu wanalalamika kwamba kwa nini Wahindi hawataki kuoa/kuolewa na sisi lkn sijawahi kukutana na Muhindi au mwarabu akilalamika kwamba Waafrika hawataki kuolewa na Wahindi, sasa ni kwa nini?
Ni kwa nini kuoa Muhindi au Mwarabu iwe muhimu kwetu? Inatuongezea nini?

Ni kwa nini sisi ndiyo tunalazimisha kutaka kuoa kwa watu wengine wakati wao wala hawana hiyo shida?

We angalia Wahindi wako vizazi vingapi hapa TanZania? Vingi tu lkn mpaka leo hii wanaongea Kihindi/Kikwao mtoto wa Kihindi anazaliwa Kariakoo anakulia Kariakoo lkn anaongea Kihindi chote, Mwafrika mweusi mwenzetu anazaliwa TZ anakulia TZ kesho anakwenda Marekani akirudi likizo hajui Kiswahili, anwaona tayari Watz wote washamba yeye ndiyo mtaalamu wa kunywa wine, yeye ndiyo mtaalamu wa kukosoa kila kitu anataka Raisi wa TanZania ghafla awe kama Obama na hapo wala siongelei mambo ya vizazi kama Wahindi sasa watu wa aina hii kama yetu uliiona wapi tena Dunia hii?

Tunawezaje hata kuja kuendelea na kushindana kwenye Dunia iliyojaa ushindani kama hata hatujithamini?

Leo hii utasikia Waafrika wanasema Bora Mchina klk Mzungu atutawale sasa kwa nini hata tutawaliwe? Ni kwa nini isiwe bora sisi tujitawale?
Hehee hii chungu kumeza lakini ndo FACT yenyewe...siku izi watu wanahangaika na Magufuli eti haudhurii vikao vya nje ya nchi kisa hajui kingereza..Mkuu bado tuna safari ndefu sana kujikomboa kifikra..!!
 

Kama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?
Mbona historia ya mkwawa na kinjeketile ilisbazwa zaidi na wajerumani kuliko wahehe na wangoni!
 
Na
Einstein Newton some people are totally brainwashed!
What i hate about religion is that it make us fear to question things... It teaches us to agree with everything we are told like sheep!
If you don't question how would you know whether you are walking the right path? There are many faith systems how do you know whether the system you are Embracing is the right one? Don't be like sheep, question things.
Truth is never in the mainstream, truth is put underground, only those who dare to go down there will find it, go out read books, thats where truth is, if you sit around waiting for TBC or FOX News to talk about the origin of Christianity then you will never hear the truth. The worst thing about modern day people is we let other people think for us! We don't read, we don't research. We just sit around waiting for the news and information from the people we trust! We let the media and influential people think and decide for us! We just follow their directions like sheep! And thats why there are many religions and political parties today, because anyone can lead us to wherever they wanna take us to, even to slaughterhouses! Because we don't think for ourselves!
White supremacy is well institutionalised especially in Africa, that its very hard to make an average African person unlearn the lies they have been taught for years.
Open your third eyes my brothers and sisters, we Black people have been programmed to feel and be this way by the white supremacist system, so never expect the truth to come out of their mouth! Its up to us to find the truth,
Sit around and accept the white man as your God,
Or read and find the truth.

Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
mkuu tungejiuliza kidogo tungepata jibu kwamba mungu ni dhana au ni biashara tu yenye lengo la kuwatisha watu ili kuwatawala.haiwezekani mungu awe complicated namna hii.ukiuzingatia wingi wa madhehebu na ushindani uliopo utagundua tu mungu ni kitu cha kufikirika.bora hata upepo huuoni wala kuushika,lakini unauhisi kuliko mungu mwenye nguvu anayejificha kwa viumbe aliyewaumba mwenyewe.angali wanaendeleza wanalumbana kumtafuta.
 
Na
mkuu tungejiuliza kidogo tungepata jibu kwamba mungu ni dhana au ni biashara tu yenye lengo la kuwatisha watu ili kuwatawala.haiwezekani mungu awe complicated namna hii.ukiuzingatia wingi wa madhehebu na ushindani uliopo utagundua tu mungu ni kitu cha kufikirika.bora hata upepo huuoni wala kuushika,lakini unauhisi kuliko mungu mwenye nguvu anayejificha kwa viumbe aliyewaumba mwenyewe.angali wanaendeleza wanalumbana kumtafuta.
Sitokujibu kuwa mungu yupo au hayupo. Ila ni dhahiri kuwa Mungu anatumika kama njia kutengeneza pesa. Madhehebu ni mengi mno, na yana tofautiana misingi...yani Its confusing
Yani hata wewe ukianzisha kanisa kesho lazima utapata waumini na pesa nyingi tu..
Kondoo hachagui mchungaji yani wewe swaga tu ataenda.. ndo jinsi ambavyo walimwengu wengi tupo, hofu/uoga unatufanya tuamini kila tunachofunuliwa (kisa tu kitajwe kuwa dini au kihusishwe na umungu).
Kuwe na mungu au kusiwe na mungu, msingi mzuri katika maisha ni utu, tupendane na tusaidiane pale unapokuwa na uwezo.
 
Watu tunashindwa kuelewa jambo kwa kukataa kufafanua kichwani mwetu.
Kama mwarabu alimuamini mungu na kufanya alioamrisha iweje alete biashasha ya utumwa ?

Huyu muingereza anamfahamu vipi mungu mpaka awanyonye waafrika?

OK kuna mambo yanachanga Dini ni Biashara ila natamani watu wajue ukweli kuhusu imani vs mungu.

Coming soon
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom