Mungu hayupo?????? hizi imani zinngine bhana!!!! kwamba Yesu ni wa 16 wa kwanza alikuwa horus!!!?? duuuuu!Mkuu bado unaamini kuwa Mungu yupo?
Yesu mwenyewe ni masihi wa 16 kusurubiwa kwa ajiri ya mwanadam
Wa kwanza alikuwa ni horus na wote walizaliwa na Bikra na kufa wakiwa na miaka 33
Though both are Anecdotal tales lakini zinaweza kuwa na ukweli
Lakini mungu hayupo,kama utakuwa Intellectually honest kukubali ukweli utaelewa kwanini tunasema mungu hayupo
Tunaendelea kucheza lazy song![]()
Idadi kubwa ya wakiristo na wasiyo wakristo wamedanganywa kwa kuaminishwa kuwa yesu ni white[Mzungu]
Hata michoro mingi inayotumika kumwakilisha yesu imekuwa ikimsadifu kama whiteman
Jaribu kugoogle tu neno "Jesus",99.999% ya picha utakazoletewa ni za mzungu anayefananishwa na Yesu
Hizo zote si picha za Yesu,ni picha za mtoto wa Pope Alexander wa sita aitwaye Casera borgia
Sad-fact ni kwamba,si tu Yesu alikuwa ni Black au African Hebrew
Bali characters wote wa kwenye Biblia kuanzia Adam mpaka Paul walikuwa ni Blacks
Huo ndiyo ulikuwa ukweli kabla ya miaka ya 1400
Mambo yalianza kubadilika wakati wa Renaissance period,kuanzia karne ya 14 mpaka ya 17 chini ya Pope Alexander VI
Ndipo Europeans walipoanza kumsadifu[Depict] Yesu kama Whiteman
Casera Borgia
[Casera Borgia kushoto Yesu kulia]
![]()
Inaendelea page ya kwanza
Badala ya kumtusi mwenzio, Search neno black madonnaHizi ni porojo ambazo hauna uthibitisho Nazo.
Issue ya msingi ni kuwa: it is illegal to steal another person's identityAlikuwa black or white so what?ni upumbavu tu kukaa kujadili hilo maana halibadili anything. Nami sijawah ona picha ya yesu wewe umewah ona wapi? Watu hawaangalii rangi na by the way hata wayahudi si wazungu so haiwasaidii hata kusema alikuwa mweupe. Huku huku africa pia wapo weupe sioni issue ya msing hapo. Haya tuseme alikuwa mweusi. So what? Simple mind discuss simple things. Mi hata wakiniambia alikuwa wa blue wala sitak kubishana nao.it doesnt help me at all. Nafata mafundisho yake tu. Waafrika weng wamejawa na inferiority complex so wanatafuta hata vitu ambavyo havina maana waseme ni vyao. So what?
Hii mada ni nzito. Inahitaji umakini wa hali ya juu.
kama Jesus was blac wakabadili ili aonekane he is white inamana wazungu walitaka kuonekana superior than blacks.
Samahani kama kuna ambae nitamkwaza. I submit my views
Hii mada ni nzito. Inahitaji umakini wa hali ya juu.
kama Jesus was blac wakabadili ili aonekane he is white inamana wazungu walitaka kuonekana superior than blacks.
Samahani kama kuna ambae nitamkwaza. I submit my views
Wazungu washenzi sana. Kila kizuri wanajifanya ni cha kwao.ngumu kumeza hii.
Inawezekana ndiye aliyeitwa Mwanamalundi mtenda miujiza kwa wasukuma.
Kama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?
Umeshamezeshwa uzunguuzungu wewe.Hizi ni porojo ambazo hauna uthibitisho Nazo.
Kama umepaniki hivi!Alikuwa black or white so what?ni upumbavu tu kukaa kujadili hilo maana halibadili anything. Nami sijawah ona picha ya yesu wewe umewah ona wapi? Watu hawaangalii rangi na by the way hata wayahudi si wazungu so haiwasaidii hata kusema alikuwa mweupe. Huku huku africa pia wapo weupe sioni issue ya msing hapo. Haya tuseme alikuwa mweusi. So what? Simple mind discuss simple things. Mi hata wakiniambia alikuwa wa blue wala sitak kubishana nao.it doesnt help me at all. Nafata mafundisho yake tu. Waafrika weng wamejawa na inferiority complex so wanatafuta hata vitu ambavyo havina maana waseme ni vyao. So what?
Haya mavitabu yote ni mariwaya tu , tena yamekosewakosewa tu, yanajipinga yenyewe. Aya hii inakubali hiki aya nyingine inakipinga kile kile. !Hongera mleta mada , kupingwa nilazima utapingwa kwa sababu tuna ishi katika ulimwengu wa watu wanao fikiri kwakutumia mioyo yao na imani zao adala ya, Akili, watu wana yatetea maandiko yaliyo tunzwa mikononi mwa watu kwamiaka , 2000,ninani awezae kujua kama kuna lililo tendeka lenye chembe za uongo..???.
Akuna anae weza ila tupo tunao amini hakuna ovu lolote lililo tendeka lakini nikwanini tunapo letewa ukweli tusi upokee nakuu chunguza kama ndio ukweli wenyewe ..??.
Napenda kuwa ambia ata samsoni yaweza kua alikuwa mweusi nandio maana alikua na, "RASTA" wewe usha muona mtu mweupe mwenye rasta ???.
Huwezi kuamini kwa kuwa umefungwa NIRA ya kuamini maandiko hayo tangu utotoni, inakuwia vigumu kabisa kukubali habari mpya moyoni mwako.Mungu hayupo?????? hizi imani zinngine bhana!!!! kwamba Yesu ni wa 16 wa kwanza alikuwa horus!!!?? duuuuu!
Kama ni kweli usemalo kuwa Casera Borgia ni mtoto wa Pope Alexander VI aliyetumika kama Jesus. My question is Who is Brian Deacon?
Einsten NewtonTHE AFRICAN NATURE OF JESUS
Wamisri na Jews tunaowaona Leo si wale waliyoishi zamani
Herodatus
Mwanahistoria wa kale wa kigiriki aliyewaona,aliwahi kusema haya kuhusu wao;
"The nubians,the Egyptians,and the Ethiopians have a broad noses,thick lips,woolly hair and they are burnt in skin[Black skinned]"
Woolly ni sufu
Ufunuo 1:12
Kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu safi
In human race,wenye uwezo wa kuwa na nywele kama za sufu ni Black tu
![]()
Ufunuo 1:15
Na miguu yake kama shaba iliyosuguliwa sana,kana kwamba imesafishwa katika tanuru
Rangi ya shaba au bronze ni brown,baada ya kuchomwa kwenye tanuru inabadilika na kuwa nyeusi kwasababu ya Oxidation
so miguu yake ilikuwa kama hivi
![]()
Mnepha Nimependa ulichonacho kwa kichwa.Nakuunga mkuno kwanza kwenye swala la njia za kiroho za mababu zetu. kuna umuhimu kuzienzi nakuzianzisha.
Pili ni msisitizo tu juu ya rangi ya huyu aliezushwa kuwapo hali kwamba hakuwapo.
Sisi tuliepata bahati kupita pale misri ba ethiopia, tumefubdishwa kuwa hapakuwai kutokea kiumbe anaitwa yesu kristo alietembea ktk ardhi hii ya duniani. hadithi ya yesu ni miungoni mwa stolen legacy za ngano zetu.
Misri kuna document ambayo waingereza waliiba inaitwa THE BOOK OF COMING FORTH DAY AND NIGHT wao wakaita THE BOOK OF THE DEAD. kuna mwandishi alikuwa anaitwa HUNEFER ANI ktk temple ya Abadyos kwenye hicho kitabu kuna hadith ya Auset na Osiris na Heru ambayo ya familia yenye story kama ya Yesu. ambayo ya miaka ya 1250BCE.
Wazungu wamekopi na kubadili majina ya wahusika nakusema Yoseph, Maria na Yesu so strange.
MABABU ZETU WALITUACHIA SIRI KWENYE MAWE YA MAPYRAMID. WAZUNGU WAMESHINDWA KUHARIBU USHAHIDI ULIOACHA KWENYE MAWE NDIO MAANA LEO WANAUMBUKA. NITAENDELEA ....