MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,564
- 8,876
Haya mambo yananisumbua sana na nikiwa mdogo nilijaribu sana kuuliza maswali ya udadisi sikujibiwa, Ukweli ni kwamba hizi Dini zinachanganya sana.
Moja ya vitu ambayo huwa sipati majibu yake:
1. Nani aliandika bible?
2. Je walio andika tunaaminishwa vipi hawakuweka mambo yao au kupunguza?
3. Kwa nini wakoloni walitumia gia ya dini kuingia Africa?
4. Ukiona nchi kama South Africa wale wachungaji wa kizungu yaani makaburu walikuwa na bible zao za kipekee kabisa za kuwahubiriwa weusi wa South Africa.
5. Kwa nini kwa sasa wazungu walio anzisha dini kule kwao hawaendi kanisani?
6. Tafiti zinaonyesha kwa sasa watu wanaoenda kanisani ni Africa, Asia na America ya kusini but Ulaya na Marekani Dini inapoteza kwa speed kari sana. Ni kwa nini inapotea?
7. Kwa nini Africa tunaaminishwa kwamba matatizo yanatatuliwa kupitia maombi? Mfano kama mvua haijanyesha muda mrefu tuaamini tukisali itanyesha, But Wazungu wanaamini katika sayansi mvua haijanyesha kwa sababu either watu wamekata miti sana, au vimbunga vimepungua na kazalika.
Kwa kifupi Kuna mambo mengi yalio fichwa kuhusu hizi Dini na Mungu kwa ujumla wake