NNJ7
Senior Member
- Mar 7, 2016
- 114
- 59
Binadam. (Bin -Adam) au Mtoto wa Adam.Hebu jaribu kufikiri umecheleweshwa kutakriban Miaka 500 kwa kumfanyia kazi mtu halafu baada ya hio miaka anakuachia ujianzishia maisha yako huku wakati nakumonitor karibu kila nyanja ya maisha yako.
Ujanja ni kule kujaribu kukumbuka kabla ya kucheleweshwa nilikuwa nimeaccomplish vitu gani? ili nianze kuelewa najinasua vipi na mitego ya mifumo ya alienichelewesha.
Wao walishindwa kufuta mengi maana wazee wetu waliacha ushahidi kwenye majengo ya mawe. ukidanganya kwenye karatasi tunaenda kufanya reference kwenye mawe.
Aibu ni kwa wale wajinga.
kuujua ukweli utatufanya tujiamini na kuanza upya. HAYO WALIONAYO NI SISI TULIWAPELEKEA. KAMA UMESHAENDA ULAYA. JARIBU KUPITIA KWENYE MESEUMS NA CASTLE ZAO. UTASHANGA NA MICHOZI ITAKUTOKA..... NITAFUTE NIKUONYESHE USHAHIDI.
Binadam
Kisayansi Unaweza kumuita Homo sapiens ili kumtofautisha na viumbe wengine.
Na katika upimaji wa DNA inaonesha ni dhahili kuwa Binadam Wote walitokea Bala La Africa miaka 200,000 ilinipita
Lakini pia upimaji wa DNA mvuringo ambayo kila Mtu anarithi kwa mama inaonesha watumishi wa kwanza walizaliwa na Mama Mu-Africa alieishi miaka 130,000 Ilio pita.
Ueneaji wa hawa Binadam kutoka Africa ulianzia
Kuelekea Asia ndipo Australia na Ulaya kisha Amerika ya Kaskazini na kusini.
Hatimaye katika karne ya 20 watu walifika mpaka bara la Antaktika kufanya utafiti.
_______________________________
Ki-Mungu Sasa (Imani)
Binadam zamani walikuwa Weusi tu. Na ilipotokea tofauti ilibidi iainishwe...
Kuanzia Ibrahim baba wa Amani baba wa Mataifa alikua mweusi.
Na kumbuka ' Mungu akasema ' Natufanye Mtu kwa mfano wetu akatawale. Akamuumba Adam akampa kuitawala Dunia na vilivyomo. Nk
Sasa mtoto wa Ibrahim wa kwanza kwa Sara ISAKA alipata mke (Rebeka) nae akawa kama mama yake Isaka (Sara)
Yaani hakupata mtoto kwa wakati.
Sasa mara alipopata mimba , Ikawa ni mimba ya watoto mapacha .
Kama mama ajuavyo .ili watoto waoneshe uhai waoga tumboni inawalazimu kucheza-cheza. Ila kwa Rebeka haikuwa hivyo Bali watoto wale Walipigana tumboni. Ndipo ikatabilika kuwa ni mataifa ma 2 .
#Siku ya kuzaa ilipowadia Rebeka
Akamza Esau mtoto wa kwanza akiwa na Ngozi nyekundu na yenye vinyweleo (malaika) lakini katika kutoka Kwake tumboni wakati miguu ikimalizia kutoka
Mtoto wa pili Yakobo akafuata ilihali kamshika Esau kizigino.
Tofauti Kati ya ESAU NA YAKOBO
Esau alikuwa Mwekundu na Yakobo alikuwa na Rangi kama baba yake Isaka (nyeusi)
Rangi ya Esau ilikuwa ndo mpya kutoka Dunian. Ila kama familia zingine uonavyo huwa hawatupi mtoto mlemavu.
So kikawaida ESAU ni mlemavu.
Mnepha Tupe vitu bwana tulio tayari kuelewa sio kuamini
Einstein Newton Endelea kaka

