Was Jesus Black?

Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?


  • Total voters
    127
Alikuwa black or white so what?ni upumbavu tu kukaa kujadili hilo maana halibadili anything. Nami sijawah ona picha ya yesu wewe umewah ona wapi? Watu hawaangalii rangi na by the way hata wayahudi si wazungu so haiwasaidii hata kusema alikuwa mweupe. Huku huku africa pia wapo weupe sioni issue ya msing hapo. Haya tuseme alikuwa mweusi. So what? Simple mind discuss simple things. Mi hata wakiniambia alikuwa wa blue wala sitak kubishana nao.it doesnt help me at all. Nafata mafundisho yake tu. Waafrika weng wamejawa na inferiority complex so wanatafuta hata vitu ambavyo havina maana waseme ni vyao. So what?
Kingereza ulichokariri ni hicho tu cha so what?
 
Kumbe unaamini kwamba yesu alikuja ulimwenguni! Huo mwanzo mzuri maana yake kama ukijua yesu alikuja basi najua pia utakua unaamini alikuja kwa malengo gani na kwa ajili ya utukufu wa nani! !
 
Bennie siku hizi anapatikana kwa nadra sana

Vipi sweden upo na shem?
Atakuwa kashaoa wake wawili huyu.

Ndio tupo wote. Tunasukuma gurudumu la maisha tokea pande hizi.
Sasa naona na muda wangu wa kuwepo hapa nao umekwisha . Hivi mkuu we unakesha Leo?
 
Atakuwa kashaoa wake wawili huyu.

Ndio tupo wote. Tunasukuma gurudumu la maisha tokea pande hizi.
Sasa naona na muda wangu wa kuwepo hapa nao umekwisha . Hivi mkuu we unakesha Leo?

Mie popo mkuu

Hapa kwetu kuna kigodoro si kidogoro basi kelele tu

So nimeamua kuuchunia usingizi leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom