Warning: Maharage makavu sio mazuri kwa matumizi

Warning: Maharage makavu sio mazuri kwa matumizi

Heri ya Pasaka,
Poleni kwa mfungo na vurugu za Watunga Katiba, Mpwa wenu leo nimeona ni vyema ku-share na nyie hii kitu, hasa hasa kwa vijana wangu wale wenye kupendelea "Maharage" makavu kuwa ndio dili.

Baada ya kuchunguza na pengine na kaji-uzoefu kidogo nimedhihirisha kuwa "maharage" makavu si mazuri kwa consumption kwa sababu ya friction wakati wa kuyatumia. Ili ule bila kukwamwa na kukusababishia vidonda hakikisha "maharage" yako yana mchuzi wa kutosha kabla hujaanza kula. kwa kufanya hivyo utajiokoa wewe na huyo mwenye maharage yake, Achana na ile dhana kuwa maharage yenye mchuzi mwingi si mazuri, ASIKUDANGANYE MTU ILI UBAKI SALAMA, HAKIKISHA kuna mchuzi wa kutosha kabla hujaanza kuyatumia na ili upate mchuzi huo LAZIMA uzingatie haya yafuatayo;
  1. Chochea moto mwingi
  2. acha papara za kutaka kuonja, subiri yaive
  3. Yanapokaribia kuiva utajua tu maana dalili zipo nyingi na wazi
  4. Hakikisha unakula yakiwa bado ni ya moto, usisubiri yapoe maana yakipoa mchuzi utapotea
Haya nawatakia ALHAMISI YA AMRI kwenu wote, mkumbuke kuwashirikisha na watoto wenu

CC: CYBERTEQ

Nilidhani nimepotea jukwaa, lakini baada ya kusoma kwa umakini nimekuelewa mkuu............
 
ha ha ha ha raha sana ya kula maharage yenye mchuzi

ya kweli sisi maharage twependa kuwekwa kwenye ungo tuandaliwe vema mapishii mazuri ....asikuambie mtu umkute mpishi mzuri,jiko lake safi,ajue kuchochea moto oooooh wallah sisi maharage twafurahii na kuiva vema na mchuzi wa kutosha kwa ajili ya mlaji

huwezi pata shida tukiiva twalainika na kupndeza ukila tukiwa wa moto hutamani kuacha kula maharage

wahenga wasifia yao maharage ya kanda ya ziwa oooh maji moja yaiva,ooh yana mchuzi wa asilia
amini angu maneno maharage yako mapishi wewe mpikaji

wapikaji na nyie muache vyenu visa kutupika haraka haraka kwenye gesi na umeme madai yenu mwataka mle haraka sisi maharage hatupend
 
Inabidi kutumia akili ya ziada kuelewa hii kitu aiseeh somo nimelipata sawasawa
 
Harage kulila haliitaji haraka chumvi usizidishe ulipatie haraka na muogo wa jang'ombe ule mkavu ulioshiba na mizizi imesimama vyema....hakika harage usililie ugali wake ni muogo tu....na raha ya harage ni kukorogwa kwa mwiko murua....

HARAGE JAMANI
 
Liive vizuri, liwe na mchuzi wa kutosha...loool, hata ukilitafuna mdomoni utasikia "pwak pwak pwak" basi roho yangu kwatuuu..
 
Heri ya Pasaka,
Poleni kwa mfungo na vurugu za Watunga Katiba, Mpwa wenu leo nimeona ni vyema ku-share na nyie hii kitu, hasa hasa kwa vijana wangu wale wenye kupendelea "Maharage" makavu kuwa ndio dili.

Baada ya kuchunguza na pengine na kaji-uzoefu kidogo nimedhihirisha kuwa "maharage" makavu si mazuri kwa consumption kwa sababu ya friction wakati wa kuyatumia. Ili ule bila kukwamwa na kukusababishia vidonda hakikisha "maharage" yako yana mchuzi wa kutosha kabla hujaanza kula. kwa kufanya hivyo utajiokoa wewe na huyo mwenye maharage yake, Achana na ile dhana kuwa maharage yenye mchuzi mwingi si mazuri, ASIKUDANGANYE MTU ILI UBAKI SALAMA, HAKIKISHA kuna mchuzi wa kutosha kabla hujaanza kuyatumia na ili upate mchuzi huo LAZIMA uzingatie haya yafuatayo;
  1. Chochea moto mwingi
  2. acha papara za kutaka kuonja, subiri yaive
  3. Yanapokaribia kuiva utajua tu maana dalili zipo nyingi na wazi
  4. Hakikisha unakula yakiwa bado ni ya moto, usisubiri yapoe maana yakipoa mchuzi utapotea
Haya nawatakia ALHAMISI YA AMRI kwenu wote, mkumbuke kuwashirikisha na watoto wenu

CC: CYBERTEQ

kuna mchuzi na mchudhi mpwa wangu, mchuzi ukizidi sana kwenye maharagwe linakuwa tatizo, inakuwa kama enzi za shule bakuli kibeseni maharagwe mawili mchuzi pipa, hapo hata ham ya kula yote kwishnei mkuu.
 
Back
Top Bottom