Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,419
- 100,666
ohoooooooo sijui nini tena hii???Yakiwekewa mafuta ya taa ndo yanakuwa matamu kweli......
hahahahahaaaa usiogope, tuko pamoko. pita taratibu nisalimie ndugu zangu
Nakuona hapo, kweli utoto raha....Mimi bado namvuta maza akae ninyonye.
Mpwa habari za siku mbili tatu, nadhani sasa Kwaresma ilishapita, ngoja nisikie wansemaje juu ya hili, leo Alhamis Weekend inakaribiaMkuu Elli unahamasisha mapishi wakati unajua ni kwaresma!!!! wacha vijana tufanye toba kwanza,all in all somo
zuri sana ila mbona hujawaambia wafunike na foil??? ohh!!! watakana watoto wao! na street children wataongezeka.