Warning: Maharage makavu sio mazuri kwa matumizi

Warning: Maharage makavu sio mazuri kwa matumizi

Ukirudia kusoma utaona yupo katika jukwaa sahihi

Tatizo katumia lugha ngumu yani mpaka uwe umekula chumvi nyingi labda ndio unaweza kuelewa yani mi nimeishia kushangaa tu maana sijaelewa hata moja🙁
 
Tatizo katumia lugha ngumu yani mpaka uwe umekula chumvi nyingi labda ndio unaweza kuelewa yani mi nimeishia kushangaa tu maana sijaelewa hata moja🙁
Hii ni lugha ya Watakatifu peke yake, please please lazima utakaswe kwanza
 
ahsante sana nanjilinji, unaonekana u mkarimu sana.
Ukarimu unatokana na hulka ya kutogusa au kuguswa ovyo kwa mwanadamu. Mie nipo nipo kwanza kabla ya kugusa, hivyo ukarimu asilimia 100. Ukianza kugusa zinapungua na mwanamke kadiri unavyozidisha kuguswa zinapuputika hadi sifuri.
 
Heri ya Pasaka,
Poleni kwa mfungo na vurugu za Watunga Katiba, Mpwa wenu leo nimeona ni vyema ku-share na nyie hii kitu, hasa hasa kwa vijana wangu wale wenye kupendelea "Maharage" makavu kuwa ndio dili.

Baada ya kuchunguza na pengine na kaji-uzoefu kidogo nimedhihirisha kuwa "maharage" makavu si mazuri kwa consumption kwa sababu ya friction wakati wa kuyatumia. Ili ule bila kukwamwa na kukusababishia vidonda hakikisha "maharage" yako yana mchuzi wa kutosha kabla hujaanza kula. kwa kufanya hivyo utajiokoa wewe na huyo mwenye maharage yake, Achana na ile dhana kuwa maharage yenye mchuzi mwingi si mazuri, ASIKUDANGANYE MTU ILI UBAKI SALAMA, HAKIKISHA kuna mchuzi wa kutosha kabla hujaanza kuyatumia na ili upate mchuzi huo LAZIMA uzingatie haya yafuatayo;
  1. Chochea moto mwingi
  2. acha papara za kutaka kuonja, subiri yaive
  3. Yanapokaribia kuiva utajua tu maana dalili zipo nyingi na wazi
  4. Hakikisha unakula yakiwa bado ni ya moto, usisubiri yapoe maana yakipoa mchuzi utapotea
Haya nawatakia ALHAMISI YA AMRI kwenu wote, mkumbuke kuwashirikisha na watoto wenu

CC: CYBERTEQ

Picha ya "maharage" tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Ukarimu unatokana na hulka ya kutogusa au kuguswa ovyo kwa mwanadamu. Mie nipo nipo kwanza kabla ya kugusa, hivyo ukarimu asilimia 100. Ukianza kugusa zinapungua na mwanamke kadiri unavyozidisha kuguswa zinapuputika hadi sifuri.

nakuahidi sitokugusa ili ukarimu wako ubaki mia.
 
nakuahidi sitokugusa ili ukarimu wako ubaki mia.
Hapa lugha gongana maana wewe kama ke una kiguswa na mie kama me nina kigusa. Hivyo mimi naweza kukugusa na wewe waweza kuguswa. Ila ushukuriwa kwa sana na karibu tena Njinjo
 
lakini uku kanda ya ziwa maharage yana mchuzi wa asili, haina haja ya kuyachemsha sana, kwa yale ya msimu uliopita uwa unatia kuni na kuchemsha kidogo ila ya msimu huu uwa unayaweka sawa, unayaandaa kwenye ungo, unayamenya na kuyashughulikia kilaiiini! kila ukitafuna yanatoa mchuzi, mchuzi mchuzi mchuuuuziiiiii!!!!

Nasikia maharage ya pwani ni mabishi kuiva, mengine yanajisifia na kusifiwa, 'sisi' hatuna mchuzi mwingi, alaaa, sasa si mnapa taabu mpishi/mlaji?mpaka anachubuka utumbo? Elli, usiombe upate maharage ya msimu huu yenye mchuzi wa asili yanayokaba,yaani kubana utumbo, utasahau maharage ya zamani...aya ayahitaji mayonaizi, hayaitaji mate, yeneywe ni matamu uhalisia!!!

Karibu muhonje maharage ya kanda ya ziwa, hayahitaji mchuzi wa ziada!!
 
mie naivia dukani kwenye mzani, hadi ukifika home na maharage yako yanakuwa laini tayari kwa kuliwa.

Ndio raha ya maharage yalokomaa ............yakiamua kupikika basi hata jivu tu likiwa na umoto aaaaanh uchaguzi wako kama wataka futari sawa....ukiyaweka kwa mahindi upate kande wewe tu!!!!

Hayachagui chumvi wala sukari ......si yenyewe pia yanaladha yake ati !!!!!!!

Mie hupenda sana maharage yalokomaa na kukauka vizuri!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom