Warning: Maharage makavu sio mazuri kwa matumizi

Warning: Maharage makavu sio mazuri kwa matumizi

Mkuu Elli unahamasisha mapishi wakati unajua ni kwaresma!!!! wacha vijana tufanye toba kwanza,all in all somo

zuri sana ila mbona hujawaambia wafunike na foil??? ohh!!! watakana watoto wao! na street children wataongezeka.
 
Last edited by a moderator:
Sasa wale wala matonge mengi huwa wanachovya mpaka mchuzi unaisha yanabaki mandondo tu,na hawashibi haraka. Mi nafikiri hata aina ya ulaji nayo inahusika pakubwa.
 
teheeee!

haya wala maharage wamekusikia.. n I hope wameluelewa.
 
Safi. Ila nimeona wengi hapa jf wanalalamika "maharage" mchuzi umekua too much....vp hapo?
 
OLESAIDIMU maharage chapa ya kwetu huwa ya rojorojo so mlaji anaenjoy kw ugali, kande, ndizi wali chaguo lako tuu
 
Last edited by a moderator:
OLESAIDIMU maharage chapa ya kwetu huwa ya rojorojo so mlaji anaenjoy kw ugali, kande, ndizi wali chaguo lako tuu

Ooonh this is a good Easter news!!!!!!!!
Upembuzi yakinifu na mchakato endelevu kuthibitisha hili ni sehemu ya utekelezaji wa sera!!!!!!

Niandalie chumba cha wageni
 
mh! mbalu miye napita tu hapa naona tafsida.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom