Ndio maana nikawashangaa Njiwa na Doula walipoingiza udini badala ya sifa kama alivyosema mleta mada.Tunatamani tuwe na rais mwenye kudhubutu bila kuuma uma maneno pale inapotokea maswala nyeti yanayotishia... kwani swala la kuchinjana na kuchoma nyumba za ibada wewe unaliona ni zuri... udini kwa sasa siyo jambo la kuficha....
Hata sasa sijamsikia yoyote miongoni mwa wanotajwa kugombea via CCM
kuzungumzia kadhia ya udini, kwangu huo ni upungufu mkubwa kiuongozi.