Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,208
Mi naona Nape na Tambwe Hizza wanafaa, je wewe msimamo wako upo kwa nani?
mawazo yako ni uhaini tosha
Mi naona Nape na Tambwe Hizza wanafaa, je wewe msimamo wako upo kwa nani?
Candid Scope, DULLAH MSAVIVOR,
..hatujamsikia Dr.Salim akipinga ufisadi.
..hatujamsikia akikemea na kupinga udini na ukabila.
..hatujamsikia akikemea ubaguzi wa waZNZ dhidi ya wa-TGK.
..hatujamsikia akitetea muungano, au akipendekeza muundo bora na wa haki wa muungano.
..hatujamsikia akipinga sera za uuzwaji holela na umilikishwaji wa mali za umma.
..inasemekana ni mwanafunzi nambari wani wa Mwalimu Nyerere lakini hatetei siasa za ujamaa, wala hahubiri sera ya kujitegemea.
..hatujamsikia akitetea nafasi ya Tanzania ktk jumuiya ya Afrika Mashariki.
..hata wakati wa harakati za KATIBA MPYA hatukumsikia akieleza msimamo wako.
..the man is just silent and indifferent kwa mambo yote yanayomkaibili nchi yetu na mwananchi wa kawaida.
..inasemekana anajiweza, lakini sijawahi kusikia amechangia msikiti, kanisa, shule, kisima cha maji, timu ya mpira, popote pale nchini.
cc: Kubwajinga, Nguruvi3, Ritz, njiwa
Slaa ali fight kupewa nafasi ya kugombea urais? Si na yeye alipewa,au umesahau? Tofauti ya Slaa na SAS ni kuwa salim anajiheshimu na hawezi kujiingiza kwenye siasa uchwara za kidini na ukanda.Nikweli mie pia nafikiri ni mnafiki fulani hivi....
Ni mtu aliefanya kazi karibu kabisa na mwalimu lkn waislam wenzie wanapo mpaka mwalimu matope anakaa kimya kama vile anakubaliana nao....unlike Jenerali Ulimwengu mara nyingine anasema ukweli tu kuhusu mwalimu....
Then amepoa sana, amezoea vyeo vya kupewapewa, hajawahi kufight kupata cheo kama mwalimu, Dk Slaa Nk....
Dr. Salim Ahamed Salim (Tanzania) and Henry A. Kissinger (USA)
6. Anaonekana kufaa shughuli za kiofisi zaidi kuliko siasa za majukwani.
Slaa ali fight kupewa nafasi ya kugombea urais? Si na yeye alipewa,au umesahau? Tofauti ya Slaa na SAS ni kuwa salim anajiheshimu na hawezi kujiingiza kwenye siasa uchwara za kidini na ukanda.
Dr. Salim Ahamed Salim (Tanzania) and Henry A. Kissinger (USA)
Dr. Salim Ahmed Salim ana jina kubwa nchini na kimataifa katika masuala ya kimataifa. He is a diplomatic figure. Naweza kumlinganisha na baadhi ya wanadipolamasia kama Henry Kissinger pamoja na umaarufu wao kimataifa hawakufaa kushika dola katika taifa.
Majukumu mazito aliyowahi kuyafanya kitaifa na kimataifa ni pamoja na:
Pamoja na umaarufu alioweza kuwa nao katika masuala ya kimataifa na kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania:
- Mwenyekiti wa Baraza la Usalama Umoja wa Mataifa
- Katibu Mkuu Umoja wa nchi Za Afrika
- Mgombea Ukatibu Mkuu umoja wa Mataifa - hakupita
- Nafsi ya juu aliyowahi kuishika Tanzania ni kuwa Waziri Mkuu
- Hajaonyesha msimamo wake katika masuala ya kitaifa,
- Hayuko wazi
- Mkimya asiye weza kushirikisha aliyo nayo.
- Pamoja na kwamba ni mwana CCM sijawahi kuona ushirikishaji wa uongozi wake kwa CCM zaidi ya kuwa mhudhuriaji.
- Anaonekana kupokeleka zaidi kwa sura badala ya vitendo na fikra.
- Anaonekana kufaa shughuli za kiofisi zaidi kuliko siasa za majukwani.
Kwa mtazamo huu ana dira gani katika kuongoza Tanzania ya leo kama atagombea urais?
Je, Tanzania tuendelea kunadishwa majina makubwa ya wagombea urais pasipo kuonyesha uwezo wao?
katibu wa magamba na mfanya biashara wa pembe za ndovu.Mkuu nani sasa anafaa kuwa rais kwa mtazamo wako.

Kubwajinga,Mkuu JokaKuu,
- Ningependekeza kuwa katika kudadisi kufaa au kutokufaa kwa mtu, tuangalie zaidi au kutegemee yale aliyofanya kuliko kumshutumu mtu kwa yale asiyofanya hasa tunapomshutumu kwa kutokuwa mbele katika suala la upayukaji.
- Yote uliyoorodhesha hapo juu yana uzito, lakini sidhani kama hayo ndio wasifu wa mtu tunayemtegemea kuchukua nafasi ya JK. Kama kupiga kelele ingekuwa ndio sifa, basi Mch. Mtikila na Lowasa wangekuwa wameshashinda kwenye hizo sifa zote ulizosiorodhesha na Mkapa wala asingekuwa raisi.
- Ningependelea tuangalie zaidi sifa za mhusika wakati alipobahatika kuwa madarakani. K.m. usafi wake against rushwa, uwezo wake kuongoza na uelewa wake wa dunia vs mahitaji ya nchi yetu. Haya nafikiri ni muhimu zaidi kuliko kelele alizopiga mtu kwa kujitafutia umaarufu wakati tunajua wazi kuwa wengi wao wanao uwezo wa kunyanyua simu na kumkemea Kikwete bila ya gazeti lolote kufahamu yaliyotendeka.
Aaah Wapi,
Mmeshaanza siasa zenu za majitaka sasa,,
Hebu niambie wewe sasa.humpendi huyu kwa chuki zako binafsi au humpendi kwa kuwa yuko CCM??
Akisimama huyo 2015 hatuna budi kumpatia nchi hii,mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni..
Au kwa kuwa ni Muislam??
wewe dullah msavivor ndio bogus kabisa humu jf kwa tabia yako ya kiendekeza udini. Sitaki nikuite mpumbavu ila wewe ni mjinga. Mleta mada ametoa maelezo mazuri tu lakini wewe kwa ukurutu uliojaa kwenye akili yako umeamua kuingiza udini. Wewe ni mjinga namba moja duniani? Shame on you. Ngoja niishie usije nisababishia ban. I hate you.
Uwazi ni muhimu zaidi katika uongozi, maana hatujui aliyo nayo moyoni mwake. Haonyeshi anayofikiria Tanzania iweje. Hajaonyesha msimamo wake kuhusu siasa za vyama vingi, uhuru wa vyama vya siasa, mazamo wa kuingea TAnzania ya leo, suala la elimu na matatizo mengine yanayolikumba taifa. Je? tumchague kwa sababu ya umaarufu wa jina lake au aanze kuwa mwazi kuleta mikakati yake ya kuijenga Tanzania.